Shida ya kulala mchana,hata kama ulilala vizuri usiku,unakuta mtu hata afanyaje anashindwa kujizuia kulala, inawapata asilimia chache ya watu Duniani,zaidi unawakumba wanawake, kwa kitaalamu unaitwa, Narcolepsy.
Huu ni ugonjwa wa usingizi wa mfumo wa neva unaosababisha mtu kulala ghafla wakati...