mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwa mjibu wetu sisi Wa Iran weusi wa Tandale, Netanyahu tulishamdedisha, huyu anayeomba uungwaji mkono na mataifa anatokea wapi?

    Hii habari ya Kuuwawa kwa Netanyahu, tufute tuanze upya kumsaka Mbona tulishamdedisha? Huyu anayekaa na kuwa na press mbalimbali kujidai atawauwa viongozi wetu wenye Iran yao, anatoka wapi? Nahitaji kufahamishwa, Au tulipigwa na kitu kizito shabaha yetu ililenga mdoli wa Netanyahu na...
  2. Webabu

    Netanyahu kama Trump aomba mataifa duniani yaingie kati kupigana na Iran

    Maelezo hayo ya kuchanganyikiwa Netanyahu ameyatoa siku moja baada ya kombora zito la Iran kupiga karibu kabisa na kinu cha nyuklia cha Dimona kilichopo kusini mwa Israel, ikiwa ni jibu la kushambuliwa kwa kituo chake cha nyuklia cha Natanz. Katika maelezo hayo,Netanyahu amesema mataifa mengi...
  3. MakinikiA

    Mataifa yasipozinduka na kumkemea Netanyahu mapema atasababisha anguko lingine la kiuchumi zaidi ya corona

    Wandugu Nianze kwa kusema kwa sasa wote wamebaki mabubu,wameshikwa na butwaa hawajui waseme nini juu ya Netanyahu, na hii ni kwa sababu ya utashi wa mtu binafsi Huyu Netanyahu kwa sababu hata Myahudi wa miaka 70 ukimuuliza je unaweza kuwamaliza maadui zako wote na ukaishi salama atakujibu yeye...
  4. Ritz

    Trump aomba msaada kwa mataifa waungane kupigana na Iran kupita Homuz, mataifa nengi yamekataa

    Wanaukumbi. Trump anataka mataifa yaungane washirikiane na Marekani kupeleka majeshi Iran wakapigane kupita mlango wa Homuz Japan imekuwa ya kwanza kukutaaa. Trump alianzisha vita ambavyo sehemu kubwa ya dunia ilikuwa dhidi yake, na sasa anaomba China, Uingereza, Ufaransa, Japan na Korea...
  5. Parabolic

    Umoja wa Mataifa waeleza matumaini yake kwa Tume ya Jaji Chande

    Mtaalamu Maalum wa United Nations kuhusu haki ya uhuru wa kukusanyika kwa amani na kujumuika, Gina Romero, ameipongeza Tanzania kwa kuunda tume huru ya uchunguzi kuhusu matukio ya vurugu ya Oktoba, akisema hatua hiyo inaonyesha dhamira ya nchi hiyo kulinda haki za binadamu. Romero alitoa kauli...
  6. X

    Kwa China kila goti litapigwa. Do nothing win

    Kadiri miaka inavyoenda ndivyo umuhimu wa China unazidi kuonekana duniani, Mchina ana soft power moja inayokua kwa kasi sana. China haihitaji kuanzisha unnecessary wars and conflicts duniani kama Marekani to prove how powerful it is. Chinese strategy; do nothing and win game theory. Tangu...
  7. M

    Mwigulu: Hao wanaotoka kwenye mataifa yao, wanadhani sisi bado ni makoloni yao, wanatuletea vingereza vingi vingi...

    Waziri Mkuu Mwigulu ameyasema hayo leo Wilaya ya Karatu wakati wa ziara ya kikazi, akiwa anamzungumzia mkandarasi wa kigeni aliyepewa kujenga mradi wa umwagilia na kushindwa kuutekeleza, na aliambiwa kunyang'anywa akaishtaki Serikali
  8. M

    Kwa rank yetu jeshini namba 6 duniani, tukirushiwa bomu na mataifa tuliyoyazidi kama Uturuki, Israel, Pakistan, Misri, n.k. Tutajibu au kufunika kombe

    Kwa ranks tunazozisikia Jeshi letu lipo fiti sana ni la sita dunioni hao wanyonge namba saba na kuendelea wakirusha bomu tutajibu au ?
  9. H

    Mashulizi Dhidi ya Iran Yalenge Watawala, Wananchi Walindwe Au Wasaidiwe Kuingia Mataifa Jirani.

    Mods, tafadhali naomba isomeke MASHAMBULIZI, na siyo MASHULIZI. Siku zote nchi inapokuwa katika shida ya amani, chanzo huwa ni watawala waovu wenye kiburi. Israel na Marekani, wanajua kuwa: 1. Wahanga wakubwa wa kwanza wa utawala katili wa Ayatollah, ni wananchi wa kawaida wa Iran. 2. Wananchi...
  10. O

    Iran imetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kufanyia kikao cha dharura Baraza la Usalama.

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, leo alitaka mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuzuia kile ambacho Iran inakitaja kama mashambulizi ya anga yanayoendelea ya Israeli na Marekani. Amesema " Huu utakuwa mwisho wa taasisi za kimataifa." Vyanzo...
  11. O

    Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni.

    Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
  12. Dalton elijah

    Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani

    Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani. Uhusiano kati ya Pakistan na Afghanistan umekuwa wa mashaka kwa miongo mingi, lakini hivi karibuni hali imechafuka zaidi kutokana na sababu kadhaa za kiusalama na...
  13. Mindyou

    Umoja wa Mataifa: Serikali imuachie mara moja na kumlipa fidia Tundu Lissu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimetangaza kuwa Umoja wa Mataifa kupitia Kikundi Kazi chake kimetoa uamuzi unaoitaka Tanzania kumuachia huru mara moja na kulipa fidia Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma...
  14. Genius Man

    Inadaiwa umoja wa mataifa umeitaka mamlaka ya Tanzania imuachie Lissu mara moja kutokana na habari zinazosambazwa na BBC, DW

    Inadaiwa umoja wa mataifa umeitaka mamlaka ya Tanzania imuachie Lissu mara moja kutokana na habari zinazosambazwa na BBC, DW Vyombo hivi vimekuwa viki ripoti habari zote ya kinacho endelea mahakamani na inaonesha kwamba kesi ni ya uongo hali ambayo imechochea shinikizo la kimatifa kutaka Lissu...
  15. Troll JF

    Umoja wa Mataifa UN waipongeza Tanzania kwa mchango wake kulinda amani

    Tanzania to the World!!!!! Tunasonga mbele, Tanzania imepongezwa kwa kutuo Jumla ya Wanajeshi na Polisi 1,500 kwa ajili ya kuilinda amani katika mataifa mbalimbali Duniani.
  16. Pakome

    Sikuwahi kujua kama Watanzania ni watu wanaojidharau kiasi hiki, wanaamini Mataifa mengine ndiyo Paradiso, wageni ndio wenye thamani bali si wao

    Hali inatisha sana, Watanzania ni watu wanaojidharau sana sikuwahi kufahamu hili tangu mwanzo Hawajiamini kabisa hasa wanapojilinganisha na watu mashuhuri duniani Hawaoni kama wao wana thamani kubwa wala hawaoni thamani ya Taifa lao Mtanzania anaposema anamfahamu Barack Obama basi watakataa...
  17. Lord Denning

    Wakati Taasisi za Intelejensia Kenya, Marekani na Uingereza zikijikita kuyaimarisha Mataifa yao kiuchumi, huku TISS inapambana CCM ibaki madarakani

    Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia. Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
  18. M

    Mataifa ya Afrika mashariki yanahitaji mapinduzi ya kweli by any means necessary

    Angalia picha ya Mke wa Boby wine akiwa amekaa kwenye sakafu huku akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Hii ni kinyume na haki za kibanadamu na utu. Kwa nini Wanamchi wa Afrika mashariki wanafanywa wajinga? Mataifa yao kugeuzwa nchi za kisultani? Mapinduzi ya kifikra na hata kimwili yanahitajika...
  19. X

    Canada na Ufaransa zawalilia wawekezaji wa Kichina kuwekeza kwenye mataifa yao

    Mwaka 2024 Canada ikishinikizwa na Marekani iliweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme ya China kama ilivyofanya Marekani. The table has turned, hivi karibuni Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney alikuwa na ziara nchini China. Katika ziara hiyo alifungua milango ya kibiashara kati ya mataifa hayo...
  20. Pakome

    Tanzania ikisimamia Sheria vizuri itafanikiwa zaidi ya Mataifa makubwa

    Changamoto inayoisumbua Tanzania ni kulega kwa misimamo ya kusimamia Sheria zake na si vinginevyo Tanzania ijikite zaidi kwenye kusimamia Sheria zake itafanikiwa kuliko hata Mataifa makubwa Tanzania ina Sheria nzuri sana za kukuza Uchumi wa Taifa lake lakini bado haijaweka mkazo kwenye...
Back
Top Bottom