matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MATUMIZI YA DRONES TANZANIA

    Drones Tanzania: Fursa Zake Katika Kilimo na Usimamizi wa Maafa Katika dunia ya sasa, teknolojia ya drones (ndege zisizo na rubani) imekuwa chombo muhimu si tu kwa shughuli za kijeshi bali pia kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Tanzania haijabaki nyuma – matumizi ya drones yameanza kushika...
  2. Hivi haiwezekani kuuwa au kupoteza kabisa baadhi ya maneno yasiendelee kuwepo tena kwenye matumizi?.

    Kumekuwa na tabia inayoendelea kukomaa kwenye jamii na haswa kwa Vijana ambapo huona ni ujanja kutumia maneno ambayo tulishakubaliana kama jamii kuwa ni matusi.Haswa matumizi ya kutaja maumbile ya jinsia ke kiasi kwamba sasa hata Watoto wamejikuta wakizoeshwa kuyasikia kama maneno ya kawaida...
  3. Wakuu wa Kaya, hivi tatizo ni mshahara mdogo au matumizi mabaya ya fedha?

    Wakuu wa KAYA hivi mbona hadi nae muona ana mshahara mzuri nae analalamika mshahara mdogo hautoshi hivi tatizo nini haswa? Mshahara mdogo? Matumizi mabaya ya fedha? Au kuto kuwekeza?
  4. Elimika na Epuka madhara yasio ya lazima ya dawa hapa nitatoa ufafanuzi juu ya hili hasa matumizi yasiyo sahihi kwa Antibiotics

    Antibiotics ni dawa zinazotumiwa kutibu maambukizi ya bakteria. Hata hivyo, matumizi holela ya antibiotics yanaweza kuleta madhara mbalimbali ambayo ni muhimu kujua. Hapa kuna baadhi ya madhara hayo: 1. Ukuaji wa Uhimili (Resistance): Matumizi yasiyo sahihi ya antibiotics yanaweza kusababisha...
  5. SULPHUR kwa matumizi ya Viwandani inapatikana

    Hello wa JF, Kwa mtu ambaye anahitaji Sulphur kwa matumizi ya viwandani au Migodini inapatinaka. Ipo kwenye mfumo wa GRANULAR. Mzigo upo wa kutosha (zaidi ya 15,000 MT). Mzigo upo Dar es salaam, Tanzania. Documentz zote zipo. Inatumika kwenye: - fertilizer production 🌾 - chemical...
  6. Uwezo wa Houth kuzipiga droni za MQ-R yatajwa ndio sababu ya kutoshindwa kwao.Makamanda waonya matumizi ya silaha zinazohitaji kupigana na China

    Kwa vile Marekani haiwezi kuwa na askari wa upelelezi ndaniy ardhi ya Yemen inalazimika kutumia droni kwa kazi hiyo.Droni zinazoaminiwa na jeshi ni aina ya MQR-9 na matoleo yanayofanana nayo. Hizo ni aina ya droni zilizotengenezwa kwa bei kubwa kila moja ikigharimu dola milioni 30.Lakini...
  7. M

    Kwanini Kanisa Katoliki hawavunji Mkataba wa Fedha MoU?

    KANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU? Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo. Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya...
  8. MATUMIZI YA AKILI MNEMBA ChaGpt, kwenye ujenzi

    Watalamu Tunaweza rahisisha mambo chapu chapu hasa wale ambao hatuna ujuzi kbs wakujua makadirio ya vifaaa twende kazi NB:_ Kuna muda ana boronga mambo hakika una m feed taarfa sahihi ili akupe jibu sahihi lakin pia unawez kuendelea kujadiliana nae kama hujalizika na Majibu
  9. Matumizi ya chumvi ya mawe

    Chumvi ya mawe (au rock salt) imekuwa ikitumika kwa maelfu ya miaka si tu kwa kupikia, bali pia katika matumizi ya kiroho na kitabia katika jamii nyingi duniani. Hapa chini nitakuelezea: 🌿 Matumizi na Faida za Chumvi ya Mawe Kiroho 🔮 1. Kusafisha mazingira ya kiroho Chumvi ya mawe inaaminika...
  10. K

    Kiongozi asiyesoma mapato na matumizi ni mwizi anayeheshimika, mwenye kulipwa posho akitofautishwa na kibaka mwizi wa kuku mtaani

    Kiongozi asiyesoma mapato na matumizi ni mwizi anayeheshimika, mwenye kulipwa posho akitofautishwa na kibaka mwizi wa kuku mtaani Professor Abubakar Bin Zuber Bin Ally Bin Mbwana, Mufti na Shekhe Mkuu wa Tanzania, akiwa katika Maombi kwenye usiku wa Laillahtul Qadri, nakumbuka tarehe 28/03/2025...
  11. Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

    Ma bro hamjambo....... Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri. Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha...
  12. S

    Matumizi mabaya ya Maombi

    Unaishi kihuni hujali HAKI za watu. Wakidai HAKI zao unawaona maadui. Yanakukuta yakukukuta ambayo kimsingi ni mavuno ya Mbegu mbovu uliyoipanda unaanza kutaka tukuombee. Hapo hamna namna zaidi ya kufanya amani na wote uliowadhulumu HAKI zao au uwajibike kivyako kwa matendo yako. Waombaji...
  13. Wanaume wanne wakamatwa Kenya kwa kusafirisha Malkia wa Siafu hai. 5,000 wakutwa kwenye mirija

    Wanaume wanne wawili raia wa Ubelgiji, mmoja wa Vietnam na Mkenya mmoja wanashikiliwa nchini Kenya kwa tuhuma za kumiliki na kufanya biashara ya kusafirisha Malkia wa Siafu walio hai. Washtakiwa hao wamekiri makosa yao mbele ya Hakimu Mwandamizi Njeri Thuku katika Mahakama ya Uwanja wa Ndege...
  14. Matumizi ya Akili Mnemba Kwenye Taaluma ya Habari

    Katika enzi ya kisasa ya kidijitali inayobadilika kwa kasi, ujumuishaji wa akili bandia (AI) katika tasnia umesababisha mabadiliko ya uandishi wa habari . Teknolojia za AI zinaunda upya jinsi habari zinavyokusanywa, kuchambuliwa na kusambazwa. Wakati maendeleo haya yana ahadi ya ufanisi zaidi...
  15. Maswali Yanayoulizwa kuhusu Matumizi ya Akili mnemba katika Taaluma ya Uandishi Wa Habari

    Maswali yanayoulizwa mara kwa mara 1. Je, AI inaweza kuchukua nafasi ya waandishi wa habari wa kibinadamu kabisa? Hapana, AI inatazamwa vyema kama zana inayoongeza uwezo wa uandishi wa habari, lakini uangalizi wa kibinadamu na uamuzi wa kimaadili unasalia kuwa muhimu kwa kudumisha ubora wa...
  16. S

    Windows 7,8, 10, 11. Okoa kifurushi Cha Intaneti na data saver 99%

    Data saver 99% software inasaidia kudhibiti matumizi ya kifurushi Chako Cha Intaneti kwa kuchagua programu gani itumie intaneti kwa wakati unaotaka kwenye kompyuta (Windows OS 7, 8, 10, 11) yako. Programu inauzwa 30,000 Tsh. Kumbuka bila kuwa na hii programu kifurushi Chako Cha Intaneti...
  17. Mbio za mwenge na matumizi ya watoto qa halaiki.

    Wana bodi huu upuuzi wa kutumia watoto katika halaiki na kuwalipa 3,000/= ni aibu. Yaani watoto washiriki mazoezi kwa muda wa wiki tatu(3) na gharama za usafi ni kwa wazazi, kisha baada ya kukamilika zoezi hilo wanaambulia tracksuits na Shilingi 3,000/=. Wakati wakuu wa idara wanapewa nauli...
  18. Nauza Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) kwa matumizi ya ofisi na binafsi

    Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi: Printing,scanning and photocopying Bei: Tsh 350,000/= Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521 Ofa: wino+ Rimu
  19. Waratibu wa Shindano la urembo la Miss Ivory Coast 2025 wapiga marufuku matumizi ya Wigi

    Waratibu wa Shindano la Urembo la Miss Ivory Coast Mwaka 2025 wamepiga marufuku matumizi ya washiriki kuvaa nywele bandia (Wigs) au kuongeza nywele bandia katika sehemu za nywele zao Mratibu wa Shindano hilo linaloanzia hatua ya awali katika Miji 13, Victor Yapobi amesema “Tunataka Washiriki...
  20. T

    Serikali badilisheni matumizi ya misitu ya makongo na changanyikeni ziwe public parks. Tunakosa activities hapa Dar

    Habari wakuu Kwako mama Samia Suluhu na waziri wa ardhi wa JMT Dar es salaam imekuwa ni kijiji ambacho kimezungukwa na Bar kila kona, Kelele na kumbi za sherehe huku beach zetu nazo ni chafu sana Sisi tusiopenda vitu vya namna hiyo, tunakosa mahali pa kwenda kupumzika na kupeleka watoto. Si...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…