Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetangaza kusitishwa kwa huduma ya maji kwa takribani saa 12 katika maeneo ya Dar es Salaam na Pwani, kesho Alhamisi, Septemba 10, 2026.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano DAWASA, Bi Everlasting Lyaro amesema huduma itakatika...