Kuna mama mmoja aliandikwa kwenye gazeti, aliunguliwa na nyumba huko SA. Akaanza kulalamika. "Sina ugomvi na mtu, nashangaa kurogwa namna hii." Yaani anaamini moto umeletwa ma wachawi. Mbantu akiumwa anaamini kuwa amerogwa anaenda kuagua, wakati mwenzie mmasai anaenda porini kutafuta miti...