mashariki

The Eastern Province (Swahili: Mashariki) of Kenya was one of 8 Provinces of Kenya. Its northern boundary ran along with that of Ethiopia; the North Eastern Province and Coast Province lay to the east and south; and the remainder of Kenya's provinces, including Central Province, ran along its western border. The provincial capital was Embu.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Forbes Africa: MO Dewji ndiye tajiri namba 1 Afrika Mashariki na Kati

    Ripoti ya utafiti iliyotolewa na Forbes Januari 30, 2023, Mo Dewji alikuwa nafasi ya 15 hapo awali, amepanda kwa nafasi mbili kutokana na utajiri wake unaokadiriwa kufikia Dola 1.5 bilioni (Sh 3.5 trilioni). Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'MO Dewji amepanda kwa nafasi mbili katika...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Singida Mashariki, Miraji Mtaturu aishukuru Serikali kwa mradi wa SWASH

    MBUNGE SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU AISHUKURU SERIKALI YA RAIS SAMIA KWA MRADI WA SWASH MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka kiasi cha Shilingi Milioni 245,535,791.86 kwa ajili ya ujenzi wa vyoo...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeamua kusimamisha masomo ya PhD nje ya nchi ili nijitayarishe kwaajili ya kugombea ubunge 2025 katika jimbo la Mbozi Mashariki

    Habari za leo watanzania wenzangu, Mimi rafiki yenu na kijana mwenzenu nilishafungua moyo wangu kuwatumikia watanzania katika kiti cha ubunge. Kama kuna wabunge humu naomba watanishauri zaidi ila ni jambo ambalo nalipenda na nina uzoefu nalo kidogo. Muda wangu sahihi wa kujitokeza hadharani...
  4. JamiiForums Tanzania Hofu yatanda KKKT Dayosisis ya Mashariki na Pwani, baada ya kumfyeka mchungaji Kimaro, panga la Askofu Malasusa kuwafyeka mchungaji Mbiso na Masai

    Wachungaji wanahaha kwa hofu kuu wakihofia upanga mkali. Kuna taarifa zimesambaa kwamba Askofu Malasusa anaunoa upanga wake kuwamaliza Mbiso na Masai. Mbiso na Masai, kama Dk. Kimaro, pia nyota zao zinawaka kkwa kiasi Cha kumfanya Askofu Malasusa awachukie. Muda wowote na wao watafyekwa.
  5. JamiiForums Tanzania Kwenye Mapenzi na Maufundi Kitandani Hakuna Zaidi ya Myao Africa Mashariki Yote

    Hello hello JF family Ukiwa mkweli raha sana, mimi niwe mkweli nshakuwa na wapenzi kadhaa na kupita kimtindo na wanawake wa makabila kiasi najua kuna wanawake wa pwani mfano wadigo, wakwere, wazigua, wabondei, wazaramo, na mashine za kusini mmakinde, mwera, mmakua, wangoni, wanyasa. Na kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Ili kumaliza matatizo mashariki ya Congo ni lazima kung'oa utawala wa Kitutsi Rwanda

    Najua watutsi kote eneo la maziwa makuu watapinga kwa nguvu ila huu ndio ukweli. Ili kutatua tatizo la ukosefu wa amani mashariki ya congo ni lazima kwanza kuung'oa utawala wa kitutsi unaoongozwa na Kagame Rwanda. Kwa hulka na desturi ya Watutsi ya kugombea kuhodhi wao madaraka ya kisiasa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Taharuki yatokea kijiji cha Narumu, Machame Mashariki baada ya picha zikionesha migomba ikipandwa barabarani

    Viongozi wa serikali akiwemo diwani wa kata ya machame mashariki wafunga safari kwenda kukagua barabara ambayo Inadaiwa kuoteshwa Migomba baada ya kuahidiwa lami. viongozi hao akiwemo engineer wa wilaya baada ya kufika kijijini hapo na kukagua barabara inayodaiwa kuoteshwa Migomba na kukuta...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amefanya ziara kijiji cha Msula kata ya Misughaa kukagua miradi minee ya maendeleo

    MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu, Januari 13 2023,amefanya ziara kijiji cha Msula Kata ya Misughaa na kukagua miradi minne ya maendeleo inayotekelezwa kwenye kijiji hicho. Katika ziara hiyo aliyoambatana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ikungi Ikimbia Khangaa na viongozi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Sudani ya Kusini yaelekea Mashariki ya Congo kulinda amani

    ..Naona Jumuiya ya Afrika Mashariki imedhamiria amani ipatikane Congo. ..Sudani ya Kusini naye imetoa wanajeshi wake kwenda Congo kulinda amani.
  10. J

    JamiiForums Tanzania EALA: Kinana na Shaka wawafunda Wabunge wa CCM walioapa, Mnyaa wa CUF ndani, ACT Wazalendo hawakubahatika CHADEMA walisusa

    WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI ( EALA ) WAAPA KIAPO CHA UAMINIFU Katibu wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Alex Obatre ameongoza zoezi la kuwaapisha wabunge wapya kutoka Nchi Wanachama saba ambazo ni Tanzania, Burundi, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini, na Kongo DRC. Viongozi...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania namba 7 kwa matajiri Afrika

    Ripoti ya "The wealth report" inayoandaliwa na kampuni ya Knight Frank ya Uingereza ya 2022 inaonesha Tanznia ni nchi ya 7 Afrika kwa utajiri binafsi na kuwa na bilionea pekee Afrika Mashariki na kati. Idadi ya mamilionea wa dola yaani watu wenye utajiri wa kuanzia dola za Marekani 1,000,000...
  12. JamiiForums Tanzania House Girl / House maids wanavyouzwa mtandaoni nchi za mashariki ya kati

    Kuna App inaitwa 4SALE. Humo unauza/nunua kitu chochote ikiwemo mtu. Kwa miaka kadhaa imetumika sana kuwauza kina dada mtandaoni. Kinachotokea ni kwamba; mabinti/dada walioenda nchi za mashariki ya kati kufanya kazi za ndani wanauzwa mtandaoni kama watumwa. Ukimtaka mfanyakazi unaingia kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Soma mashairi ya Wimbo wa Jumuiya Afrika Mashariki (Jumuiya Yetu)

    Haya usipate tena aibu ukienda kwenye vikao vya maana kwa kushindwa kuimba wimbo wa Afrika mashariki. Kariri Mashairi haya ukienda sehemu kwenye hiyo kitu unaimba. Ubeti ya kwanza Ee Mungu twaomba uilinde Jumuiya Afrika Mashariki Tuwezeshe kuishi kwa amani Tutimize na malengo yetu. Kiitikio...
  14. L

    JamiiForums Tanzania CMG yafanya shughuli ya kutangaza moyo wa Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC katika nchi tano za Afrika Mashariki

    Idara ya lugha za Asia na Afrika iliyo chini ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) tarehe 8 mwezi Novemba ilifanya shughuli ya kutangaza moyo wa Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC katika nchi tano za Afrika Mashariki. Shughuli hiyo yenye kauli mbiu “Safari mpya yenye...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wagombea Urais wa Azimio la Umoja wafungua kesi ya kupinga Urais wa Ruto Mahakama ya Afrika Mashariki

    Kiongozi wa chama cha Narc Kenya Martha Karua ambaye alikuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa Raila Odinga amehamia Mahakama ya Afrika Mashariki akiikashifu tume ya uchaguzi kwa kazi "mbaya" na Mahakama ya Juu zaidi kwa kutupilia mbali ombi la uchaguzi wa urais wa 2022 lililopinga ushindi wa Rais...
  16. JamiiForums Tanzania DRC: Balozi wa Rwanda apewa saa 48 za kuondoka Nchini humo

    Balozi Vincent Karega ameamriwa kuondoka Nchini ndani ya saa 48 kutokana na tuhuma za mara kwa mara za Rwanda kuunga mkono Waasi wa #M23, madai ambayo Rwanda imekuwa ikikanusha mara kwa mara Uamuzi wa kumfukuza Karega unatarajiwa kuzua zaidi mvutano kati ya Nchi hizo Mbili ambazo uhusiano wao...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Kilimo Afrika Mashariki ni wakati wa kutolala usingizi kwa kutupa tafiti za Mbegu za GMO

    Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuwa na Vyuo vikuu bora katika maswala ya kilimo Afrika. 1. Kenya- Egerton University; Jomo Kenyata University of Agriculture & Technology 2. Tanzania- Sokoine University of Agriculture Sasa baada ya Kenya kuruhusu matumizi ya mbegu za GMO, wasomi kutoka Vyuo...
  18. JamiiForums Tanzania UPDATE: GAME Supermarket kufunga rasmi biashara zake Tanzania

    Kampuni ya Massmart kutoka Afrika Kusini inayomiliki maduka ya Game imesema Desemba 25, 2022 ni mwisho wa maduka yake kutoa huduma Tanzania. Massmart imefikia hatua hiyo ikiwa ni miezi 12 ya kujaribu kuuza maduka hayo nchini Nigeria, Ghana, Tanzania, Kenya na Uganda kwa wawekezaji wapya wa...
  19. JamiiForums Tanzania Somalia kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki

    Somalia iliwasilisha ombi la kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki katika kikao cha wakuu wa nchi walipokaa kumuidhinisha Congo D.R kuwa mwanachama kamili wa Jumuiya hiyo. Stay tuned.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kufeli uwakili kilio Afrika Mashariki

    Si Tanzania pekee Mjadala kuhusu mitihani hiyo na mfumo wake umeibua taarifa mpya kutoka nje ya nchi, zikibainisha kuwa kilio hicho hakipo tu hapa nchini. Taarifa ambazo Mwananchi imezipata, zinaonyesha janga kama hilo limeikumba sekta ya sheria Zambia katika mtihani wa uwakili mwaka jana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…