mauji

Man Mauji (transl. Capricious minded) is a 1962 Indian Hindi-language film starring Kishore Kumar and Sadhana, and directed by Krishnan–Panju. Jayalalithaa played Lord Krishna in a 3-minute dance sequence held on stage in the film and danced with Kumari Naaz, who played Radha in that dance sequence. In that film, the main lead Kishore Kumar and the artistes Sulochana Chatterjee and Sunder watch the dance performance. The film was a remake of Telugu film Donga Ramudu.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Baada ya mauji ya Oktoba 29, CCM sasa inahitaji maridhiano kuliko hata wapinzani

    Huu ndio ukweli japo hawezi kukiri hadharani. Safari hii wanahitaji maridhiano sio tu na wapinzani, bali wanahitaji maridhiano na umma wa watanzania kupitia wapinzani. Japo wanaendelea kumshikilia Lissu kwa uonevu, bado wanatamani sana kupiga picha na Lissu kuliko mtu mwingine yoyote yule...
  2. S

    Ushahidi wa mauji uliopelekwa ICC ungekuwa haujitoshelezi, wangeendelea kupitia ushahidi mpaka leo? Ni wazi kuna jambo wameona

    Mimi naamini ushahidi waliupokea mpaka sasa uneonyesha kukidhi viwango wanavyovitaka na ndio maana wako kimya wakiendelee kuupitia zaidi huo ushahidi. Kwa maneno mengine, wangeshaukataa huo ushahidi na kutangaza watuhumiwa hawana kesi ya kujibu au wangetoa kauli kuwa ushahidi zaidi unahitajika...
  3. M

    PostGE2025 Huzuni kubwa: Mama huko mkoani Kagera aeleza ushuhuda wa mauaji aliyoshuhudia wakati wa maandamano ya Oktoba 29

    Huyu ni mama huko mkoani Kagera, anaeleza kwa huzuni mauaji aliyoshuhudia huko mtaani kwao. Anasema kuwa mtaani kwao pekee alishuhudia watu watano wakiuawa, tena watu wasio na hatia. Je hali ilikuwaje nchi nzima?. Msikilize wewe mwenyewe.
  4. REJESHO HURU

    PostGE2025 Watu maarufu chukueni hii code. Kinachotafutwa sasa ni kuzima mjadala wa mauaji ya October 29 sasa sikieni

    Haijalishi wewe ulikuwa chawa au ulikuwa nani kinachotafutwa na tukio la mtu maarufu mwenye jina apate tukio mitandao ije imzungumzie wamejaribu kwa mwenzenu hapo juzi mmeona kijana mpole ila wamepita naye sasa kazi kwenu D9 tokeni acheni ushamba
  5. Mzalendo Uchwara

    Ilikuwa ni kisasi cha wazanzibari kwa watanganyika dhidi ya yale mauji ya 2001 kule Pemba

    Wanzanzibari akiwepo 'mama yenu' wanacho kinyongo cha muda mrefu na watanganyika. Kuanzia mauaji yaliyoambatana na mapinduzi matukufu (mpaka wajomba wakakimbilia Oman), muungano, kifo cha Karume, issue ya Jumbe, na hususani yale mauaji ya wapemba baada ya uchaguzi wa mwaka 2000. Hayati Mkapa...
  6. NALIA NGWENA

    Je Watu waliodhamiria kufanya mauaji wanaweza kumshirikisha mtu from no where?

    Nimeona kwenye mtandao kuna mzee anawataja watu (ASIKARI) kwa majina Ya "X" na " Y" Kuwa walimfuata na kumpa Kazi ya kijasusi, wamuoneshe alipo Mdude Nyangali Kisha Wao watimize jambo lao walilokusudia, binafsi nimemsikiliza kwa makini sana huyu mzee Lakini nimekua na maswali ya kujiuliza...
  7. M

    DINI INAYOONGOZA KWA MAUJI YA WATU WENGI DUNIANI NI UKRISTO, DATA HIZO HAPO

    📊 MAKADIRIO YA VIFO VYA VITA KWA KUZINGATIA DINI ZA KITAIFA (Nchi zenye Wakristo wengi vs Waislamu wengi) ✅ 1. Nchi zenye Wakristo WENGI (Christian-majority countries): Vita vikubwa vilivyotokea kutoka nchi hizi ni: WWI (1914–1918) WWII (1939–1945) Vita vya ukoloni Afrika na Asia Vita vya...
  8. S

    Kitabu cha Erick Kabendera huenda kikafanya vitendo vya utekaji na mauji vikapungua kama sio kwisha kabisa

    Ninahakika watawala hivi sasa wako shocked na yaliyomo katika kitabu cha Mwandishi, Erick Kabendera kilichopewa jina la "IN THE NAME OF PRESIDENT " Watawala wataanza kuingia hofu kumbe hakuna siri hata wale tuliowaamini na kuwapa kazi ya kusimamia hizi operation ndio wa kwanza kutoa siri kwa...
  9. USSR

    Ukiachana na kichaka cha kuita wachunguzi wa nje, CHADEMA haiwezi kujitoa kwenye sakata la Mauaji wa kibao .

    Mnyika alikuwa mtu wa kwanza kutangaza kutekwa kwa Mohamed Kibao ndani ya Dk kumi kama tangu kutekwa pale tegeta na kuelezea kwa undani sani tukio zima as if ni jambo alilolijua muda mrefu hadi namba za watekaji ,kumuacha mnyika nje ya uchunguzi litakuwa jambo la hovyo sana. Mnyika huyohuyo...
  10. mirindimo

    TETESI JOHN MNYIKA ATAPEWA KESI YA MAUJI NA UTEKAJI

    Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake. YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
  11. kipara kipya

    Lipumba kushiriki maandamano ya kupinga mauji ya Palestina

    Mwenyekiti wa chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba Ijumaa April 05.2024 anatarajia kushiriki maandamano yaliyoandaliwa na waumini wa Kiislam wa dhehebu la Shia yanayolenga kupinga mauaji ya Halaiki na dhulma dhidi ya raia wa Palestina, yanayotarajiwa kufanyika Ilala Boma, Dar es Salaam...
  12. Bigmaaan

    Simulizi ya Operesheni Mauaji(1970) na Habiba Shaban

    Miaka ya 1970, kulitokea wimbi la mauaji ya waganga wa kienyeji mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Wengi wa washukiwa waliachiwa huru baada ya kufikishwa mahakamani. Ndipo, Kamati za Ulinzi na Usalama za mikoa hiyo chini ya Uenyekiti wa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu, waliagiza wote walioshukiwa na...
  13. Torra Siabba

    DOKEZO Mwanza: Mtoto Mchanga adaiwa kupoteza maisha kwa uzembe wa Nesi, Kituo cha Afya Bulale

    Iko wazi kwamba Serikali ya Awamu ya Sita dhamira yake ni kuona wananchi wake hawapati shida, lakini cha ajabu ni kwamba Kituo cha Afya Bulale kilichopo Kata ya Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza badala ya kuwa msaada kwa Wananchi chenyewe kimegeauka kuwa kituo cha "mauaji". Ni kwamba...
  14. BARD AI

    Chato: Raia wa Burundi akamatwa na AK47 iliyotumika kwenye mauji ya mchimbaji madini

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amesema wanamshikilia raia huyo kwa tuhuma za kuingia Nchini kinyume cha Sheria na kumiliki silaha ambayo imekuwa ikitumika katika matukio ya uhalifu Kamanda amesema silaha hiyo ilitumika kwenye mauaji ya mchimbaji mdogo Tegemeo Rashid aliyeuwawa...
  15. Chachu Ombara

    Mbaroni kwa tuhuma za kubaka na kumuua mwanafunzi wa darasa la saba

    Watu wawili wanashikiliwa na jeshi la Polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za mauaji wa mwanafunzi wa shule ya msingi Mtumba, Farida Makuya (16) aliyeuawa usiku akiwa nyumbani kwao Oktoba 4, 2022. Marehemu enzi za uhai wake Binti alitakiwa kuwa miongoni kwa watahiniwa wa mitihani wa darasa la saba...
  16. Idugunde

    Tundu Lissu: Rais Samia fukuza waziri mambo ya ndani, naibu wake na Igp kwa mauji yaliyofanyika Serengeti.Fanya kama alivyofanya Nyerere

  17. Lady Whistledown

    Rwanda: Afisa wa Zamani ahukumiwa miaka 20 jela kwa kuhusika katika Mauji ya Halaiki

    Laurent Bucyibaruta, aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Gikongoro Kusini amekutwa na hatia nchini Ufaransa kwa kuhusika na mauaji ya halaiki ya mwaka 1994, ambapo takriban Watutsi 800,000 na Wahutu ambao hawakufungamana na upande wowote waliuawa. Gavana huyo wa zamani anadaiwa kutumia ushawishi wa...
  18. Idugunde

    Membe ametufumbua macho kwa Serikali ya CCM kuhusu mauaji, iundwe tume huru waliohusika moja kwa moja wachukuliwe hatua

    Kauli kuwa maiti ziliokotwa kwenye viroba wakati wa utawala wa hayati JPM ni kauli nzito, sio kauli za kubeza hata kidogo. Inaonekana Membe ana ushahidi wa kutosha na ana siri nzito juu ya hizi tuhuma. Mpaka sasa baadhi ya Watanzania hawajulikani walipo. Inahisiwa waliuawa na kutupwa kwenye...
  19. Idugunde

    Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

    Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito. Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa. Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa...
  20. Von Bismarck

    Hifadhi ya Rubondo yageuka kitega uchumi kwa askari game

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza askari wa hifadhi za wanyamapoli walio waadilifu, kwa kuendelea kusimamia kulinda urithi wa maliasili tulizo nazo ikiwemo hifadhi ya Taifa ya rubondo. Kwa wasio ifahamu rubondo ni kisiwa kinachopatikana ndani ya ziwa Victoria. wilayani chato, Mkoani Geita...
Back
Top Bottom