Wakati Rais Samia anaingia madarakani mapato ya mauzo yatokanayo na gesi asilia yalifikia $55.12milioni sawa na TZS.143,313milioni Mwaka 2024 yameongezeka na kufikia $144.10milioni au TZS374,660milioni sawa na ongezeko la $88.98milioni sawa na TZS231,348milioni ambayo ni 161%.Hii ni karibia mara...