matapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Digital Sadism Contents Creators wa kisiasa wamekata pumzi baada ya kubainika kua ni matapeli wa pesa kimtandao, kisaikolojia, na wapenda fujo

    Nguvu na umaarufu wa uzushi, uchochezi na porojo zao za kujaribu kuwafarakanisha wananchi na serikali yao vimekosa nguvu kabisa sasa, hasa baada ya waTanzania wengi kubaini kwamba wanarubuniwa, wanatumika na kutapeliwa kisaikolojia kwa kwa kuuziwa hadidhi, picha na video za uongo zenye maudhui...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi matapeli mamboleo hutumia mitandao na saikolojia kuliza watu

    Matapeli wa kisasa ni wahandisi wa akili (psychological engineers) au manipulators . Hawaji kuiba pesa zako mara moja; badala yake, wanajenga mazingira ambayo wewe mwenyewe utawapa pesa kwa hiari yako. Hivi ndivyo wanavyotumia saikolojia kumnasa mtu: 1. Kukuvutia na Maisha ya Ndoto zako (The...
  3. JamiiForums Tanzania Mama Kanumba na matapeli wa freemason

    Katika Hali ya kushangaza, yule jamaa anae jiita tajiri chui kamuongeza mama KANUMBA kwenye crew yake ya matapeli, Yani jamaa amemshawishi mama KANUMBA mpaka NAE kakubali, je mama hajui hao ni matapeli? Kwenye picha mama KANUMBA ni huyo alie na mviii nyingi mwanamke peke yake. Nani alaiwe kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hapa ndo unaona Tofauti ya wenye Dini na Sisi Vilaza, Vibaka, Waganga Njaa, Matapeli.

    Sisi tulichoweza ni kufuga ndevu na kupaka Henna, lakini Elimu kama Elimu hatukuwahi kupata tukisha kariri mistari na kuvaa vipedo basi tunaamini tushamaliza. Wapo wenye Dini yao. Hao huwa wanakuwa tofauti na kuwa na Uelewa wa tofauti sana. Mpaka utashangaa sisi mbona ni kama nyumbu, manyani...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna connection kubwa kati ya polisi na wezi ama matapeli

    Sometimes unaweza kusema tofauti yao ni uniform tuu Mwaka 2005 vibaka/wezi waliruka ukuta wakavunja mlango wakaiba jikoni na sebuleni kisha wakaenda kufanya karamu kwenye gari Kulipokucha nikaenda police kuripoti, baada ya mahojiano askari akanijulisha kuwa wezi wangu wanatoka eneo fulani...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hawa matapeli huwa mbinu zao ni zilezile?

    Meseji hii kanitumia INBOX: Hello darling. How're you doing?, my love i must tell you, I'm no longer happy here . My life has been miserable here for the last 3 years. I am a beautiful woman but I am not married and every day I get older. Please, my love, I want you to help me finish my...
  7. JamiiForums Tanzania Nilikuwa wa kwanza kumkataa Folz na Adambwile ni matapeli

    Mlinipinga sana kuhusu huu ukweli. Ila kadri siku zinavyoenda wote mtaungana na mimi. Naujua mpira kuliko navyozijua nyuchi zangu!
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Vodacom mnatuonaje kwa huu utapeli mnaojaribu kufanyia?

    Leo nilinunua kifurushi cha intaneti kwa njia ya mpesa. Muamala ukatoka freshi, intaneti ikashika. Ghafla nikaletewa ujumbe ukisema salio langu halitoshi nichukue mkopo wa Tsh. elfu 4!🤔🤔 Bahati nzuri nilicheki salio langu kabla sijaendelea, na lilikuwepo la kutosha! Utaratibu huu ni halali...
  9. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO M-Kopa ni matapeli, washughulikiwe

    Hawa jamaa wamejaa kwenye mitandao na polisi wanawaangalia tu wakifanya utapeli ambapo wanatumia namba za simu tofauti kupokea pesa kisha kubadili mawasiliano kila mara. Wanafanya kazi kwa majina tofauti huku wakitumia tin,leseni na hati ya usajiri wa kampuni kwa majina tofauti. Wanajiita...
  10. P

    JamiiForums Tanzania KANISA KINONDONI (KRC) LINATETEA MATAPELI

    Kanisa moja maarufu kinondoni biafra (KRC ) lomekuwa likimkingia kifua muharifu wa utapeli kwa zaidi ya miaka 3 sasa. Tapeli anatumia njia ya ulokole na muhumini wa pale kanisani, jamaa anauzaga nguruwe kama mboga pale kanisani kila jumapili ila yeye ni bodaboda pale chuo kikuu huria kilichopo...
  11. JamiiForums Tanzania Jani hiloo jani la muwaaaa weweee watu wote wachepukaa lakini wewe uuuumezidiii

    eeeh anaumwaaa kijipu...anaumwaaa eheeeheeee mashallah Leo niko mambo ya pwanii karibun sanaa Forodhannii
  12. JamiiForums Tanzania Hivi hawa matapeli wanaotapeli watu huwa hawaogopi karma ?

    Huwa najiuliza matapeli wanaoiba na kutapeli WATU huwa hawaogopi karma ?
  13. JamiiForums Tanzania Mungu anasema mamlaka zote zinatoka kwake anatuasa tuzitii na kuziheshimu. Kupitia hili TZ tuna watumishi wa Mungu wachache sana, wengi ni matapeli

    Mtumishi wa Mungu ni yule anayehubiri umoja, amani, mshikamano, na upendo kwa watu na Taifa lao na si vinginevyo. Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu kuhubiri chuki, utengano, upotoshaji, uongo nk huyo si mtumishi wa Mungu ni tapeli yafaa achukuliwe hatua Kali za kinidhamu kwa mujibu wa sheria zetu...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana wanaosema wanatengeneza website bure ni matapeli

    Wadau kaeni sawa imenitokea. Matapeli wapo kazini. Hawa vijana wanao tangaza kuwa ni wataalam wa kutengeneza Website (tovuti) sawa na bure wengi wao ni matapeli hawafai. Nimekutana nao kama 4. Wamo wakenya na watanzania. Majina wanayo yatumia ni Mediapix, Datazone technology... na tovuti...
  15. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Arusha Home Design ni Matapeli Wapya Mjini

    Naandika huu Uzi kama tahadhari, Hawa Jamaa " Arusha Home Design" wanaojinasibu kwa kutengeneza TV cases za kisasa na Majiko ya kisasa ni matepeli, Niliwalipa 2.5M wanitengenezee TV cases, huu ni mwezi wa 3 wameshindwa kukamilisha kazi Yao, Nikasema niwaase Wana Arusha na watanzania kwa...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa TCRA kwa kudhibiti wimbi la matapeli kwa njia ya mtandao.

    Kila mmoja atakuwa shahidi wa haya ninayo yasema kuwa, matapeli wa mtandaoni....wale wazee wa " tuma kwa namba hii" wamedhibitiwa kikamilifu. na hata zile application za kitapeli zimekomeshwa. Tuwape pongezi wa wafanyakazi wote wa TCRA kwa kazi nzuri sana. Mwendo huohuo.
  17. JamiiForums Tanzania Kigoma inaongoza kwa kuwa na wanasiasa matapeli

    Zitto, Masele,Tumbuli nk ongezea Why always kigoma?
  18. JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa watanzania kuhusu kikundi cha Siib na viashiria vya utapeli

    Great Thinkers, Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na taarifa za kuwapo kwa kikundi kinachojiita SIIB kinachodai kuhusika na mradi wa Pi Network hapa Tanzania. Napenda kuwatahadharisha Watanzania wote—hasa wastaafu—kuwa makini sana, kwani kikundi hiki hakijasajiliwa kisheria hapa Tanzania...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Madeleka: Wanaosema watazuia uchaguzi ni matapeli kama matapeli wengine

    Hii ni kauli ya nguli wa sheria na siasa, kwa MBA, uchaguzi hauzuiliki. Kauli hiyo ameitoa wakati akipasua anga za wilaya ya Busega akieneza sera za ACT Wazalendo. === Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia ACT Wazalendo, Peter Madeleka, amesema kuwa serikali iliyoko madarakani sasa itafikia...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa haloteli wanatuibia

    Wakuu nawataarifu msinunue mabandle kwenye halotz...wanaiba hela kwa nguvu 1. Nilikuwa na dkk zaidi ya 600 za mwezi zilitakiwa ziishe 20 July lakini zimeipotea yaan ukiangalia salio ni zero na sijazitumia 2. Nilinunua GB 1 jana usiku nikaingia fb dkk moja nikalala asubuh nikakuta no data...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…