maumivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SUA: Panya wanaweza kutumika kubaini Corona na kupunguza gharama na maumivu

    Baada ya mafanikkio makubwa ya utafiti wa matumizi ya Panya kwenye kutambua mabomu na vimelea vya kifua kikuu na mambo mengine, Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha kilimo SUA wanasema kuna uwezekano mkubwa wa Panya hao kutumika kwenye kutambua maambukizi ya virusi vya Corona...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake mna la kujifunza kutoka Taarifa ya TFF. Kuahirisha miadi ya mapenzi Wanaume hupata maumivu mara mbili

    Miadi ni saikolojia. Hizi ni kanuni za mahaba ingawa hazijaandikwa kama za TFF Wanawake mjifunze kutoka kwenye taarifa ya TFF! Mwanaume unapompa miadi kila kitu hufanya kwa kuzingatia appointment! Wapo wanaokula vizuri ili kujiweka sawa Wapo wanaopiga mazoezi kujiweka sawa Wapo wanandoa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Maumivu mwilini

    Nahisi maumivu Kama ya kung'atwang'atwa mwilini. Sababu ni Nini????? Naomba kufahamu waungwana........!!!!
  4. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Manukato/perfume yasababisha niachwe na mwanamke aliyenipenda

    Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa katika jukwaa poleni na mvua za Jana haswa maeneo ya jiji la Dar es salaam twende kwenye mada. Jana ndio siku rasmi niliyoachwa na mwanamke aliyenipenda sana hakika haikuwa siku nzuri sana kwangu mpaka sasa nimehuzunika sana. Ilikuwa ni hivi kuna binti...
  5. JamiiForums Tanzania Bisu likigusa mfupa lazima maumivu yasikike, tusibeze maumivu yanayotikana na bisu.

    Shujaa wa dunia ameondoka kiajabuajabu. Hata kama alikuwa na ugonjwa huo kwa miaka kumi lakini mbona imekuwa kiajabu? Mungu ndie kila kitu na akiamua kumchukua mtu hakuna wa kuzuia. Lakini mbona alikuwa akipiga pushup kama hata matatizo yoyote? Mbona alikuwa anasafiri kwa gari umbali mkubwa...
  6. JamiiForums Tanzania Nyuma ya Legacy kuna maumivu

    Nawasalimu wadau wa JamiiForums, Kwanza nitoe pole na kwa masikitiko makubwa kwa wananchi wa Tanzania pamoja na familia yake kutokana na kifo cha raisi wa awamu ya nne hayati John Pombe Magufuli na pia bila kumsahau aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar hayati Maalim Seif. Pili: niombe...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu ya kifua upande wa kushoto shingo pamoja na mikono yote miwili

    Wakuu Habari za mida. Mimi Nina umri wa miaka 31 nimekua nikiambulia na tatizo la maumivu ya kifua upande wa kushoto. Maumivu hayo pia nayapata kwenye mkono wa kushoto wakati mwingine mkono wa kulia. Inafikia muda shingo inakua inauma muda mwingine inakua kama inakakamaa dizain kama nimekabwa...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mpenzi wangu, naumia sana

    Kuna dem alikuwa ananikubali mbaya na kazi zake anafanyia jirani na napoishi nikamuaproach dem akakubali na ni pisi kali sio poa, mwanzo alikuwa anapenda sana kuniita ofisini kila saa mara njoo nikuone usipoenda bac ananuna na vile vile anajua madem wa hapa home wananipenda mno nikaona niwe...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje kujenga urafiki na Ex wako aliyekuacha kwa maumivu makali?

    Kuna wakati nakosa majibu lakini pia kuna wakati kuna huwa ninawashangaa unakuta mtu kaachwa lakini bado analazimisha urafiki Ex wake ambaye amemuumiza na kumkosesha raha lakini bado anamfuatilia. Inafika wakati Ex wake anampiga mizinga hatari halafu anachokipata anahonga mpenzi wake mpya...
  10. JamiiForums Tanzania Kuepuka maumivu na msongo wa mawazo baada ya kuachwa na mwenza fanya yafuatayo

    1.Hatua ya kwanza piga moyo konde kukubali matokeo kila lenye mwanzo Lina mwisho huyo sio wako tena. 2.hatua ya pili futa kumbukumbu zote kuhusu yeye ikiwemo namba za simu picha Meseji n.k ili kuepuka mazingira ya kumfatilia. 2.hatua ya tatu epuka kusimulia watu wako wa karibu kama umeachwa we...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…