Ikulu ya White House ya Marekani, imesema kuwa Urusi inaendelea na mazungumzo ya siri na Korea Kaskazini ili kupata risasi na nyenzo nyingine za kivita dhidi ya Ukraine.
Mtandao wa BBC umeripoti kuwa msemaji wa usalama wa taifa hilo, John Kirby, amesema kuwa pamoja na vifaa vya kijeshi, Moscow...
Maendeleo hayana ubaguzi, kwakuwa ndani ya miaka zaidi ya 60 tumeshindwa kufanya mapinduzi kwenye sekta hata 1 niombe kwa heshima na taadhima tuiombe nchi ya Marekani itupatie vichwa 100 vitusaidie kutengeneza mfumo utakaoleta matokeo haraka na kutengeneza katiba mpya yenye tija.
Kwanza hao...
ukiingia Youtube sikuhizi kuna wamarekani weusi wana ajenda yao ya go back to Africa, yaani kurudi Afrika, wanakuja nchi za Afrika ikiwemo Tanzania lakini wanafeli maisha wakifika huku, kinachofuata huwa ni kuandaa video za malalamiko kwamba tunawabagua, maisha magumu, n.k.
Mimi kwa mtazamo...
Huu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu.
Siku Urusi au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe apite.
Kuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo.
Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani.
Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?
Katika mkutano wa wadau wa Demokrasia ulioandaliwa na TCD, Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle amesema demokrasia sio lazima ifanane kwa kila nchi, lazima kila demokrasia izingatie mazingira yake.
Amesema demokrasia ya Tanzania, inabidi izingatie mazingira ya Tanzania, ifanane na...
Miaka 25 baadaye, tunakumbuka milipuko ya kutisha ya mabomu katika balozi za Marekani nchini Kenya na Tanzania. Tunaheshimu na kuwakumbuka watu 213 waliopoteza maisha Agosti 7, 1998, na tunaapa kuwafikisha wahusika mbele ya sheria. Tufahamishe habari yako; unaweza kustahiki tuzo.
Ooh...
Wanasema mtu akitoka kijijini akaja mjini kwa mara ya kwanza basi kitu cha kwanza lazima aagize soda na mkate.
Na mtu kutoka mkoani akifika Dar kwa mara ya kwanza lazima aende Coco Beach halafu apite Manzese darajani kupiga picha akiwa kwenye daraja..
This is true of Haji in the USA, akifika...
Kamwe huwezi kuwazuia Viongozi wa dini kukemea maovu hasa pale serikali inapokuwa na moyo mgumu na usio kuwa na huruma kwa wanchi wake.
Kilichofanywa na kanisa Katoliki ni kutimiza wajibu wao wa kichungaji na hakuna tatizo lolote. Kanisa halijaanza leo kuwakalipia wanasiasa wa hovyo.
Leo hii...
Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto watano kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushiriki Kongamano la nane la dunia la watoa huduma za matibabu ya magonjwa ya moyo kwa watoto linalofanyika nchini Marekani.
Kongamano hilo linatarajiwa kuanza tarehe 28 agosti hadi 3 septemba...
Ni maajabu ya Karne Kwa Waziri kuacha kazi yake ya uwaziri toka nchi kubwa, superpower ,na kwenda kuwa dereva wa Malori ๐ค
.....
https://www.theguardian.com/us-news/2023/aug/18/one-big-adventure-the-russian-minister-who-fled-the-draft-to-drive-trucks-in-the-us
Katika miaka ya hivi majuzi, mauaji ya kufyatua risasi yamezidi kuwa ugonjwa sugu wa kijamii nchini Marekani. Wakati huo huo, Marekani inasafirisha maafa haya kwa nchi nyingine duniani kupitia kuziuzia silaha, na kusababisha tishio kubwa kwa usalama wa kijamii duniani.
Shirika la Habari la...
Takwimu za World Population Review kwa kipindi cha takriban miaka 5 Nchi za Afrika pekee zinakadiriwa kupokea 32% ya misaada ya Kifedha kutoka Marekani, 31% ni Nchi za Mashariki ya Kati na 25% katika Nchi za Asia.
Nchi 5 za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania ni kati ya Nchi 10 Barani Afrika...
Gazeti la kila siku la Ufaransa 'Le Figaro' liliripoti ya kwamba Marekani "imefanya kinyume kabisa na kile tulichofikiri wangefanya.
Paris inahofia kwamba Washington inaweza kufikia makubaliano na serikali ya kijeshi ya Niger nyuma ya Ufaransa,wasiwasi umetanda ya kwamba Kuna uwezekano wa...
Nimekaa hapa naona TBC marekani eti wametoa bilioni 70 mradi wa mazingira kuhifadhi chimpanzee wa Gombe. Namuona yule mama mzungu wa chimpanzee.
Eti ndio msaada wa Marekani. Tena balozi kasema wazi misaada yao ni kusaidia maslahi ya Marekani.
Kama kawaida ya misaada ya wamarekani hela...
Sababu kuu inaweza kuwa nini wadau? how comes mtu upo kwenye "strange land" but still you feel at home. Hata ' home sickness' hakuna!
Mimi sababu ninazo zihisi ni 2, mosi ;kwa sababu mhusika anakuwa tayari yupo Marekani kiakili (mentally) kwa muda mrefu so anapo fika Marekani physically...
Katika siku za hivi karibuni Ofisi ya uwajibikaji ya serikali ya Marekani (GAO), ilitoa ripoti iliyohusu hali ya kandarasi za benki ya dunia kati ya China na Marekani, ikionesha kuwa China inaiacha Marekani kwa mbali, kwenye kunufaika na kwenye utekelezaji wa kandarasi hizo. Hali ambayo...
Watanzania tuchangamkie fursa hizi, wakenya wasije kuwapiga bao
FaizaFoxy
USSR
Maghayo
instanbul
Pascal Mayalla
Mshana Jr
OKW BOBAN SUNZU
FRANCIS DA DON
Msanii
Mpwayungu Village
Bufa
Kaka yake shetani
UMUGHAKA
ChoiceVariable
Wakuu kuna hili swala la viza ya Marekani na Canada nadhani si la kukaliwa kimya.
Ni kweli hizo nchi zina haki na mamlaka ya kuamuwa wanavyotaka lakini waziri wetu wa foreign affairs linapotokea jambo linawakwaza hana budi kukaa kikao na Mabalozi wa hizo nchi mbili hili kuondowa changamoto...