Wanabodi,
Hii ni mada ya Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa, kukuomba ushirikiano wako kwa ushirikishwaji, kutoa maoni yako na mawazo yako kumshauri mwana jf mwenzenu, ikitokea ni wewe umeitwa kufika mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani...
Wimbo wa maridhiano umekuwa ukisikika masikioni mwa Watanzania kabla na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025. Hata hivyo, hadi sasa umebaki kuwa kitendawili kinachohitaji kuteguliwa.
Wapo walioimba wimbo huu kabla ya uchaguzi. Wanaharakati, baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa...
Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa’, jijini Dodoma, amegusia suala la Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa kila anayepaswa kuwajibika...
Mwanasiasa mkongwe na mchambuzi wa masuala ya siasa, Saidi Miraj, amesema kuwa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nyeti na ina mchango mkubwa katika kulinda utulivu na amani ya nchi.
Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV leo Novemba 10, 2025, Miraj amesema...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi na Taasisi za Elimu, Ndugu Geofrey Kiliba, ametangaza kuwa atazungumza na vyombo vya habari siku ya kesho, tarehe 18 Agosti 2025
Katika taarifa yake kwa umma aliyoitoa kupitia mitandao Yake ya Kijamii leo, tarehe 17 Agosti 2025, Ndugu Kiliba ameandika:
“Panapo...
Hili neno ni neno gumu sana, baya kwa watawala na zuri kwa wananchi wanyonge. Ndio msingi mama wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na almost katiba zote duniani.
Neno hili pacha wake anaitwa "Kuilinda Katiba" Ni ngumu sana kumjua mtu hasa anayeilinda katiba.
Walinda katiba ni kama...
Rais Samia: Fikiria Hatua Sahihi kwa Maslahi ya Taifa na Familia Yako Pia.
Katika siku za hivi karibuni, inavyoonekana katika jicho la pembeni kwamba kumekuwa na mjadala mkali kuhusu mustakabali wa uongozi ndani ya Chama chako cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, hasa kutokana na mienendo ya...
Naona WanaCCM hawataki kuwa na katiba kama ilivyopendekezwa na tume ya Jaji warioba.
Mfano , taifa letu kuwa na Mawaziri wasio wabunge na hata kuwa na tume huru ya uchaguzi.
Kwa katiba hii na Philp Mpango ameona kuna mizengwe baada ya uchaguzi 2025 tutarajie ufisadi kama ule wa Kagoda...
WEKENI MBELE MASLAHI YA TAIFA - WAZIRI KOMBO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefungua Kikao cha Kwanza cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara na kuwasihi wafanyakazi wa Wizara kuweka mbele maslahi ya Taifa.
Mhe. Waziri Kombo...
Benson Kigaila ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara amesema yeye na Wanachama wenzake wamejitoa katika chama hicho kutokana na kutoridhishwa na yanayoendelea
Ametangaza uamuzi huo akiwa pamoja na aliyekuwa Makamu wa CHADEMA Taifa - Zanzibar, Salum Mwalimu, aliyewai kuwa Katibu Mkuu wa...
Uzi siyo mrefu sana ninaandika nikiwa natetemeka kutokana na upuuzi unaoendelea hapa nchini.
Yani unamuuwa mwenzako kwasababu ya kulinda maslahinyako binafsi???
Kama kweli unalipenda Taifa na unataka liwe na amani kwanini usiwasikilize wananchi wanataka nini? Kwasabab wananchi wao ni majority...
Ndugu wana JF,
Kwanza nikiri kuwa mimi ni shabiki wa Simba Sports Club Miaka 33 sasa.
Juzi nilikuwa Igurusi mkoani Mbeya kuna sehemu nilikuwa napata chakula. Eneo nililokuwepo nilikutana na wanachama na mashabiki wengi sana wa Simba sports club wakiwa wamevalia jezi za Simba huku wakiwa na...
Godbless Lema avunja ukimya baada ya ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA adai yeye kwenda kinyume na Mwenyekti Freeman Mbowe ilikuwa ngumu sana.
"Nitendo gumu la kisiasa, katika matendo magumu ya kisiasa nimeshawahi kuyafanya hili ni namba moja katika maisha yangu, Mbowe ni kaka yangu, ni...
freeman mbowe
godbless lema
lissu ashinda chadema
maslahimaslahiyataifa
matokeo ya uchaguzi
ndugu
taifa
taji
tundu lissu
uchaguzi chadema
uenyekiti chadema
Cc: TRA Tanzania, Dr. Mwigulu Nchemba
Kuchaji kodi ya Dungu 15M na magari 50 000 tu yakaingia kwa mwaka inapata Shs 750,000,000,000// bilioni 750 tu
Wakati kama itapunguza kodi na kuwa shs 5M kila Dungu 4×4 used na kwa kufanya hivyo sasa yakaingia mengi milioni moja kila mwaka na kusambaa...
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi katika kikao kazi kilichowakutanisha Wizara, Baraza la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) na Kitengo cha Kuzuia Utakatishaji wa Fedha Haramu kwa lengo la kujengeana uwezo wa utekelezaji wa masharti ya Sheria...
Habari sitaki kusema mengi ila Najiuliza tu wale wanahabari ambao hua mnatuletea thread za Maslahi kwa Taifa Mara Mama ni mtu mwema umeambiwa na sauti from within je haya yanayoendelea ya wanawake kulawitiwa. wapinzani kutekwa au wakosoaji kutekwa mkiyasema sio kwamba ndio mtakua mmefanya kwa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nathubutu kuandika uzi huu kulingana na experience yangu na hizi shule, lakini pia kile ambacho mimi naona kingefaa.
Hapo zamani ilikuwa ni hadithi tu kwa baadhi ya matukio ya kutisha na yasiyo ya kistaarabu kutoka katika shule za bweni...
"Aish kukaa nje hakulisaidii taifa, kuna michuano mikubwa inakuja kumuweka Aish kikosi B sio vizuri, Aish anaitaji kua langoni sio kwa maslahi yake bali kwamaslahi ya taifa. wakati mwingine taifa linapaswa kuingilia kati mambo kama haya kwa maslahi ya taifa. Kuna wakati wa Brazili walimwambia...
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe. Swali la leo ni kuhusu hizi panga pangua au pangua pangua za Rais Samia kwa wateule wake kila uchao, je zote zina maslahi...
Kwa wale mlio wakazi wa Arusha na Manyara huko, nadhani mmeona kwamba hivi karibuni kumekuwa na shughuli nyingi zinazohusu wale wanaosemwa kuwa wawekezaji nchini toka mataifa ya Uarabuni.
Mara kadhaa Makonda ameonekana kushiriki kikamilifu katika shughuli wa "Wawekezaji" hawa. Madege makubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.