maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Maswali ni mengi Watanzania tunajiuliza kuhusu CHADEMA

    1.hiki chama hakina wazee wakutuliza hizi vurugu? 2.kuna kundi litasusa.je,hili kundi litaanzisha chama kipya au litasujudia vyama vingine ili wapokelewe? 3.Baada ya uchaguzi,kundi lililoshindwa kama hawatahama chama, kuna kuaminiana tena?...
  2. JamiiForums Aibu: Wenje ashindwa kujibu maswali kuntu aishia kujibu blah-blah

    Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi. Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi? Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu hizo pesa ilhali mwenye maamuzi ya pesa ni SG wa Chama Mnyika? Kaishia kujibu hata yeye haelewi.
  3. R

    JamiiForums Lissu ukitufafanunulia kuhusu ushirika wako na Mbowe katika kumsafisha Lowassa utaeleweka sana

    Hellow Tanganyika!! Katika mengi umejaribu kujitofautisha na mkt wako Ili kupata uungwaji mkono wananchi na wanachama,na umefanikiwa sana katika hili. Sasa Kuna kihunzi Cha mwisho Cha kukiruka Ili urudishe Imani ya wananchi iliyoondoka baada ya ujio wa Lowwassa, mliotuambia kuwa ni fisadi...
  4. M

    JamiiForums MASWALI YA KUJIPIMA NA USAILI ENGLISH TEACHERS TANZANIA

    ENGLISH TEACHERS TANZANIA As a teacher preparing for a written aptude test in English or Written Test , it’s important to start with a clear understanding of the key areas that will be or are preferably to be assessed. As an English teacher, you need to be familiar with a wide range of...
  5. JamiiForums Nina maswali mengi mno juu ya 'Maelezo Tatanishi' haya kama Critical Thinker, ila naomba Kwanza nanyi muulize yenu ili atujibu mbashara

    Mwanaharakati na mhariri wa kujitegemea, Maria Sarungi, amesema baada ya kuachiwa jana usiku na watekaji, walimtaka asiongee na mtu yeyote na asizungumze chochote kuhusu tukio hilo. Maria amesema hayo leo, Jumatatu Januari 13, 2025, alipozungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi kuhusu...
  6. JamiiForums Uzinduzi wa nishati safi unaofanywa na wanasiasa unaleta maswali muhimu kuhusu usimamizi na utekelezaji wa miradi hii

    Uzinduzi wa nishati safi unaofanywa na wanasiasa unaleta maswali muhimu kuhusu usimamizi na utekelezaji wa miradi hii. Utangulizi: Hapa kuna ufafanuzi wa maswali yako: 1. Wanasiasa walisomea wapi kazi ya nishati safi? Wanasiasa wengi hawana ujuzi wa kitaaluma katika nishati safi, lakini...
  7. JamiiForums Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono? Yericko; Hawezi kushinda yule

    Odemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono?? Gwamaka: NDIYO, Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono. Lyenda: NDIYO, Nilimuheshimu, ninamuheshimu na nitaendelea kumuheshimu, Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono?? Yericko: Hawezi...
  8. M

    JamiiForums Maswali ya usaili wa kuandika (Aptitude Test) Kada ya Elimu Masomo Yote

    *THE FOLLOWING ARE THE APTITUDE TEST PRACTICE FORMATS 1. THEY ARE SUBJECT-SPECIFIC Focusing on teaching methodology and application mastery assessments. To answer effectively, you should have subject-specific knowledge and be familiar with teaching pedagogical issues. 2. THEY ADHERE TO THE...
  9. JamiiForums Mwandishi maarufu JF aliteswa sana baada ya yale Maswali

    Hii habari imenisikitisha sana Kuna mwanafamilia mmoja wa Mwandishi huyo alisoma nae Tambaza anasema Mwandishi huyo maarufu humu JF aliteswa sana baada ya yale maswali. Ilifika mahali alitamani kurudi kijijini na kama sio uhusiano wake na Rais Mkapa mambo yangekuwa mengine Hii ni kwenye...
  10. JamiiForums SAMPLE YA MASWALI INTERVIEW ZA UALIMU NA TIPS ZA KUFANYA

    Mliowahi kufanya saili uko private sectors tunawaomba MJE mtupe miongozo wakubwa wangu
  11. JamiiForums Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

    Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
  12. JamiiForums Madai ya Lissu ya hongo CHADEMA na maswali tata.

    Tuhuma za Lissu kuhusu Abdul kuhonga watu zinaacha maswali mengi na tata sana, 1. Kwa nini Abdul ndiye anahonga watu na sio watu wa CCM au serikali? Kwa nini hawakutumika watu magwiji wa hiyo michezo ambao wasingeacha alama au ushahidi ikiwa wangeweza au hata wangeshindwa kumuhonga Lissu...
  13. JamiiForums WANA CHADEMA TUSAIDIENI/MNISAIDIE KUJIBU HAYA MASWALI MAANA SIPATI MAJIBU.

    1. Kwanini baadhi ya wanachadema hawataki Mbowe agombee uenyekiti? Kama katiba ya Chama inamruhusu? 2. Kwanini wasionyeshe kutokuridhika kwao na kazi aliyoifanya Mbowe[kama wanavyosema] kwenye sanduku la kura kwa kutokumpigia kura? 2. Au hawana Imani na mfumo wa uchaguzi ndani ya Chama chao...
  14. JamiiForums Ulomi umetuachia mahangahiko na maswali magumu sana

    Kwa mujibu wa familia, Ulomi aliondoka nyumbani tar.11 December 2024 akidai kupigiwa simu na watu wa TRA kwenda kufuatilia kontena lake bandarini. Kwa mujibu wa Muliro siku hiyohiyo tar.11 Ulomi alipata ajali ya pilipiki na kukimbizwa kituo cha afya Makuburi (Ubungo External) kisha hospitali...
  15. JamiiForums Je haya maswali ya hayati Magufuli kwa polisi kuhusu kutekwa kwa Mo dewji yalijibiwa ?

    https://youtu.be/DH4p2T6eIcI?si=SoYq_5G1ZgUb8z9f
  16. JamiiForums Maswali kumi ya kujiuliza na Kutafakari ukiwa hujui ufanye nini na maisha yako

    1. Ni shughuli zipi zinakufanya ujisikie hai zaidi? Yaani ni jambo gani ukilifanya unaishi ndani ya kulifanya, hata kama halikupi hatua kubwa kulifanya tu kunakupa amani ya ndani? 2.Ndoto zako za utotoni zilikuwa zipi? Binafsi utotoni nilikuwa na ndoto ya kuwa mwanajeshi, ila kila...
  17. G

    JamiiForums Wenye miaka 30+ ni maswali gani hupendi kuulizwa ukikutana na mtu ambae hamjaonana kwa muda mrefu sana

    class mates wa shule ya msingi / secondary marafiki wa utotoni / secondary Majirani n.k Mimi huwa nikikutana na mtu wa muda mrefu huwa nadeal na haya mambo Nimefurahi kukuona baada ya miaka mingi, ni majaliwa kufika hadi tulipo Ntakumbushia memories hasa tuliposaidiaana au aliponisaidia...
  18. M

    JamiiForums Usalama barabarani Tanzania, iwe mada ya lazima kufundishwa na maswali yake yajibiwe kwa lazima na kila mtahiniwa kwa ngazi zote za elimu nchini

    Kutokana na ongezeko kubwa la vyombo vya moto, vyombo vya usafirishaji na mitambo mbalimbali inayotumia barabara, ipo sababu ya mitaala na miongozo ya ufundishaji au utoaji mafunzo yoyote nchini kujumuisha mada ya usalama barabarani ili kupanua wigo katika uelewa wa matumizi sahihi ya barabara...
  19. JamiiForums Hoja na maswali utata kwenye uumbwaji wa mwanadamu katika imani ya Kikristo. Je, wenzetu imani zao zinasemaje?

    Harakari za uumbaji wa mwanadamu kiimani na utata unaojitokeza yapi maswali ya kujiuliza kwa kina. Je nani mwenye majibu yake au nani anaweza kutujibia. Ndugu zangu. A) Uumbwaji wa mwanamke na mwanaume bila udogo, tena wenye usawa ndani yake Tukiangazia kitabu cha mwazo 1: 26-28 tutagundua...
  20. JamiiForums Kabla ujaanza kufanya biashara yoyote usikurupuke kwanza...

    Kabla ujaanza kufanya biashara yoyote usikurupuke kwanza... Jibu haya maswali au angalia majibu ya haya maswali kutoka kwa wachangiaji alafu ndo ujiulize je unaweza biashara au upo hapa kufata ushauri wa motivation speaker Kutoka kwa Benny Haraba 1.. je unakipaji chochote 2.. je una...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…