mashoga

  1. Chidi benzi anasema ukweli Lakin mbona hasemi jinsi madawa yanavyosababisha vijana kua mashoga kisa uraibu wa unga??

    Chid benzi anadai wasanii wengi michicha miba lakini mbona haelezi ukweli kuhusu uraibu unavowafanya vijana kuwa mapapai
  2. Profesa Ndakidemi ataka bunge litunge sheria mashoga na wasagaji wanyongwe

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(ccm),Profesa Patrick Ndakidemi amewataka wabunge kutofumbia macho vitendo vya ushoga na usagaji vinavyoendelea kushika kasi nchini na kushauri bunge kutunga sheria Kali kwa wanaojihusisha na vitendo hivyo ikiwamo adhabu ya kunyonywa. Profesa Ndakidemi ametoa...
  3. Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

    Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria. Amedai utafiti huo ameufanya huko mashuleni na kuwaomba wabunge wengine nao waende wakafanye ili kujiridhisha. Sitaki...
  4. Nusu ya wasanii wa Bongo fleva ni mashoga asema Chidy Benzi

    Chidy benzi amesema nusu ya wasanii wa Bongo wa kiume wanalika akimaanisha kwamba ni "mashoga" Chidy benz angetaja list kabisa Video hii hapaπŸ‘‡πŸ» https://www.facebook.com/ISHEBOO/videos/1154680399214487/?app=fbl
  5. M

    Papa asema wanaopinga waraka wake wa baraka kwa mashoga ni kikundi cha "watu wachache" hasa waafrika ila polepole wataelewa

    Katika mahojiano yaliyorushwa na gazeti la Italia liitwalo La Stampa, Papa amesema kuwa waraka wake wa kuruhusu baraka kwa mashoga unapingwa zaidi na vikundi vichache vya kiitikadi hasa Waafrika. Papa amesema Waafrika wanapinga hili suala kwa sababu za kiutamaduni Akasema kuwa ukiondoa...
  6. Kardinali Gerhard Mueller wa Ujerumani asema Papa Benedict asingeweza kuthubutu kubariki Mashoga

    Katika siku ya kumbukumbu ya maka mmoja toka Papa Benedict afeariki, Kardinali Gerhard Mueller wa Ujerumani amesema Papa Benedict asingethubutu kutoa maelekezo yasiyo na kichwa wala miguu ya kubariki mashoga. Kardinali Mueller amewahi kua mkuu ama mwenyekiti wa kanisa katoliki Ujerumani...
  7. S

    Ni lini Zanzibar itatangaza mashoga na mateja kuwa janga la kitaifa? Hali ni mbaya sana hapa visiwani

    Msione aibu wala soni kulisemea hili ili kuviponya visiwa hivi. Mficha maradhi kifo humuumbua. Kisiwa cha Unguja halli ni mbaya sana . Lkn sijawahi kusikia tamko la serikali ikilaani mashoga na mateja wanaoongezeka kwa kasi ya kumbikumbi. Huwezi kutembeza km 0.5 bila kukutana nao
  8. Padri asioruhusiwa kumbariki marehemu mkatoliki ambae amefariki bila kuoa leo hii anaruhusiwa kubariki mashoga wakitaka baraka.

    Roman Catholic imekua comedy sasa. Yaan nakumbuka kuna mzee mmoja mtaani nilipokulia alikuaga mkatoliki mzuri ila alikua na wake wawili. Alipofariki yule mzee alizikwa na katekista tu, padri akasusia msiba hata hakuja kutoa baraka. Vile vile marehemu Ruge tuliona namna maaskofu wa bukoba...
  9. 99% ya Wazanzibar ni washika dini, kila mtaa kuna nyumba ya ibada, utiriri wa walevi, mateja, malaya na mashoga!

    Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote, unaweza usipewe hata nyumba ya kulala wageni haijarishi una pesa kiasi gani mfukoni. Lakini ukisema...
  10. Papa Francis amtimua Askofu anayempinga kuhusu kuruhusu ndoa za jinsia moja, kutoa mimba na waliobadili jinsia

    Ikumbukwe huyu Papa wa Vatican anaeongoza Kanisa la RC almaaufu Kanisa Takatifu la Mitume kama wanavyojiita wao ameamua kuwaburuza wenzake wafuate msimamo wake. Baadhi ya mambo ambayo anataka Kanisa lake lifuate ni - Kuwatambua Mashoga bila kukemea akisema wenye dhambi ndio wanatakiwa kwenda...
  11. Ushoga katika taifa la Israeli

    Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu. Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22 "π‘Όπ’”π’Šπ’π’‚π’π’† 𝒏𝒂 π’Žπ’•π’– π’Œπ’‚π’Žπ’‚ π’Žπ’•π’–...
  12. Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

    Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu. Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua...
  13. Arsenal yaunga mkono haki za mashoga

  14. Maria Sarungi: Tanzania inahitaji Rais mbabe ili abadili mfumo wa ovyo tulionao

    Huyo ni Maria Sarungi binti wa Profesa msomi wa tiba za binadamu, Mbunge (mstaafu) wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri (mstaafu) wa Wizara ya Ulinzi ( W UL) mwana siasa mashuhuri ( mstaafu) nchini mzee Philemon Sarungi. Unadhani Maria huyo unayemsikia hapo juu akikutana na...
  15. Inakuwaje wanafungwa mashoga lakini Mabasha wao wanaachwa, tupo serious Kweli?

    INAKUWAJE WANAFUNGWA MASHOGA ALAFU MABASHA WAO WANAACHWA HIVI TUPO SERIOUS KWELI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kwa Sisi Watibeli MTU Shoga anauawa, ni Kwa Sisi hilo lieleweke. Na hata ikitokea Mtibeli akashika uongozi WA juu kwenye nchi hii basi wananchi waelewe hivyo. Hii ni kumaanisha...
  16. Malisa Gj: Naunga mkono "operesheni" ya kuwakamata mashoga inayoendelea nchini

    Naunga mkono "operesheni" ya kuwakamata mashoga inayoendelea nchini. Hata hivyo nashauri Polisi wasiishie kwa mashoga tu bali wakamate na mabasha pia. Shoga akikamatwa ataje "wanaomshughulikia" ili nao wafunguliwe mashtaka. Kukamata mashoga bila mabasha hakuondoi tatizo. Kuna "scenario" za...
  17. Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

    Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David...
  18. S

    Mama Masaburi anapaswa kutoa ushahidi kwa kuwataja wabunge ambao ni mashoga

    Bunge linaloongozwa na Tulia Akson limekosa mvuto, limeshuka hadhi na limepoteza meno kabisa. Tangu Tulia akalie kiti cha uspika hatujaona mijadala yenye tija, maazimio yenye tija na maamuzi yenye tija. Bunge halina tofauti na kijiwe. Mbunge anatoa tuhuma za jumla jumla zinazochafua bunge na...
  19. K

    Wabunge wanaotaka kuangaliwa Ushoga watambue hakuna vifaa Maalum vya Uchunguzi

    Kama kweli hawa wabunge wanataka wabunge wote waangaliwe ushoga basi waite Daktari na wajue hakuna vifaa maalumu vya kuangalia. Madaktari wanatumia kidole cha katikati na kuvaa gloves kupima misuli hiyo. Tunawatakia afya njema na tuanze kujadili ripoti ya CAG na sio wapenda vidole na wabunge...
  20. Agenda ya Ushoga: Katika Wateule wa Joe Biden 1,500 kuna mashoga 210 sawa na 14%

    Tusishangae kwa nini hoja ya ushoga au upinde 🌈 imepamba moto duniani kwa miaka hii miwili toka Joe Biden achuguliwe kuwa Rais wa USA. Kwa makusudi mazima alichagua mashoga maarufu kushika nafasi nyeti 210 kati ya 1,500 anazoruhusiwa kuteua anayemtaka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…