Nilichokielewa kutoka kwenye katuni ya Masoud Kipanya.
Hili eneo ni makaburini na hapo unaonekana mzimu ukiwa umeandikwa TLS, kwahiyo ni maeneo waliyozikwa watu wa TLS (Tawala zilizopita).
Mzimu wa TLS (Mwabukusi) ndio umefufuka juu unaona mwezi ukiwa umeng'aa ikimaanisha ni Usiku ila unaona...