marubani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KWELI Je ni kweli Marubani wa Ndege Hula Chakula Tofauti Wanapokuwa Safarini?

    Imekuwa ikidaiwa mara kwa mara kwamba marubani wa ndege hawaruhusiwi kula chakula cha aina moja wanapokuwa safarini, hasa rubani mkuu na msaidizi wake. Suala hili limekuwa likiendelea kwe kampuni mbalimbali za usafiri wa anga.
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini marubani wote duniani wanapenda Ipad katika matumizi ya ndege.

    Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani. Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung. Kashafika level ya kurusha ndege. Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam...
  3. JamiiForums Tanzania POTOSHI Vikosi vya Marekani Vya pambana na IRGC Kuokoa Marubani Waliopotea

  4. W

    JamiiForums Tanzania Israel inatumia marubani wa kike kuishambulia Iran, wanawake wakipewa nafasi nao wanaweza !

    Kwa mara ya kwanza Jeshi la Israel walijaribu kutumia marubani wa kike 26 October 2024, waliweza kushambulia kambi ya jeshi la iran, kuua askari wanne na kuharibu mifumo ya ulinzi iliyojaribu kuwazuia , waliweza kufika Tehran kupiga doria na kurudi salama Israel. Round hii wameenda wengi zaidi...
  5. JamiiForums Tanzania Marubani 1000 wa jeshi la Israel wasaini waraka wa kupinga vita.

    Ni uhakika kuwa nguvu kubwa ya jeshi la Israel ipo kwenye mapigano ya angani kwa kutumia ndege za teknolojia za kisiasa kuwapiga inaoamini ni maadui zake. Jumla ya marubani wa ndege hizo wengi wao wakiwa ni wastaafu wamesaini waraka kupinga kuendelea kwa vita ambavyo wameona havijafikia malengo...
  6. JamiiForums Tanzania 26 Oktoba 2024, Usiku Wa Kutisha na Usiosahaulika Kwa Marubani Wa Jeshi La Israel

    Hii ni siku ambayo jeshi la Israel waliamua kwenda kufanya mashambulizi ya anga nchini Iran kama kulipiza kisasi baada ya mashambulizi yaliyofuatana ambayo Iran iliita 'true promise one' na 'true promise two'. Naomba nisielezee sana huko, story itakuwa ndefu, ningependa niende kwenye mada moja...
  7. JamiiForums Tanzania Marubani hodari na wapiga gitaa warembo waliowakimbia Taliban wafukuzwa kama mbwa huku wakiwa na hofu kurudi kwao.

    Kama kuna wapalestina hawajasoma yanayowapata wenzao wanaojipendekeza kwa adui basi wasome mikasa inayowapata marubani hodari walioshirikiana na jeshi la Marekani kuwapiga wenzao wa Taliban. Marubani hao kama vile Tauheed Khan wamekuwa wakipata vitisho na kufokewa kama mbwa koko ili...
  8. JamiiForums Tanzania Kauli mbalimbali za mwisho za Marubani kabla kupoteza maisha kwa ajali

    Hizi ni kauli za mwisho za binadamu baada ya kuona hamna tena matumaini ya kuendelea na uhai wake pindi anapokumbana na hitilafu au ajali inayompata wa nini kifuatacho
  9. G

    JamiiForums Tanzania Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

    wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua. Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lapiga marufuku marubani wake kusafiri nje ya nchi, yahofia kipigo kutokea Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limepuga marufuku marubani wake wote kusafiri nje ya nchi hiyo kama tahadhari ya maandalizi ya vita dhidi ya Iran, Hezbollah na washirika wao Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa kikosi cha Anga Meja Jenerali Tomer Bar, Taarifa kamili hapo chini: === Amid...
  11. JamiiForums Tanzania Russia imetangaza dau kwa Marubani watakao torosha ndege za F 16

    Urusi imetangaza dau mamilioni ya Dola kwa Marubani wa Ukraine na Western watakao rusha ndege za F 16 za msaada kwa Ukraine wazitoroshe kwenda Urusi Russia promised Western and Ukrainian military pilots a million dollars for the ``kidnapped'' fighter F-16 IF THEY DEFECT TO HER SIDE WITH THE...
  12. JamiiForums Tanzania Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini

    Wengi tunazijua gari zinazotumika kwenye mashindano ya FIA, especially ya Formula 1. Magari na team kama Ferrari, Mercedes Benz, nk yanaonesha uwezo wao. Vile vile madereva wa hayo magari, kama Lewis Hamilton, Max Verstappen nk wakionesha ubabe nyuma ya steering. Ukichukulia poa, utasema vile...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Uwanja wa Ndege wa Bukoba ni hatarishi sana kwa marubani kutua na wanapaogopa mno?

    Nasikia kama kuna Kitu ambacho Marubani wengi wa Ndege nchini Tanzania hawakipendi basi ni kupangiwa route ya kwenda Kutua Uwanja wa Ndege wa Bukoba (Kagera) kwa Watani zangu na naambiwa wapo Marubani wengine Hujivunja (Hutoa Sababu za Uwongo) ili tu wakwepe na wapangiwe Wengine. Pia kuna Mtu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ni baadhi ya marubani watanzania

    Herman mushi na neema swai Hawa ni baadhi ya marubani wazawa kabsa wanairusha ndege za air Tanzania the wings of Kilimanjaro Hawa wangetakiwa wawe na page social media ku inspire vijana na watoto katika mambo ya urubani. Mfano Ukingia katika tiktok version ya china na Tanzania utugundua...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa: Ujio wa ndege mpya, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kupewa ndege za mafunzo ili Wazalishe Marubani

    Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege ya abiria ya masafa ya kati aina ya B737-9MAX ambayo uundaji wake umekamilika itakayowasiri kesho Oktoba 03, 2023. Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 181 katika madaraja mawili ambapo daraja la kawaida “economyclass” itabeba...
  16. S

    JamiiForums Tanzania JF Marubani, naomba yeyote anayefahamu kuhusu Ndege inavyoruka na kutua tuelimishane haya

    Habari ndugu wadau! Naomba mwenye ABC Kuhusu masuala ya urubani atusaidie kujibu kwa ufafanuzi machache kuhusu ndege inavyoruka na kutua. Pamoja na mengine; Naomba ufafanuzi 1. Kazi ya kifeni kule mbele kulikochongoka ni nini? 2. Je ndege inayoruka ndani ya Tanzania inatakiwa kutembea umbali...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Marubani hupenda kuvaa miwani ya jua?

    Miwani ya Jua hupunguza athari za mwanga mkali wa jua, uchovu wa macho, na kulinda tishu za macho dhidi ya mionzi hatari ya jua. Kwa Rubani (kama jadi) pia humlinda dhidi ya miale mikali ya Jua anapokuwa angani na zaidi ya hayo, kuepuka kuathiriwa na uchafu unaoweza kuruka kutokana na mgongano...
  18. JamiiForums Tanzania Ukraine yaweka tayari kikosi cha marubani zaidi ya 7,000 wa drones, tunaingia kwenye mkondo mpya

    Muda umefika wa kuingia kwenye kiwango kingine cha vita vya kisasa, zaidi ya marubani 7,000 wa drone wamepata mafunzo na wako tayari kupeleka moto kwa kubonyeza bonyeza tu. A Ukrainian official recently shared a video showing a stockpiled "drone army" amid the ongoing war with Russia. Mykhailo...
  19. JamiiForums Tanzania Marubani wa ndege ya shirika la Precision kumbe walikaidi ushauri wa waongoza ndege wakaishia kupata ajali?

    https://www.yahoo.com/news/tanzania-pilots-failed-heed-warnings-194627197.html
  20. JamiiForums Tanzania Marubani wa Urusi watatunukiwa tuzo baada ya tukio la kuzuia ndege zisizo na rubani za Marekani

    Marubani wa ndege za Urusi ambazo zilifanya jitihada za kutambua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyokuwa ikifanya kazi ya upelelezi kwenye Bahari Nyeusi wameteuliwa na kupewa tuzo za heshima, Wizara ya Ulinzi ilitangaza Ijumaa. Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu "amewapa tuzo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…