mashambulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mkuu wa IRGC Iran auawa na mashambulizi ya Israel

    Huwa sielewi hawa makobaz akili zao huweka wapi, yaani mnajua vita vinakuja halafu mnaanika wakuu wenu kizembe, huyu kubwa la magaidi wa hiyo dini ameuawa kizembe sana.... Israeli and US strikes on Iran killed several senior Islamic Revolutionary Guard Corps commanders and Islamic Regime...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni.

    Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Iran yamuonya Trump kwamba itajibu Mashambulizi yatakayotokea

    Iran imeonya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuwa shambulio lolote la Marekani litalisababisha Tehran kulirejelea shambulio dhidi ya Israel na kambi za kijeshi za Marekani katika eneo hilo kama “malengo halali,” alisema Spika wa Bunge, Mohammad Baqer Qalibaf, mbele ya wabunge. Vyanzo vya...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya IDF kuwapiga kwenye mshono Iran leo wamelalamika!!

    Baraza la Ulinzi la Kitaifa la Iran limetoa taarifa inayopendekeza kwamba linaweza kuanzisha shambulio la mapema dhidi ya Israeli(Preemptive-Strike)‼️ "Usalama, uhuru, na uadilifu wa eneo la Iran ni mstari mwekundu ambao haupaswi kuvukwa. Uchokozi wowote au tabia yoyote ya uadui inayoendelea...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Houth wasema wana aina mpya za silaha ambazo wanakusudia kuanza kuzitumia kwa Israel.Na wameweza kuzuia mashambulizi ya jana yaliyofanywa dhidi yao

    Msemaji wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mashambulizi ya jana waliyofanya na kuwatia hasara mayahudi ni madogo kuliko yale wanayoweza kuyafanya kwa kutumia silaha mpya ambazo wanatengeneza wenyewe. Msemaji huyo amesema katika mashumbulizi mapya ya Israel wao wamefanikiwa kuzuia sehemu...
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania jeshi la anga la Israel limefanya mashambulizi katika mji mkuu unaoshikiliwa na Wahouthi nchini Yemen

    Jeshi la anga la Israel IDF limefanya mashambulizi katika mji mkuu unaoshikiliwa na Wahouthi wa Yemen, Sanaa, Taarifa hii imetolewa na vyombo vya ndani nchini isarel Mashambulizi hayo yanakuja baada ya waasi wa Houthi siku ya Ijumaa kurusha ndege isiyo na rubani na kombora la balestiki...
  7. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanzisha mashambulizi mapya magharibi mwa Ukraine

    Urusi imerusha mamia ya ndege zisizo na rubani na makombora magharibi mwa Ukraine usiku kucha katika moja ya mashambulizi makubwa zaidi ya mabomu katika wiki za hivi karibuni, maafisa wa Ukraine wamesema. Mashambulizi hayo yaliripotiwa huko Zaporizhzhia, Dnipropetrovsk, na Lviv, ambapo mtu...
  8. Jackal

    JamiiForums Tanzania Madhara Ya Pager:Karibu Magaidi Elfu Tatu Wa Hezbollah Au Wanafamilia Wao Wamekuwa Vilema Sababu Ya Mashambulizi Ya Pager Yaliyofanywa Na Mossad

    Source:Alarabiya TV
  9. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Eilat Nchini Israel Kufungwa Mpema Jumapili Hii Kwa Kujiendesha Kwa Hasara Kutokana Na Mashambulizi ya Houthi Huko Bahari Nyekundu

    Baada ya Kujiendesha kwa hasara kwa miaka kadhaa, bandari hiyo iko mbioni kufungwa mapema Jumapili hii ambapo chanzo kimesema shughuli za hapo zimeshuka kwa zaidi ya 90% , huku ikidaiwa kujiendesha kwa hasara kwa deni lisiloisha, kukosekana kwa mapato, kuongezeka kwa gharama za uendeshaji...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran alijeruhiwa kwenye mashambulizi ya ndege za Israel

    Alinusurika kauwahishwa kwa mabikira 72 baada ya kutokea kwenye mlango wa nyuma wa jengo alilokua anafanya kikao, lilipigwa mabomu ikabidi aingie mitini. Israel ni kichaa.... -_----++++++++ Iranian President Masoud Pezeshkian was injured in the leg during an Israeli airstrike last month on a...
  11. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ukraine yakabiliwa na mashambulizi makali zaidi baada ya Trump kumkosoa Putin

    Rais Volodymyr Zelensky amesema Ukraine imekumbwa na shambulizi kubwa zaidi kuwahi kutokea la anga kutoka Urusi, ndege zisizo na rubani 728 na makombora 13 ya baharini au ya balistiki yalipiga miji kote nchini humo. Zelensky alilaani shambulio na kuongeza: "Inakuja kwa wakati ambapo juhudi...
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Israel yaanzisha mashambulizi katika maeneo lengwa ya Wahouthi huko Yemen

    Israel inasema imeanzisha mashambulizi kwenye bandari tatu na kiwanda cha nguvu za umeme katika maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi ya Yemen. Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz alithibitisha wanacholenga ikiwa ni pamoja na meli ya kibiashara ya Galaxy. Meli hiyo, iliyotekwa nyara na kikundi...
  13. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu la kijasusi kauli za kagame:"tunaweza kuja hadi hapo mnapofanyia mashambulizi dhidi ya Kigali na kuwafanyizia".

    Je tunaweza kumtambua kagame kama kiranja wa ujasusi ukanda wa maziwa makuu , na kusini mwa jangwa la Sahara? Tumeona umairi wake uko goma, kushirikiana na M23, tumeona akipeleka vikosi vyake Msumbiji kulinda amani na ushikiano zaidi ya askari 1000, akitumia mpaka wa rwanda kupitisha balozi...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Watu wanaiongelea ndege ya B-2 “Spirit” ya US inavyofanya mashambulizi huko Iran, unajua ina balaa gani?

    Sio mara ya kwanza hivi karibuni umeona sehemu mbalimbali kwamba Marekani kutumia B-2 Spirit Stealth Bomber kufanya mashambulizi ya “precision” dhidi ya Iran. Lakini je, tunafahamu B-2 ni nini? Inaweza kufanya nini? Ina gharama kiasi gani? Na je, kama taifa kama Tanzania, tunaweza hata...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Wizara ya IranYasema Mashambulizi Ya Israel Nchini Iran Yaliua Watu 627.

    Wizara ya afya ya Iran imesema kuwa mashambulizi ya Israel yameua watu 627. Taarifa hizi zinatisha ukizingatia vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Tushukuru vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Kama ingedumu hata kwa miezi mitatu tu ingekuwa ni maelfu ya vifo. Ili kuondoa vifo hivi ambavyo...
  16. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Makachero wa jf tukutane hapa. Je Rusia kua na taarifa za mashambulizi ya marekani uko Iran. Ni kudorola kwa ufanisi wa FBI na CIA?

    Bila kubeza ubora wa idara za ki usalama za Rusia toka kipindi cha Coldwar, ikasemekana KGB ndo shirika tishio kwa intelengnce kwa kipindi icho ikafatiwa na wana wa malkia MI6 , CIA walikua wanapata taarifa kutoka kwao, na japo kwa ishikiano wote ila bado walikua wana salimu amri kwa ubora wa...
  17. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump akanusha taarifa za kijasusi kuwa mashambulizi hayakuharibu mpango wa nyuklia wa Iran

    Rais wa Marekani Donald Trump amejibu ripoti kuhusu tathmini iliyovuja ya kijasusi juu ya shambulizi la Marekani dhidi ya Iran. Akichapisha ujumbe kwenye jukwaa la Truth Social, Trump alivisuta vyombo vya habari vya Marekani na taarifa zao. "TAARIFA ZA UWONGO CNN, PAMOJA NA NEW YORK TIMES...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Trump amekosoa vyombo vya habari, adai Mashambulizi dhidi ya Iran yaliharibu Vinu vya Nyuklia

    Rais wa Marekani Donald Trump amekosoa kile alichokitaja kuwa upotoshaji wa habari kuhusu taarifa za intelijensia zilizovujishwa na kwanza kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani Rais Trump ameshikilia msimamo wake kwamba mashambulizi ambayo aliamuru kufanywa dhidi ya Iran...
  19. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Tunachokijua kuhusu mashambulizi ya Iran kwenye kambi ya kijeshi ya Marekani, Al Udeid

    Iran imerusha makombora katika kambi ya jeshi la Marekani nchini Qatar, ikisema kuwa ni kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Marekani dhidi ya maeneo yake ya nyuklia mwishoni mwa wiki. Mashuhuda wameripoti kusikia milio mikubwa angani juu ya Qatar, huku video zikionyesha miale mikali angani...
  20. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump aitaka Israel kutoendelea na mashambulizi yake dhidi ya Iran

    Rais wa Marekani Donald Trump ameionya Israel kupitia mtandao wake wa kijamii wa Truth Social kutoendelea na mashambulizi yake dhidi ya Iran. Ujumbe wa Rais Trump ulisomeka: "ISRAEL. MSIDONDOSHE HAYO MABOMU. HATUA HIYO ITAKUWA UKIUKAJI MKUBWA WA MAMLAKA. WAAMBIENI MARUBANI WARUDI NYUMBANI...
Back
Top Bottom