masikini

Elisabeth Finant (9 November 1954 – 28 September 1994), known professionally as Abeti Masikini, was a singer from the Belgian Congo who was active in France from 1971 until her death in 1994 at the age of 39. Her music pulled from a variety of genres, including soukous, Congolese rumba, folk music, and the blues. She recorded 21 albums during her career for a variety of record labels including RCA Records and Polygram Records among others.

View More On Wikipedia.org
  1. Silaha ya Masikini ni Unafiki

    SILAHA YA MASIKINI NI UNAFIKI Kwa Mkono wa Robert Heriel Uzoefu wangu unanieleza jambo hili. Na nimeshalithibitisha kwa yakini kuwa Silaha namba moja kabisa ya Mtu masikini ni Unafiki. Umasikini upo wa namna mbalimbali, upo umasikini wa kiuchumi, umasikini wa kifikra, umasikini wa Kiroho...
  2. R

    Gharama za kuwapeleka watoto JKT ni mzigo mkubwa kwa wazazi

    Nimetafakari gharama wanazoziingia wazazi kuwapeleka watoto ex form six JKT. Ni kubwa na mzigo usio na sababu ya msingi kwa wazazi masikini. Si chini ya laki mbili (200,000 Ths) kwa uchache. Hizi ni hela nyingi kwa mzazi wa vipato vya chini huko vijijini anaye-strugle kupata ada ya shule za...
  3. Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Tano na vyuo ni kilio kwa Wazazi masikini

    Na Mwl Matete Siku tatu zilizopita serikali ilitoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowastua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa. Wazazi wengi wanalia hasa wale masikini ambao hawana uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule binafsi...
  4. Unajua kwanini matajiri wanaendelea kuwa matajiri na masikini kuzidi kuwa masikini?

    Rafiki yangu mpendwa, Kilio kikubwa cha watu kwa sasa ni pengo kati ya matajiri na masikini kuzidi kuwa kubwa. Matajiri wanazidi kuwa matajiri huku masikini wakizidi kuwa masikini. Ni hali ambayo imezua taharuki kubwa hata kwenye nchi zilizoendelea na zenye utajiri mkubwa kama Marekani...
  5. Kuzaliwa masikini inatokea lakini kufa masikini ni chaguo

  6. Mwanaume asiyekuwa na maendeleo unawezaje kukaa nae?

    Mimi nashangaa tu ndio mnaita mapenzi ya kweli? Mimi naona kutumika vibaya tu. Mtu unaishi vipi na mwanamme hana maendeleo, hata mipango yake kuhusu maisha hovyo kila anachofanya kina fail. Kuna watu wana huruma kweli ningekuwa mimi nimeshamwachia mbali. Dada wa watu anazidi kukonda tu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…