masikini

Elisabeth Finant (9 November 1954 – 28 September 1994), known professionally as Abeti Masikini, was a singer from the Belgian Congo who was active in France from 1971 until her death in 1994 at the age of 39. Her music pulled from a variety of genres, including soukous, Congolese rumba, folk music, and the blues. She recorded 21 albums during her career for a variety of record labels including RCA Records and Polygram Records among others.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kama kipindi cha Mzee Kikwete haujakamata pesa na awamu ya sasa bado unasota, hesabia utakufa masikini

    Nchi hii haijawahi kuwa nyepesi kwenye uchumi lakini kuna awamu kadhaa mambo yanakuwa nafuu Kipindi cha kikwete kulikuwa na kampuni kibao, ajira watu wanachagua, mzunguko mkubwa wa pesa, n.k. vijana wengi walishika pesa. Awamu ya Magufuli tunaijua kwamba vyuma vilikaza, ni special case. hii...
  2. JamiiForums Tanzania Yupi CEO wako bora kuwahi kutokea Tanzania? Nchi masikini zinafeli wapi!?

    Hodi Jamvini, Nawasilisha mada hapo juu kuhusu dhana ya MaCEO's ambayo huku ipo lakini naona bado ipo duni sana. Kwenye suala la utendaji hatupimani kabisa kuhusu performances. Unakuta mtu ni mtendaji mkuu wa kuajiriwa iwe ni sekta binafsi au serikali yupo miaka mingi lakini bado Shirika au...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote

    Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote maana ngono Ina gharama kubwa sana Kwa mwaname ila ni faida Kwa mwanamke chagua mwanamke wako mmoja anae tosheleza hisia zako najua sio lahisi kulizika na mwanamke mmoja ila unaweza kuamua kutulia na...
  4. JamiiForums Tanzania Kero za nyumba za kupanga: Nawasha taa moja ila naambiwa nilipe bill ya umeme sawa na wanaotumia TV na Fridge

    Hii ilinitokea kipindi napanga , nilikuwa nawasha taa moja usiku wa Saa nne Ila nilikuwa nalazimishwa kulipa bill sawa na wanaotumia TV, feni, radio pasi ya umeme na fridge na wengine walikuwa wanatumia heater Hii ndo akili ya MTU mweusi huwa aangalii usawa Ila anaangalia mbele ya pua yake.
  5. JamiiForums Tanzania Stori: Baba masikini hadi kuwa baba tajiri kwa kusomesha watoto wake

    Sikuwahi kuwambia watoto wangu kuwa nilikua nafanya kazi gani. Kamwe sikutaka wajihisi aibu kwasababu yangu, pindi binti yangu aliponiuliza nilikua naenda kufanya nini ninapotoka, nilitumia muda huo kumzuga na kumwambia kuwa mimi ni kibarua. Kila siku kabla sijarudi nyumbani nilitumia muda...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso: Familia yangu ni masikini, nimepata Uwaziri kutokana na elimu

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amezungumza na wahitimu kwenye Mahafali ya 48 ya Chuo cha Maji, yaliyofanyika leo tarehe 13 Novemba 2024, kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, akiwa mgeni rasmi. Akizungumza katika hafla hiyo, Aweso amesema: "Mimi familia yangu ni masikini, nimefikia...
  7. JamiiForums Tanzania Dah! Masikini Man City

    Wanabodi hizi ninazowapa ni za ndani kabisa. Unaambiwa Gudiola kawekwa kikahangoni usiku mnene, habari zinasema wachezaji wake wanajiboost na sindano, na sasa kashatafutiwa mbandala wake soon tu wanampa thanks Inasemekana jamaa ni mbishi yahani hashauliki.
  8. JamiiForums Tanzania Kitu kinaitwa 'Job Security' kimewafanya watu wamekuwa masikini

    MTU unapata dili ambalo litakupa mil 50 Kwa miaka miwili then unalikataa kisa eti job security!? Yaani Kijana unakimbilia kufanya Kazi kijijini ya ualimu ambayo itakupa mil 7 Kwa mwaka huku ukijifariji na kitu kinaitwa Job Security. Don't bury ur dreams homie Job security ni Kwa ajili ya watu...
  9. JamiiForums Tanzania Misiba ya matajiri vs misiba ya masikini

    Ndugu zangu.. Kumekua na tabia mbaya ya watu kuhudhuria kwenye misiba kwa kubagua kutokana na itikadi zao na hali ya kiuchumi ya marehemu au familia na ukoo wa harehemu husika kama tunavyojionea huko kwenye jamii zetu. Ndugu utakuta kwenye misiba ya familia zinazojiweza kiuchumi watu...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

    Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja...
  11. JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu mzima kuwa masikini?

    Aisee hii kitu huwa nakaa najiuliza hivi inakuaje dume Zima umri umeenda ni masikini halafu anajisifia umri umeenda halafu mkewe anakuja kuomba pesa Kwa mtoto mdogo mwenye pesa nyingi kama mimi. Oya nyie tafuteni hela lasivyo wake zenu ni halali yetu sisi watoto wadogo wenye pesa nyingi...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu ameumba baadhi ya watu fulani kuwa masikini?

    Wakuu kuna swali hili mara zote linanitatiza aisee je kuna watu mungu ameumba kuwa maskini? Na kuna wengine ameumba kuwa matajiri? Na kama hivyo kwanini? Nchi nyingi za kiafrika watu wengi ni masikini kulinganisha na bara la ulaya,America na Asia? Kwamba kuna watu wa rangi fulani l(afrika) na...
  14. JamiiForums Tanzania Japo Karma Huwashughulikia Wamwaga Damu, Mawakili: Tujitolee Kutetea Bure, Damu za Watanzania Masikini Zinapomwagwa Kizembe Kwa Kisingizio Chochote!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo, 2 October, 2024 Watanzania walio wengi, hata wenye uwezo, hawazijui haki zao, kunapotokea vifo vya kizembe vya wapendwa wao, lakini hata wakizijua haki zao, Watanzania walio wengi ni masikini wa kutupwa, hivyo hata wakizijua...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna watu umasikini hauwezi kuwaisha hapa duniani

    Unakuta mdada kakutana na jamaa kamuajiri kwa kumfanyia kazi zake za nyumbani, kala! kaoga! kapendeza! Bosi wake kamruhusu akamfuate mtoto wake aliyemuacha kijijini amlete akakae naye kwa bosi wake! Sasa kuna mzee mmoja yuko vizuri sijajua background yake ikoje! Sasa leo niko pale nikasikia...
  16. JamiiForums Tanzania Climate finance; kitanzi cha nchi masikini katika sura ya ufadhili

    AHADI za fedha kutoka mataifa tajiri kwenda mataifa masikini kwa ajili ya kuhimili na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ni tamu, lakini kiuhalisia ni mtego wa madeni. Uchambuzi wa kina unabainisha kuwa fedha hizo zinaelekezwa kusikostahili, ambapo nyingi huenda kuchangia...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyewahi kuwa masikini kwa kutoa.

    Poleni na majukumu wana-JamiiForum. Ni imani yangu wote mpo salama. Kama kuna anayepitia changamoto Mungu awe faraja kwako. Nimekuwa mfatiliaji wa kipindi cha 'Ushauri wako' kinachorushwa saa 2-3 asubuhi siku ya Jumapili Radio Free Africa. Kwenye hiki kipindi huwa wanahojiwa wahitaji...
  18. JamiiForums Tanzania Tangu lini Mbwa Masikini wa Afrika 'akimbwekea' Mbwa Tajiri wa Ulaya na Marekani wanatishika au hata kupepesuka tu?

    Halafu ukute huyo Mbwa mwenyewe wa Afrika hana hata Afya na hajui Kukabiliana na Adui ila kutwa Kujitutumua tu.
  19. JamiiForums Tanzania Masikini wana chuki na mimi kwakuwa wamezeeka hawana pesa

    Kila nikiangalia nyuzi zinazoniongelea Mimi tajiri wa hii dunia ni za masikini ambao nawaambia ukweli kwamba waache kuwa malofa watafute hela wanafikiri kwamba nitaacha kusema huu ukweli. Nyie masikini, mimi nipo sana humu tafuteni hela acheni kuwa malofa kuniandalia vi nyuzi vyenu kisa...
  20. JamiiForums Tanzania Ni aibu jitu zima kuwa masikini halafu mtoto kama mimi nina pesa

    Hivi inakuaje jitu umri umeenda halina pesa linahangaika tu Kila siku aisee hua nacheka sana yaani jitu hata pesa ya kumhudumia kifamilia chake halina hivi mwanaume kama huyu si lofa maana mtoto wa kiume uwezi ukashindwa kumhudumia mwanamke wako na watoto au mnataka tajiri niwe nawalia wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…