mashabiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mimi ni Simba ila mashabiki wenzangu ni mambumbumbu ila Mimi nimegoma kuwa mbumbumbu

    Mwaka wa nne hatuna hata kombe la kahawa na tumeambulia vichapo vikali kutoka Kwa watani wetu Yanga Goli 5 na kufungwa mechi 5 halafu mbumbumbu wenzangu mmekua mbumbumbu kiasi kwamba tulikua tunamtukana Mangungu kwamba katyuza halafu ghafla tukasahau Kwa chawa wakina kisugu na kina mzarami...
  2. Mashabiki wa Arsenal: Mafanikio ya Klabu Hayaji Kwa Bahati

    Tuwe Wakwelii... Luis Enrique ametumia karibu kiasi sawa cha pesa ndani ya miaka miwili pale PSG kama ambavyo Mikel Arteta ametumia katika kipindi cha miaka sita pale Arsenal. Lakini kuna tofauti kubwa sana kati ya mazingira yao wawili: Enrique alirithi kikosi kilichojaa wachezaji nyota...
  3. Next sesson NBC itakuwa ni vita kubwa ya timu pamoja na Mashabiki

    1.Bodi ya Ligi ni mkosa namba moja kwa kuacha kukemea maovu dhidi ya timu. 2.Namba 2 watakuwa ni viongozi(hususani wasemaji) itajihirisha vita ya Mashabiki na ndipo hapa serikali isipoingilia kati Mkunyugano utahamia kwenye Siasa. Mark my word.
  4. Tuwe Wanamichezo na kamwe tusiwe Mashabiki, Simba SC hata tungecheza na RS Berkane mara 10 tungefungwa nao, na Ushindi kwetu Kwao ni Sare / Suluhu

    Mo Dewji atulie na asajili Wachezaji wa maana wa Kamaifa na wenye Uzoefu wa Mechi za Kimataifa ili wakusaidie katika Mechi za Kimataifa na vile vile katika Ligi ya Ndani (NBC Premier League) ambayo Kwao (hawa Wachezaji wa Kimataifa na wenye Uzoefu) itakuwa ni kama tu kufanya Mazoezi. Wala...
  5. Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

    Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kupitia taarifa hiyo...
  6. Mashabiki Wa Simba huenda wakawa ni Mashabiki wa ovyo kabisa hapa Afrika

    Kitendo hiki hakikubaliki popote.. Hawa wale rungu tu.. hakuna namna... UPDATE.. TAMKO LA CLUB YA YANGA..
  7. Ushabiki wa Simba na Yanga ndiyo tumefikia huku????

    Habari za muda huu wana jamvi Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani? Ule utani wa jadi uko wapi? Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili. Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo...
  8. B

    Tamko rasmi la mashabiki na wadau wa mpira wa miguu Tanzania

    TAMKO RASMI LA MASHABIKI NA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA Kuhusu Msimu wa 2024/2025 na Wito wa Mabadiliko ya Haraka TPLB Sisi kama mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania, tunatoa tamko hili kutokana na kukithiri kwa dosari, vitendo visivyo vya kitaalamu, na uendeshaji mbovu wa Ligi Kuu...
  9. Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  10. Kuwanyima haki ya kuiona timu yao ikicheza fainali ya CAF maelfu kwa maelfu ya mashabiki wa Simba ni doa lisilofutika

    Kuwanyima maelfu ya Watanzania haki yao na fursa ya kuangalia mechi ya kihistoria katika uwanja wao kwa sababu za mvua ni kinyume cha juhudi zote za kuufanya mchezo wa mpira wa miguu uwafikie watu wengi zaidi. Kuna timu nyingi, zingine zina mafanikio ambazo zinahangaika kutafuta mashabiki ila...
  11. Simba wamewafanyia mashabiki wao utapeli

    Simba na TFF walitumiwa barua ya kuwapa taarifa kuwa mchezo wao wa fainali dhidi ya RS Berkane kuwa utachezwa Zanzibar Toka tarehe 14 May, 2025 Viongozi wa Simba wakijua hii taarifa waliwapa taarifa kuwa wawndelee kununua tiketi za uwanja wa Benjamin Mkapa Viongozi wa Simba, TFF na Serikali...
  12. R

    Tusiwe na hofu ! uongozi wa uwanja wa Zanzibar na Shirikka la soka Zanzibar wamejaa viongozi mashabiki wa Simba.

    Hofu ni kwenu tu. Nimeambiwa na mdau wa soka kutoka Zanzibar, Viongozi wengi wa soka na uongozi wa Uwanja ni mashabiki wa Simba,
  13. Dhana mbovu iliojengwa na mashabiki pamoja na viongozi wa Simba

    DHANA!!! Simba anaamini akicheza Benjamin mkapa mechi ya marudiano basi mlima wa bao mbili kwake sio mrefu na anaweza kuupanda sana. Bahati mbaya sana ni kufananisha ubora wa timu ambazo amekutana nazo na hii ambayo anacheza nayo fainali. Sio mbaya kujiamini lakini kiuhalisia bado Berkane ni...
  14. M

    Viongozi wa Simba muache kujichanganya na kucheza na akili za mashabiki wenu!

    Mi nawashangaa sana Hawa viongozi wanavyojichanganya na kuweweseka utadhani wamekatwa vichwa! Nimeona barua inayotembea mtandaoni kwamba wameandika barua caf wakiomba mechi yao ya marudiano ichezwe Algeria na awataki kucheza Zanzibar! Nimejiuliza maswali mengi juu ya Hawa viongozi kama wako...
  15. M

    Timu za Kariakoo Jengeni viwanja vyenu ili kuongeza furaha za mashabiki wenu

    Kwa Hali ilivyo ya kutegemea uwanja wa serikali Kwa mechi muhimu za klabu za kimataifa..ipo siku timu hizo za Kariakoo zitacheza mechi za nyumbani nchini congo au Rwanda!!!.... Ni aibu tunaambiwa ligi yetu imekuwa mara ipo namba 5 Afrika ..na blah blah kibao...huku timu kubwa zikitegemea uwanja...
  16. Mashabiki wa Simba SC tafadhali Siku zingine msirudie tena huu Ushamba ambao pia ni Hatari kama Ndege ikiwa Angani na hairuhusiwi

    Hairuhusiwi popote pale Ndege ikiwa Angani Watu (Abiria) kuanza Kucheza Dansi huku wengine Wakiruka Sarakasi katika Viti vyao na wengine wakirandaranda na Vinywaji vyao (Vilevi) kana kwamba Wote wako Baa wakati kumbe wako Futi 65,000 Usawa wa Bahari wakiitafuta Morocco. Na nimeshangaa sana tu...
  17. Je, mashabiki wa Simba wanaolalamika gharama za safari kwenda Morocco wana hoja?

    Hili jambo linahitaji tafakuri ya kutosha. Kwanza, nianze kwa kusema kwa mtazamo wangu faida kubwa ya Simba kupata ndege kubwa ya serikali kwenda Morocco haipo kwenye kupeleka mashabiki au kupunguza ungaunga za njiani wakati wa kwenda Morocco. Faida ipo kwenye kurudi baada tu ya mechi na kuwa...
  18. Mashabiki wa Simba kuipokea Simba hakuna neno, ila wafuasi wa Lissu kusikiliza kesi haitakiwi

    Ule umati uwanja wa ndege Dar es salaam wa mashabiki wa Simba tena usiku mbona polisi hawakuusambaratisha? Pale uwanja wa ndege na mahakama ya kisutu unyeti wake ni tofauti?
  19. Stellebosch ni kama Azam iliyochangamka.timu haina mashabiki kwao,wabongo walioko huko wanatosha kuifanya Simba ijisikie iko nyumbani

    Pamoja na mambo mengine kinachoikwamisha Azam ni kukosa mashabiki. Stella wakiwa ugenini ni wakali kuliko kwao Kule kwao hawana mashabiki kabisa kama Azam Simba itakuwa kama iko kwa Mkapa tu. Mchawi wetu atakuwa VAR,tusiruhusu goli hata la offside,wala kugongana na hao wazulu koko kAribu na...
  20. Kila anayemwangalia Lissu kama kiongozi anapaswa kuelewa Lissu ni mwanaharakati

    GTs, Kila anayemwangalia Mheshimiwa Lisu kama kiongozi anapaswa kuelewa Lisu ni mwanahakati. Hotuba zake, badala ya kuwa na mafunzo ya kujenga, zimejaa maneno ya kejeli, uwongo wa wazi, na uchochezi wa kutopenda kati ya wananchi wa kawaida na viongozi wa serikali. Lakini swali kubwa ni hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…