marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Unajua watu fulani wako hatarini kupigwa marufuku kukanyaga Marekani?

    Unaweza ukasema, "kwani Marekani ni Mbinguni?" Lakini ukweli ni kwamba wakubwa wengi wanapenda kwenda huko ama kwa ziara rasmi au kwa ajili ya kutumbua hela! Hata mimi kuna siku nitafika USA! Taarifa iliyopo ni kuwa Marekani inalifuatilia sakata la wanaharakati kutoka nchi jirani kudhalilishwa...
  2. JamiiForums Tanzania Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) lapiga marufuku Vijora Uwanjani

    Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) limepiga marufuku kwa Klabu za mpira wa miguu kwenda Uwanjani na vikundi maalum vya kucheza vya Wanawake wanaocheza ngoma zisizo na maadili pamoja na kuvaa nguo (Vijora) na kuonekana maumbile ya miili yao. ZFF inatoa angalizo la kuzichukulia hatua...
  3. JamiiForums Tanzania BoT yasisitiza ni marufuku kutumia fedha za kigeni kufanya miamala ya bidhaa na huduma nchini

    Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Akaro akizungumza katika semina ya Waandishi wa habari iliyofanyika tarehe 20 Mei 2025 katika ofisi za Benki Kuu jijini Dar es Salaam, kuhusu Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za Mwaka 2025. Kwa mujibu wa Kanuni hizo, bei...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali piga marufuku kujengea makaburi kwa zege za marumaru.

    Mipango yako lazima iwaone vitukuu vyako na vitukuu vyao pia. Watu wanaongezeka na ardhi inabaki ileile ambayo inazidi kupunguzwa kwa kumegwa na bahari inayozidi kuongeza kina chake kutokana mabadiliko ya hali ya hewa. Kama makaburi ya zege na marumaru yasiooza yakiongezeka wale wengine wakifa...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Miziki na Movies kwenye mabasi zipigwe marufuku, zinachangia mmomonyoko wa maadili

    Unamlinda mtoto nyumbani kwa kutoangalia mamiziki na movies za kipuuzi lakini unakutana nayo kwenye mabus siku ya kusafiri na mtoto. Mamiziki mengi Kwenye mabus ni ya kipuuzi yenye kutikisa makalio, kuvuta sigara.Pia unakuta wanaweka movies zenye sehemu wakifanya ngono. Kuna siku kwenye bus...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Shughuli za Vyama vya Siasa nchini Mali zimepigwa marufuku

    Serikali ya kijeshi ya nchini MALI imetangaza kusitishwa kwa shuguli zote za vyama vya kisiasa nchini humo hadi hapo itakapotangazwa tena. Tangazo hilo limetolewa tarehe 7 May 2025 kupitia televisheni ya taifa. Tangazo hilo limekuja ikiwa ni siku chache tangu serikali hiyo ilipotangaza azimio...
  7. JamiiForums Tanzania Benki kuu ya Tanzania yapiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kufanya miamala ya ndani

    Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani. Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu wa kanuni zilizotolewa na Serikali mwaka 2025, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote nchini lazima...
  8. JamiiForums Tanzania Ifahamu organization ya "Muslim Brotherhood" inayopigwa marufuku maeneo mbalimbali duniani ikiwemo baadhi ya nchi za Kiarabu

    Muslim Brotherhood, ilianzishwa mwaka 1928 nchini Misri, ni shirika la kimataifa la Kiislamu la Sunni linalolenga kutekeleza sharia na kuanzisha caliphate ya kimataifa. Itikadi zao zimezijenga vikundi vya kigaidi vingi duniania ikiwemo hamas na al-qaeda. Mataifa kama Saudi Arabia, Umoja wa...
  9. JamiiForums Tanzania Marufuku kumwita mtu fulani: "Mwamba"

    Imezuka tabia, siku hizi, watu wanapomuona mtu fulani ana msimamo thabiti, imara, wanamwita “Mwamba.” Kwa mujibu wa Maandiko, "Mwamba" ni jina lenye uzito mkubwa kiroho. Jina hilo ni la Yesu Kristo peke yake, kama Maandiko yanenavyo katika 1 Wakorintho 10:4b. Kumwita mwanadamu “Mwamba” ni...
  10. JamiiForums Tanzania Waratibu wa Shindano la urembo la Miss Ivory Coast 2025 wapiga marufuku matumizi ya Wigi

    Waratibu wa Shindano la Urembo la Miss Ivory Coast Mwaka 2025 wamepiga marufuku matumizi ya washiriki kuvaa nywele bandia (Wigs) au kuongeza nywele bandia katika sehemu za nywele zao Mratibu wa Shindano hilo linaloanzia hatua ya awali katika Miji 13, Victor Yapobi amesema “Tunataka Washiriki...
  11. JamiiForums Tanzania Bodyguard wa Lionel Messi apigwa marufuku kuingia sehemu ya kuchezea

    Lionel Messi’s bodyguard, Yassine Cheuko, has been banned by MLS from protecting the Argentine on the pitch due to new league safety regulations ❌✋ "I was in Europe for seven years working for Ligue 1 and the Champions League, and only six people invaded the pitch.'I arrived in the United...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Heche Vijana wanahitaji ajaira si kubeti

    Hivi Heche anajua Katiba ya Tanzania na Uhuru wa Kufanya Kazi yoyote ili mradi hauvunji Katiba ya nchi? Au ndio wanataka kuleta Udikteta
  13. JamiiForums Tanzania Utoaji wa taarifa wa aina hii wa kuzusha taharuki na hofu kwa ndugu za wasafiri upigwe marufuku na serikali.

  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Sitaki kusikia mtu anaambiwa akanunue dawa nje ya hospitali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku tabia ya waganga katika hospitali za serikali kuwaandikia wagonjwa dawa na kuwaelekeza kununua dawa hizo katika maduka ya dawa ya watu binafsi wakati Serikali imetoa dawa za kutosha kwenye zahati,vituo vya afya na hospitali za Wilaya. Ametoa marufuku...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna majina duniani ni kama yamepigwa marufuku sababu yametumika vibaya

    kuna majina ambayo yamepigwa marufuku katika baadhi ya nchi kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya, historia mbaya, au maana zisizofaa. 1. Hitler – Jina hili limepigwa marufuku katika nchi kama Ujerumani na Austria kutokana na historia yake na Adolf Hitler. 2...
  16. JamiiForums Tanzania Mume akifa ni marufuku mke kuolewa tena ila akitangulia mke ni ruksa mume kuoa tena

    Wakubwa hili jambo ni la wazi sana na sitegemei kuna mtu hapa ataanza kubishana maana liko wazi sana hata kwenye mila na desturi zetu. na hata kimatinki tu haingii akilini yani wewe na baby wako mmechuma pamoja hlf ghafla unakata moto eti anatokea dume suruari mmoja na ke.nde zake mbili...
  17. JamiiForums Tanzania IGP tunaomba upige marufuku tabia ya polisi kuvaa mask bila sababu yoyote

    Siku hizi imeibuka tabia ya baadhi ya askari polisi kuvaa kininja na wengine kuvaa mask pasipo sababu ya msingi. Wengine wanavaa shingoni vile vitambaa kama vya masheikh/ waarab (kama alivyopenda kuvaa hayati Yassir Arafat). Askari wengi wanaopenda kuvaa hivyo ni wa kikosi cha kutuliza ghasia...
  18. JamiiForums Tanzania RC Shinyanga apiga marufuku Watoto kutumikishwa mashambani, ataka wapelekwe Shuleni

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amepiga marufuku wazazi na walezi kuwatumikisha watoto mashambani na kuchunga mifugo badala ya kuwapeleka shule. Msingi wa kauli ya Macha ni kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kusoma wanaandikishwa na wanahudhuria shuleni, akidokeza kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania PDPC: Ukifika nyumba ya Kulala Wageni, marufuku kuandika unapotoka na unapokwenda

    TUME ya Ulinzi wa Taarifa (PDPC), imesema kuwa unapokwenda nyumba ya kulala wageni hairuhusiwi kuandika ulikotoka na unakokwenda kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka sheria ya taarifa binafsi. Akiwasilisha mada ya zana ya taarifa binafsi, Mkurugenzi wa usajili na Uzingatiaji wa PDPC, Stephen...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Lebanon yapiga marufuku ndege za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutua uwanja wa ndege Beirut, maelfu ya abiria wakwama kusafiri

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Dozens of Lebanese nationals have been stranded at the international airport in Tehran since this morning after Lebanese aviation authorities informed the Iranian Mahar Air airline that its flight to Beirut would not be...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…