matibabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chandika: Watoto 3,000 hukosa matibabu ya moyo kwa mwaka

    Imebainika kuwa zaidi ya watoto 3,000 nchini hukosa matibabu ya moyo kila mwaka. Kutokana na hali hiyo, madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto kutoka nchini Kuwait wameweka kambi ya wiki moja katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya kati Benjamin Mkapa jijini hapa, kwa ajili ya matibabu...
  2. JamiiForums Tanzania 40% ya Wagonjwa wanaotibiwa Saratani Hospitali ya Bugando ni Wanawake wenye Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Mkuu wa Idara ya Saratani wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dkt. #NestoryMasalu amesema 40% ya Wagonjwa wote wanaotibiwa tangu mwaka 2009 ni Wanawake wenye #Saratani ya Shingo ya Kizazi. Dkt. Masalu amesema #Bugando inahudumia Wagonjwa wapya 1,500 wenye tatizo la Saratani kwa mwaka huku zaidi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu aiomba Serikali ipunguze gharama matibabu ya Figo

    Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Geita, Flavian Kasala amesema gharama kubwa ya matibabu kwa wagonjwa wa figo imesababisha baadhi ya wagonjwa wanaotibiwa hospitalini kusitisha huduma kwa kushindwa kumudu gharama hivyo kupelekea vifo vya haraka ambavyo vingeweza kuzuilika. Kutokana na hali...
  4. JamiiForums Tanzania Peter Msechu afanyiwa matibabu ya kuwekewa puto tumboni

    Peter Msechu amefanyiwa matibabu ya kuweka puto tumboni ili kupunguza uzito na unene inayoendelea kutolewa katika hospitali ya Mloganzila. Peter Msechu amefunguka machache kuhusiana na changamoto ya kuwa na uzito wa kupitia kiasi kama ifuatavyo "Watu wananisema sana mtandaoni kuwa Mimi ni mnene...
  5. JamiiForums Tanzania Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

    1) Basila Mwanukuzi 2) Jerry Muro 3)Siriel Mchembe. 4)Gabriel Zachariah. 5)Jasinta Mboneko. 6)Mathayo Masele. 7)Zainabu Kawawa. 8)Tano Mwera. 9)Abbas Kayanda. 10)Festo Kiswaga. 11)Wilson Shimo.
  6. JamiiForums Tanzania Sababu na matibabu ya tatizo la kujamba kwa Uke

    Hii ni hali ya utoaji wa hewa au gesi uliyojikusanya ndani ya Uke. Tofauti na kujamba kwa kawaida ambako hutokea kwenye tundu la haja kubwa, uke huwa hautoi gesi chafu ambazo hutoa harufu kali. Kitendo hiki kinaweza kutokea wakati wa tendo la ndoa, mazoezi au pale ambapo mwanamke anakuwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Je, Mtu mwenye Kansa, anaweza akapewa Bima Binafsi?

    Ubaguzi mwengine wizara ya Afya. Nina jirani yangu kapatikana na kansa. Tiba yake kaambiwa ajiandae na zaidi ya sh mil 5 cash. Kaulizia iwapo akikata bima kama ataweza kupata tiba. Kaambiwa so ya private; labda apatikane mfanyakazi aliyeajiriwa hivi karibuni na amwandikishe kama mke wake...
  8. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa lishe wakati wa matibabu ya Saratani

    Wagonjwa wa saratani hupitia changamoto kubwa ya ulaji inayotokana na maudhi ya dawa wanazotumia au tiba wanayopatiwa. Matibabu yao huzongwa na vipindi virefu vya kubadilika kwa hamu ya kula na uzito wa mwili. Baadhi ya tiba huwafanya wapoteze hamu ya kula hivyo kusababisha kupungua kwa uzito...
  9. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata matibabu ya tonsils sugu?

    Katika ukuaji wangu sikuwa naugua ugonjwa wa tonsils mara kwa mara ilikuwa inatokea kwa nadra sana. Miaka mitano nyuma nilikuwa kikazi ukanda wa nyanda za juu kusini kikazi ndio ugonjwa wa tonsils ukawa ni kama ugonjwa wangu wa kudumu. Nikinywa kitu chochote cha baridi baada ya dakika tano...
  10. JamiiForums Tanzania Askari aliyempiga mwanafunzi wa IAA asimamishwa kazi, SUMA JKT kufidia gharama za matibabu

    Chuo cha Uhasibu Arusha kimethibitisha tukio la Askari wa SUMA JKT kumshambulia mwanafunzi wa chuo hicho baada ya kujibizana kwa madai ya kutokuwa na Kitambulisho. Askari huyo amesimamishwa kazi huku Uongozi wa Chuo ukiagiza achukuliwe hatua zaidi za kiutendaji na kijinai, pia, Mwajiri wake...
  11. JamiiForums Tanzania Nipo tayari kujitolea gharama za matibabu ya akili kwa mkurugenzi wa Tanesco Kariakoo CBD

    Kwa kweli, kwa kweli, jamani, kwa hili la kukata umeme Kariakoo tangu asubuhi hadi muda huu umeme haujarudi kwa maeneo mengi ya Kariakoo, binafsi nipo tayari kutoa usafiri hadi Milembe, na nitalipa gharama zote za matibabu, this is Insanity!!!!!!!
  12. JamiiForums Tanzania Rudiger aagiza posho zake za Kombe la Dunia zisaidie matibabu ya watoto

    Beki wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ujerumani, Antonio Rudiger ameanza kampeni za mashindano ya kombe la dunia kwa staili ya kipekee, baada ya kuagiza fedha zote atakazolipwa Kombe la Dunia ziende kwa watato wenye mahitaji. Kundi la watoto 11 wenye mahitaji, wanaoishi nchini Sierre Leone...
  13. JamiiForums Tanzania Ulitumia dawa au matibabu gani kupona ugonjwa uliokusumbua kwa muda mrefu?

    Wakuu salaam, Watu wengi tumekuwa tukihangaika kupata matibabu ya magonjwa mbalimbali yanayotusumbua kwa muda mrefu bila mafanikio yoyote. Tunatembelea hospitali mbalimbali, kupata vipimo na kupewa dawa (medications) tofautitofauti lakini mwisho wa siku hatupati nafuu. Lakini kwa upande...
  14. JamiiForums Tanzania Matibabu ya Kiharusi (Stroke) nchini hugharimu Tsh. Milioni 5-15

    Daktari Bingwa wa Upasuaji Ubongo kutoka Taasisi ya Mifupa MOI, Dkt. Laurent Mchome amesema kumekuwa na ongezeko kubwa la Wagonjwa wa Kiharusi nchini na wanaokutwa na tatizo hilo sana ni watu wenye miaka 40 na kuendelea. Akielezea utaratibu wa gharama za Matibabu ya Ugonjwa huo ambao mara...
  15. JamiiForums Tanzania Watoto wengi wanakutwa na Saratani iliyofikia hatua mbaya

    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani na Damu kwa Watoto kutoka Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Dkt. Heronima Kashaigil amesema kuwa watoto 5 hadi 7 wanahudhuria Kliniki ya matibabu ya Saratani kila siku, sawa na watoto 250 kwa mwezi. Utafiti uliofanywa na Shirika la ICCARE Tanzania ulibaini...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy aagiza matibabu ya Malaria kuwa Bure

    WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameagiza matibabu ya malaria kutolewa bure kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya serikali.Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa wananchi wanaofika kufanya vipimo vya malaria na kifua kikuu. Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Madhara ya matumizi ya dawa za kulevya na matibabu yake kwa ustawi wa jamii

    Andiko langu linahusu madhara ya matumizi ya dawa za kulevya na matibabu yake jinsi gani mtumiaji au muathilika wa dawa za kulevya anaweza kupata matibabu na akaludi katika hali ya usawa, Aina ya dawa za kulevya, 1. Heroin 2. Bangi 3. Cocaine 4. Dawa za tiba zenye asili ya kulevya 5...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Mnatuchosha wanasiasa. Mtulipishe tu huo umeme wenu laki 8, Kila kitu tumejenga shule, afya mara barabara. Hizo V8 zenu mbona hamzitaji?

    Viongozi wa serikali Kila gharama serikali inayoingia kuhudumia jamii mnalalamika wakati Kodi mnazichukua kwetu. Kwani mnataka pesa ya serikali mfanyie nini? Mbona kama V8 zenu, maposho na mishahara mikubwa mnayolipana hatulalamiki? Juzi Waziri Afya eti NHIF inapata hasara Hadi kutamani...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Heri kubaki na afya njema kuliko kutafuta matibabu bora

    Awali ya yote, nipende kumshukuru Mungu mwenyezi atupae uhai na uzima bure, pamoja na afya kwa wana jamii forum wote. Afya njema iko juu ya mali na utajiri. Afya bora ni zaidi ya umaridadi au umashuhuri, na tena afya ni zaidi ya kutokuwa na ugonjwa. Zipo tafsiri mbalimbali juu ya afya ikiwemo...
  20. JamiiForums Tanzania MSAADA: Matibabu ya mgonjwa wa akili

    Wakuu heshima kwenu. Naomba msaada wenu kuhusu matibabu sahihi ya ugonjwa wa akili na mahali yanapopatikana. Nina ndugu yangu alianza kusumbuliwa na ugonjwa huu tangu akiwa mdogo. Baada ya kutibiwa huku kijijini bila mafanikio alipelekwa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi. Pale Muhimbili alifanyiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…