Hivi vyama 18 vinataka kuridhiana nini na CCM wakati vilisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, na siku ya kuapishwa vilialikwa na vyote vikampongeza Samia kwa ushindi.
Ulishiriki uchaguzi ukasema ulikuwa huru na wa haki, na upo bungeni wengine wamo serikalini huko Zanzibar, sasa watuambie...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema endapo chama hicho hakitashirikishwa kwenye maridhiano, maana yake itakuwa robo tatu ya Watanzania watakuwa hawajashirikishwa.
Akizungumza Agosti 3, 2026, katika kikao na viongozi wa Chadema Wilaya ya Tarime, Heche alisisitiza msimamo wa chama...
CCM mnahubiri juu ya reconcilliation. Kwa kizungu ni maridhiano.
Maridhiano hufanyika baadsa ya pande mmoja kudhulumu pande nyingine. Hass kwa kufanya mauaji na utekaji kama kule Afrika ya kusini.
Kwa hapa Tanzania CCM wanataka maridhiano kwa sababu zipi?
Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa!
Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].
Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].
Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi.
Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesisitiza kuwa Tanzania haiwezi kufikia maridhiano ya kweli na ya kudumu bila kuwepo kwa misingi ya ukweli, haki na uwajibikaji.
Semu ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tatu ya Madiwani wa ACT Wazalendo kutoka kata...
Taarifa kwa UMMA Kuhusu Uandaaji wa Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Kuongoza Mchakato wa Mazungumzo ya Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa*
Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania, taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa, wadau wa maendeleo...
Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja,
wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya...
Tusipokuwa makini itakuwa kila baada ya uchaguzi tunafanya maridhiano
Mfano mwaka huu 2026 tupo kwenye maridhiano na itakuwa hivyo hivyo mwaka 2031 tutafanya tena maridhiano na itakuwa mwaka 2036 tunafanya maridhiano sababu hatutaki kuadress mambo ya msingi
Nimemsikia samia akisema wanamsubiria mwenzao anatafakari mambo kadhaa. Na hawa wengine nmewaona wana furaha wakitabasamu kuwa pale.
Sasa hawa si wapo tayari? Kuna Chauma, ACT, CUF,TLP,NLD,NCCR n.k kwa nini CCM na samia wasiamue tu kuridhiana na hawa mpaka wamsubirie Lissu?
Je hawa wengine...
Hawa wafanyabiashara ya Madawa ya kulevya, Mafisadi, Wahujumu Uchumi, Wauaji na Watekaji, wanafanya kila njia kuhakikisha katiba mpya haipatikani.
Mara watasema, Katiba mpya si kwaajili ya kugawana vyeo, katiba mpya haituletea chakula nyumbani nk.
Wengine wanasema tupate Muda wa miaka mitatu...
Watu hutafuta Maridhiano baada ya kugombana au kuhujumiana ata kupigana. Kama ilivyokuwa kenya. Ulikuwa ugonvi kati ya Odinga na Kenyata. Watu wakakaa wakataka waridhiane. Lengo ni kuondoa tofauti zao.
Tanzania ni tofauti kabisa, Tena mbali mno. Je kuna ugonvi binafsi kati ya Lissu na Samia. Au...
Wadau, nimeona maoni ya wadau mbalimbali kuhusu kile kinachoitwa Maridhiano, wengine wakipinga, wengine wakiyaunga mkono na kila kundi likitoa sababu zake. Nimeona CHADEMA wametoa Masharti ya awali (pre conditions) kama 3 za Maridhiano
1. Mwenyekiti Lissu Aachiwe huru pamoja na wafungwa wote...
Neno maridhiano limeshika kasi kwa siku za hivi karibuni. Lakini mjadala upo zaidi kwa CHADEMA. Maswali niliyonayo ni nini kilitokea?
Chadema hawakushiriki uchaguzi, je watafanya maridhiano gani kama sio kuyafuata waliyohahitaji kabla ya uchaguzi?
Lakini kama maridhiano ni matokeo ya...
Akizungumza katika mahojiano na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Peter Madelekea amedai kuwa nchini kuna aina ya "ugaidi wa kisiasa" ambao unatumika kimkakati ili kutengeneza mazingira ya kulazimisha maridhiano ya kisiasa.
Madelekea ametolea mfano Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA, Freeman...
Mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan, na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam Julai 30, umeibua tena mjadala kuhusu mwelekeo wa maridhiano nchini baada ya kipindi cha mvutano wa kisiasa kilichofuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.
Kwa upande wa Serikali, mkutano huo...
Zanzibar walifanya mazungumzo yao chini ya Wazanzibari.
Hakutakuwa na maridhiano ya Tanzania, hadi Watanganyika tutakapo ridhiana kwanza.
Wazanzibari lazima wajue ni wakati wa kurudi kwao, siku kadhaa zijazo itabidi tutumie kitabu cha Rwanda, kuidai Tanganyika.
Tukomae, Tupambane, ni mwendawazimu pekeee ambaye anaweza ku normalize Mauaji ya Oktoba 29, na kukaa na Samia, na kupiga Picha eti 'Tumeyamaliza'.
Vijana waliuliwa kwa Risasi za Kivita , Snipers walipasua watu Vichwa vyao, bongo za Vijana zilimwagwa .
Watanzania Msikubali kabisa Huo Upuuzi...