maslahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. technically

    BAKWATA ilianzishwa na nani na ni kwa maslahi ya nani?

    Hawa BAKWATA Ni nani na walianzishwa na Nani na kwa maslahi ya Nani? Rwanda wanaonaje mwezi kabla ya Zanzibar? Uganda, Kenya na Burudi na Kongo Leo ni Idd Lakini wao wanasema mpaka kesho Kalenda ya nchi Leo inanyesha ni idd wao wanasema kesho. Nauliza wapo kwa maslahi ya Nani Nani...
  2. Pascal Mayalla

    Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa: Ikitokea Umeitwa Mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani?

    Wanabodi, Hii ni mada ya Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa, kukuomba ushirikiano wako kwa ushirikishwaji, kutoa maoni yako na mawazo yako kumshauri mwana jf mwenzenu, ikitokea ni wewe umeitwa kufika mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani...
  3. P h a r a o h

    Angalia huu udhaifu mkubwa kwenye akili ya binadamu ambao wanaojipa title ya mamlaka wanautumia kwa maslahi yao

    ‎Mwaka 1961, mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Yale, Stanley Milgram, alifanya jaribio ambalo lilionyesha jinsi ubongo wa binadamu unavyofanya maamuzi unapokua chini ya mamlaka fulani na kuibua swali zito kuhusu utii wa binadamu kwa mamlaka. ‎ ‎Katika jaribio hilo linalojulikana kama Milgram...
  4. mirindimo

    PICHA: HAWA NDIO MAANA UKIGUSA MASLAHI YAO WAKO RADHI WAKUUE

  5. Pdidy

    Uber wanacheza na maisha ya vijana wetu, wakirudi serikali tunaomba muwachunguze pls na mlinde maslahi ya vijana wetu

    Hii kampuni ilikuwa ya kwanza kuingia tanzania Baada ya muda wakaja bolt lakini kabla ya hapo ilisemekana wameweka maagizo akiruhusiwa mwingine wanaondoka Hata hivyo inaonekana mawazo yao yakikuwa ya kipuuzi na kijinga wakaruhusiwa bolt Baada ya kuruhusiwa bolt, uber wakaanza kulalamika bolt...
  6. A

    KERO Uongozi wa Kampuni ya ulinzi ya G4S uangalie maslahi ya Wafanyakazi kuna mambo hayapo sawa

    Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya ulinzi inayoitwa G4S, Serikali ilitangaza kuwa kima cha chini ni 299k na ukijumulisha na overtime na sikukuu inatakiwa kiwe kuanzia 489k - 520k kwa normal guard lakini sasa tumeingiziwa mshahara wa mwezi Januari 2026 hata hatuelewi. Tumewekewa chini ya 480k na...
  7. Genius Man

    Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana

    Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana. Hizi ndio baba wa taifa anaziita siasa za kimalaya, bunge Tuacheni siasa za kimalaya kusifia mtu hakuwezi kuleta maendeleo kwa wananchi na kuwaondoa kwenye...
  8. DuaZaMama

    PostGE2025 Rais wa TLS: Kila anayatakiwa kuwajibika awajibike kwa maslahi mapana ya Taifa letu, viongozi msizungumze kutonesha mioyo ya wananchi

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa’, jijini Dodoma, amegusia suala la Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa kila anayepaswa kuwajibika...
  9. M

    Kwa maslahi ya amani, serikali isikilize kilio cha haki kwa raia wake. watu wakichoka kukemea mitandaoni kitachofuata ni vikundi vya "TIT FOR TAT"

    Tunakoelekea sasa tunaweza kuja kushuhudia Tanzania ambayo hatujawahi kuvidhania kabisa.
  10. Idugunde

    CHADEMA aliyoianzisha mzee Mtei ilikuwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya CCM sio kama hii ya sasa chini ya Lissu na Heche.

    Mpaka anaondoka Mbowe ilikuwa ni sehemu ya CCM kudanganya jumuia ya kimataif kuwa kuna upinzani nchini. Ilikuwa ipo kibiashara zaidi ili kunufaisha matumbo ya mabwanyeye waliojipachika jina kuwa wapinzani wakati sio wapinzani. Sasa hovi chini ya Lissu na Heche ndio kimekuwa chama cha upinzani...
  11. Idugunde

    Jaji Mkuu anaomba maslahi mazuri toka kwa Rais Samia, Mahakama zitakuwa huru? Kwanini asiombe katiba ibadilishwe ili awe anajipangia fungu lake?

    Nahisi kama tangu tumepata uhuru huyu atakuwa Jaji mkuu ambae yupo linked na siasa. Analialia kuwa yeye na mahakimu wake wana hali mbaya kimaslahi hivyo anaomba waongezewe posho. Hapa mahakama zitakuwa huru? Mimi nilitarajia aombe mabadiliko ya sheria ambayo yatamfanya awe na mhimili ambao...
  12. M

    Viongozi wa Simba nje ya maslahi, biashara na mishahara hivi wanaipenda timu, sio kwa maumivu haya tunayopitia mashabiki

    Timu imeridhika na hali iliyopo hatuoni uwajibikaji Viongozi wanavujisha hadi taarifa za ndani kwa watani Viongozi wamengangania madaaka hawataki kuachia wenye uwezo wachukue nafasi Timu inapokea kipigo cha sita mfululizo viongozi wanachukulia poa tu Timu inaendeshwa kwa email badala ya...
  13. Mshana Jr

    Kwa maslahi mapana ya Taifa la Tanganyika nawaomba tujadili kwa undani hili jambo la maridhiano

    Tukijadili kwa kina na kwa mapana yake.. Pengine wahusika wanaweza kuamka usingini na kuelewa LAKINI kabla ya yote Polepole aliwahi kutuasa tusikubali MARIDHIANO YOYOTE baada ya uchaguzi mkuu wa 29 October 2025 Sasa wachambuzi wenye weledi na ufahamu mpana wanaweza kuja hapa na kutuchambulia...
  14. Idugunde

    Maridhiano ya kweli yatapatikana Tundu Lissu akiaachiwa na Rais Samia akikiri watu waliuliwa ili kulinda maslahi ya wanaCCM

    Ukweli upo wazi kuwa watu waliuwawa ili wanaCCM wanamtandao waendelee kuiba rasimali za nchi. Kiongozi mkuu wa CCM akiri wazi kuwa hatukupoteza ndugu zetu kwa kufariki by natural death ila kwa sababu watu walishaukataa utawala wa CCM. Tundu Lissu aachiwe sababu hakuna kesi. Mahakama iishasema...
  15. JanguKamaJangu

    PostGE2025 Wasanii hawaadhibiwi, wanawajibishwa kwa kupuuza maslahi ya umma

    Kwa takribani kipindi cha miezi miwili sasa, nchini Tanzania kumeshuhudiwa kampeni za kimtandao zinazoendeshwa na baadhi ya watu maarufu na wanaharakati, zikihamasisha umma kusitisha kuzipa sapoti kazi za wasanii wa Tanzania. Kampeni hizi zimehusisha kutosikiliza nyimbo zao, kutohudhuria...
  16. Abraham Lincolnn

    Heshima ya nchi imeporomoka kisa kulinda maslahi ya mgombea mmoja na CCM

    Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ikiheshimika kama msuluhishi wa vita mbalimbali na alama ya ukombozi na uhuru katika ukanda huu wa maziwa makuu na hata Afrika kiujumla. Tanzania ilipeleka wanajeshi wake huko Congo DRC kusaidia mgogoro baina ya Congo DRC na Rwanda, ila cha kushangaza Rais wa...
  17. Smartkahn

    Picha kubwa kwa kinachoendelea Tanzania

    Kinachoendelea Tanzania ni mgogoro wa kikanda(East Africa) sababu kubwa ikiwa ni rasilimali zilizopo katika nchi hizo hasa pale DRC. Kwa yanayoendelea Tanzania kutekwa mauwaji etc ni mbinu au mikakati ya ki-intellijensia ku- counterattack mipango ya ki-intellijensia. Diplomasia ya awamu ya nne...
  18. M

    PostGE2025 Padri Kitima: Kanisa Katoliki linaposimamia vitu halitafuti maslahi ya kikatoliki, bali ustawi wa watu

    Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa Kanisa Katoliki linasimamia ustawi wa jamii, heshima ya utu na haki za msingi, ushiriki wa watu katika kujitawala na kuheshimu vyombo vya chini.
  19. Samia atosha tukutane2030

    Kuna ujinga, pia kuna upumbavu. Huu wa kushangilia vikwazo ni upumbavu. Mwananchi ndiye muathirika

    Asshukuriwe Mungu Marais karibu Dunia yote ni watu wazima, wazee wenye busara. Mimi ndo ningekuwa Rais na vijana waliotekwa akili na Mange kimambi wanashangilia vikwazo ningeigeuza TRA iwe jeshi usu, Watanzania waminywe vizuri mpaka wajue kuwa hata hao watoa misaada hawategemei misaada kwa...
Back
Top Bottom