marubani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu angefanikisha ndoto ya kila Mtanzania sasa tungekuwa na Marais laki 1, wanajeshi ml.10, marubani mil.7, madaktari mil. 10, wanasheria ml.15

    Ahahaha kweli Afrika, kila mtoto ukimuulizia ndoto yako nini atakuambia ni kuwa rubani, daktari, mwanasheria, RAIS au mjeda. Wachawi tumewachoka sasa, hebu rudisheni ndoto za Watanzania walizoota walipokuwa primary na sekondari.
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Marubani wanalazimishwa Kutua Bukoba Airport?

    Inasikitisha sana. Yaan watu Wana mchezo na maisha ya watu aisee. Miaka 60 ya Uhuru bado maisha ya abiria yanawekwa rehani hivi?
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Je, yawezekana marubani wa ndege iliyopata ajali walivunjika miguu na kushindwa kusimama?

    He rushed to the scene with three fellow fishermen and helped to open the rear door by smashing it with a rowing oar which helped passengers seated towards the rear of the plane to be rescued. Mr Jackson said he then moved to the front and dived into the water. He and one of the pilots then...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Sheria ya Marubani wa Ndege na Manahodha wa Meli bado inafanyika hadi hivi leo?

    Kwamba Ndege au Meli ya Abiria ikizama Majini (Baharini na Ziwani) Rubani na Nahodha hawatakiwi Kujiokoa au Kuokolewa Kwanza hadi Abiria Wote wamalizike na kwamba ikitokea hata akafa ndani ya Maji na Ajali husika basi huyo Kitasnia na Kiuweledi anasifika kuwa alikuwa ni Shujaa wa Kiutendaji...
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kwa picha: Hali JKIA baada ya marubani wa Kenya Airways kutangaza mgomo

    Abiria wamekuwa wakipanga foleni katika kituo cha wasafiri wa kimataifa katika uwanja wa JKIA ili kujua hali ya safari zao. Baadhi ya safari zimeahirishwa na wateja wengine kuhamishiwa ndege zingine, lakini wengine wao wamesubiri hadi saa 6 kuhudumiwa.
  6. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marubani 400 wa Kenya Airways wagoma, abiria 10,000 wakwama uwanja wa ndege

    UPDATE: Chama cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga cha Kenya (Kawu) kimetaka wanachama wao kuacha kazi leo baada ya Mamlaka ya Uwanja wa Ndege wa Kenya kukamilisha na kutekeleza Makubaliano ya Pamoja ya Majadiliano (CBA) ambayo yalijadiliwa na kuafikiwa mwaka wa 2019. Wanachama wa Kawu ambao ni...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marubani wa Shirika la Ndege la Kenya Airways mbioni kufanya mgomo

    Imedaiwa mpango huo unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia leo Novemba 3, 2022 baada ya mazungumzo ya wiki mbili baina ya pande mbili kutopata muafaka. Marubani wanataka warejeshewe mchango wa mafao yao ya kustaafu ambayo yalisimamishwa wakati wa kipindi cha UVIKO-19, wakati Shirika limeweka...
  8. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marubani wa Kenya Airways watoa notisi ya mgomo

    Marubani wa shirika la ndege la Kenya Airways wanasema hawatarusha ndege kufuatia mizozo ya muda mrefu kati ya muungano wao na usimamizi wa shirika hilo. Marubani hao walidai kuwa madai yao mengi hayajatatuliwa, na hivyo wanaamua kuchukua uamuzi huo. Kwa mujibu wa notisi yao watagoma ndani ya...
Back
Top Bottom