Tulifahamu tangu awali kwamba ccm ni ile ile , ila kuna tofauti kidogo kati ya viongozi wanaopewa Mamlaka na Chama hicho , kiongozi mwenye exposure hutofautiana kidogo uungwana na kiongozi wa kutoka porini , tofauti ipo ya namna ya kuhandle issues , kujua wapi aongee nini na wapi atishie watu...