UTANGULIZI
Kila mwanadamu ana masimulizi ya matukio kadhaa katika safari yake ya maisha, matukio hayo yanaweza kuwa ni mkusanyiko wa harakati za kiuchumi, kisiasa ama kijamii alizopitia msimuliaji. simulizi hizo, zinaweza kuwa ni matukio yake binafsi, ndugu ama marafiki zake wa karibu ambapo...