mauji

Man Mauji (transl. Capricious minded) is a 1962 Indian Hindi-language film starring Kishore Kumar and Sadhana, and directed by Krishnan–Panju. Jayalalithaa played Lord Krishna in a 3-minute dance sequence held on stage in the film and danced with Kumari Naaz, who played Radha in that dance sequence. In that film, the main lead Kishore Kumar and the artistes Sulochana Chatterjee and Sunder watch the dance performance. The film was a remake of Telugu film Donga Ramudu.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia fukuza waziri mambo ya ndani, naibu wake na Igp kwa mauji yaliyofanyika Serengeti.Fanya kama alivyofanya Nyerere

  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Afisa wa Zamani ahukumiwa miaka 20 jela kwa kuhusika katika Mauji ya Halaiki

    Laurent Bucyibaruta, aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Gikongoro Kusini amekutwa na hatia nchini Ufaransa kwa kuhusika na mauaji ya halaiki ya mwaka 1994, ambapo takriban Watutsi 800,000 na Wahutu ambao hawakufungamana na upande wowote waliuawa. Gavana huyo wa zamani anadaiwa kutumia ushawishi wa...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Membe ametufumbua macho kwa Serikali ya CCM kuhusu mauaji, iundwe tume huru waliohusika moja kwa moja wachukuliwe hatua

    Kauli kuwa maiti ziliokotwa kwenye viroba wakati wa utawala wa hayati JPM ni kauli nzito, sio kauli za kubeza hata kidogo. Inaonekana Membe ana ushahidi wa kutosha na ana siri nzito juu ya hizi tuhuma. Mpaka sasa baadhi ya Watanzania hawajulikani walipo. Inahisiwa waliuawa na kutupwa kwenye...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

    Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito. Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa. Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa...
  5. Von Bismarck

    JamiiForums Tanzania Hifadhi ya Rubondo yageuka kitega uchumi kwa askari game

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza askari wa hifadhi za wanyamapoli walio waadilifu, kwa kuendelea kusimamia kulinda urithi wa maliasili tulizo nazo ikiwemo hifadhi ya Taifa ya rubondo. Kwa wasio ifahamu rubondo ni kisiwa kinachopatikana ndani ya ziwa Victoria. wilayani chato, Mkoani Geita...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi wasema Nabii Abraham Peter alinyofolewa viungo vya sehemu za siri baada ya kuuawa

    Taarifa imetolewa kwa mujibu wa Gazeti la Nipashe Inamuhusu Nabii Abraham Peter almaarufu Katapila wa Jijini Arusha Taarifa rasmi ya uchunguzi wa polisi inaeleza kuwa baada ya kuuawa viungo vyake nyeti vilinyofolewa. ---- Nabii huyo baada ya kuuawa Oktoba 14 mwaka huu, mwili wake...
  7. haha

    JamiiForums Tanzania Mauaji yanayosababishwa na wivu wa mapenzi ni janga kwa sasa. Nini kifanyike?

    Kwakweli ukiwa ni msomaji magazeti na mitandao ya kijamii na vyanzo mbali mbali vya taarifa lazima utastuka hali imekua mbaya wandugu? Kulikion Watanzania! Nini kimezikumba hizi ndoa au haya mahusiano? Mbaya zaidi mpaka watu wenye umri mkubwa wameingia kwenye mkumbo huu! Hali ni mbaya mno tena...
Back
Top Bottom