Habari wakuu, nilileta Uzi humu juu ya kijana wangu kuwa na maumivu ya mgongo kayapata akiwa shule bweni darasa la 4, yamemuanza tarehe 1/4/2025 hakupigwa, hakuanguka, zaidi alikuwa akibebeshwa ndoo ya maji asubuhi na jioni
Majibu ya vipimo
Imeonekana pigili zake za mgongo zimenyooka kama...