SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) linaripotiwa kufikiria kuahirisha michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 hadi 2028 kutokana na wasiwasi wa utayari wa miundombinu na marekebisho yanayoendelea ya kalenda ya soka ya bara hili.
Uvumi huo unakuja kabla ya kikao cha Kamati ya Utendaji...
Angalia picha ya Mke wa Boby wine akiwa amekaa kwenye sakafu huku akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Hii ni kinyume na haki za kibanadamu na utu.
Kwa nini Wanamchi wa Afrika mashariki wanafanywa wajinga?
Mataifa yao kugeuzwa nchi za kisultani?
Mapinduzi ya kifikra na hata kimwili yanahitajika...
28 October 2025
Addis Ababa
Ethiopia 0 - 1 Tanzania
Tanzania yafaulu mtihani wa kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake la TotalEnergies, Morocco 2026. Twiga Stars imeweza kuingia katika hatua ya michezo ya fainali kwa bara la Afrika baada kuwatoa Ethiopia (2-0) katika mkondo wa...
Mechi ya fainali ya kombe la mataifa ya Afrika itapigwa Nairobi. Lakini tunazijua siasa za Kenya zilivyo na machafuko, maandamano na kuuana. Uchaguzi wa taifa la Kenya ni 2027.Sioni kama hii fainali itapigwa Kenya. Tanzania naiona ikibeba fursa
Nchi zinazoongozwa na utawala wa kijeshi, ikiwemo Burkina Faso, Mali na Niger, zimejiondoa rasmi katika Jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS).
Taarifa iliyotolewa na ECOWAS leo Jumatano, Januari 29, 2025, imeeleza licha ya kujiondoa kwao, imetaka mshikamano wa kikanda na...
record babkubwa zaidi.
1) Aucho mchezaji wa Yanga alikuwa timu yao ya taifa na wamefuzu.
2) Diarra yupo Yanga kashiriki kufuzu AFCON na Mali imefuzu.
3) Dube yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Zimbabwe imefuzu AFCON
4) Aziz ki yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Burkina Faso imefuzu...
Habari zenu waungwana, leo nimeona nifunguke hapa ili niweze kushea nanyi mambo nilyoyaona baada ya kufanya critical thinking ya hali ya juu
Natambua watu wetu wa intelejensia wameshaliona hili jambo tatizo lipo kwa watanzania wa kawaida, wengi information zao uzipata kupitia vyombo vya habari...
Ukitaka kutambua utofauti wa uwezo wa akili baina ya mtu mweusi na mweupe.
Tazama namna North Korea yenye vikwazo chungu nzima, Iran yenye vikwazo chungu nzima dhidi ya mataifa ya kusini mwa jangwa la Sahara usiisahau nchi ya Tanzania.
NB: Napo sisitiza kuwa uwezo wa kiakili wa mtu mweupe...
Miongoni mwa waliosimama jukwaani kuhutubia alikuwa ni rais Paul Kagame wa Rwanda. Alijikita kuzungumzia mzozo wa madeni unavyoyatia kitanzi mataifa yanayoendelea na kuyapunguzia kasi ya kutimiza Malengo ya Maendeleo Endelevu ikiwa ni pamoja na kutokomeza umasikini.
Amesema sababu ya hali hiyo...
KOREA Kaskazini imesema siku ya ya Alhamisi kuwa inakusudia kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika na kuapa kupanua uhusiano huo wa "urafiki na ushirikiano."
"Tumejitolea kuziunga mkono kikamilifu nchi za Afrika katika juhudi zao za kufikia amani, utulivu na uadilifu wa kisiasa...
Kumekuwa na hali ya mazoea au unyonge ambao mataifa ya Afrika kuwa nayo katika mashindano ya kombe la Dunia na ni wazi huonekana fikra na mawazo yq kushindwa au kutokufanya vizuri kuanzia katika akili zao(saikolojia) hadi vitendo kwa mara ya kwanza nimemuona rais wa chama cha soka cha cameroon...
Ifike wakati Sasa Afrika tuungane Katika kutetea masilahi yetu. Linapokuja suala la Afrika lisiachwe liwe la mtu mmoja,au taifa moja.
Afrika tuoneshe kujitambua.
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho.
• Algeria 🇩🇿
• Angola 🇦🇴
• Congo DR 🇨🇩
• Egypt 🇪🇬
• Guinea 🇬🇳
• Libya 🇱🇾
• Morocco 🇲🇦
• Nigeria 🇳🇬
• South Africa 🇿🇦
• Sudan 🇸🇩
• Tanzania 🇹🇿
• Tunisia 🇹🇳
Mataifa yote duniani yaliombwa yakemee mauaji ya kimbari aliyoyafanya Urusi kule Ukraine, ila kuna baadhi ya mataifa ya Kiafrika yaliingiza mikia kwenye miguu na kusema hayafungamani na upande wowote, baadaye taarifa zimetoka kumbe haya mataifa maskini yanategemea Urusi kwa ngano hivyo kwa...
Wakati idadi ya nchi zinazotangaza marufuku ya safari za ndege kwa mataifa ya Kusini mwa Afrika ikiongezeka kutokana na hofu ya aina mpya ya virusi vya COVID-19 vya Omicron, shirika la afya la Umoja wa Mataifa ulimwenguni WHO leo limezisihi nchi kufuata sayansi na kanuni za kimataifa za afya za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.