marekani

  1. JamiiForums Tanzania Baraza la vita la Israel karibu kusambaratika. Gantz aenda Marekani kibabe kumshtaki Netanyahu

    Mpinzani mkubwa wa waziri mkuu wa Israel Beny Gantz ameondoka Israel ghafla na bila ruhusua ya Netanyahu kwenda Marekani kukutana na viongozi wa nchi hiyo kuzungumzia vita kati ya nchi yao na Hamas wa Palestina. Safari hiyo imemuudhi sana Netanyahu kwani alimtaka asiende huko na akaondoka kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mahakama ya upeo ya Marekani yaamua Donald Trump hawezi kuondolewa kwenye sanduku la kura jimbo la Colorado!

    He has been restored on the ballot for president in the state after the court rejected claims he was accountable for the Capitol riots in 2021. On his social media platform after the ruling, Trump wrote: "BIG WIN FOR AMERICA!!!" Trump is the frontrunner for the Republican nomination to...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani imetoka hadharani kuutaka Mradi wa gesi wa Kusini? Kwanini wanatishia kwamba tukizubaa hakuna mwekezaji atajitokeza tena?

    Majasusi wa Marekani wameanza kutumia vyombo vya habari kuitisha Tanzania kuhusu Mradi mkubwa gesi huko Kusini. Makampuni haya makubwa yanalazimisha tuanze utekelezaji wakati huo kama kawaida sisi inaonekana tulikwenda kuwaita ila tulikuwa hatuajajiandaa. Wao wamefika na baada ya kuona...
  4. JamiiForums Tanzania M23 ni private mercenaries wa Marekani na Ulaya. Wazungu wako miaka 100 mbele

    Uzi huu upo kitechnologia zaidi kuliko M23 yenyewe! Wakati dunia inaamuka kuanza kutumia majeshi binafsi nchi za ulaya na USA ziko miaka 100 mbele yetu wakati huo Nchi za africa ziko karne mbili nyuma bado zinadanganywa na Western democracy, Human right, UN na rule of law,I CJ court. Kifupi...
  5. JamiiForums Tanzania Jordan na Marekani waambiwa wasifanye utani na maisha ya watu. Wadondosha vifurushi vichache vya chakula bila maji

    Mashirika kadhaa ya misaada na wanasiasa wamezibeza juhudi za Marekani na ufalme wa Jordan za kudondosha vyakula kwenye jimbo la Gaza kama ni mchezo usiopendeza kipindi hiki watu wanakufa njaa jimboni humo. Seneta wa Marekani,Jeff Merkley ameuambia utawala wa raisi Biden ikiwa kweli wamekusudia...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China yapendekeza ukarabati wa reli ya TAZARA wenye thamani ya dola za Marekani bilioni moja

    Katika hali ya kufurahisha na kufufua matumaini, hivi karibuni balozi wa China nchini Zambia Bw. Du Xiaohui alimwambia waziri wa uchukuzi wa Zambia Bw. Frank Tayali, kuwa serikali ya China inapanga kutumia dola bilioni 1 za kimarekani kuifanyia ukarabati reli ya TAZARA, inayounganisha eneo la...
  7. JamiiForums Tanzania Peter Kupaza na mauaji ya Mwivano Mwambashi, nini ilikuwa hatma ya kesi hii?

    Mwishoni mwa miaka ya 90 kulitokea kesi ya mauaji huko Baraboo Wisconsin iliyomuhusu Peter Kupaza ambaye alituhumiwa kumuua kisha kumchuna ngozi mpwa wake Mwinvano Mwambashi na baadae kuutupa mwili huo katika mto. Bahati mbaya sikuweza kupata hatma ya kesi hii baada ya mtuhumiwa kukata rufaa...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani yaanza mazoezi yake makubwa zaidi ya kijeshi Afrika Mashariki

    Mazoezi ya kijeshi yanayoongozwa na Marekani kwa jina "Justified Accord" yanaanza nchini Kenya Jumatatu, huku zaidi ya mataifa 20 yakishiriki katika tukio ambalo limetajwa kuwa kubwa zaidi la aina yake katika Afrika Mashariki. Zoezi hilo la siku 11, ambalo litakamilika Alhamisi ijayo, linalenga...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Maisha ya magereza ya Tanzania ni kama jela za Marekani?

    Maisha ya magereza wengi tumezoea kuyaona kwenye muvi na miziki hasa ya Kimarekani. Magereza ya huko kuna ubabe uliokithiri, magenge na kubakana kwa sana. Kwa hapa Tanzania haya mambo nayo yapo?
  10. JamiiForums Tanzania Afisa wa jeshi wa Marekani asema mbona Houth wanatushangaza.Hatujajua wana nini.

    Maafisa katika serikali ya raisi Biden wameendelea kukwaruzana kuhusu mashambulizi yanayoongezeka ya Houth na kuleta madhara japo jeshi la Marekani limeshatumia nguvu kubwa kuwapiga. Naibu katibu muhtasi wa Pentagon,bi Sabrina Singh amesema Houth wanaonekana kuwa na hazina kubwa ya silaha kuliko...
  11. JamiiForums Tanzania Yemen chini ya Houth yataja mikakati yake ya kupigana na Marekani kwa muda mrefu

    Marekani haikujua kuwa wamechokoza adui ambaye anaweza akawaletea kusalimu amri kwa mara nyengine kama ilivyotokea kule Vietnam na Afghanistan. Wapiganaji wa Houth wamesema wana mikakati endelevu ya kupigana na Marekani mpaka pale Israel itakapoacha uadui na Palestina. Mikakati iliyotajwa na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yaikataza isiwape silaha Urusi lakini yeye anaipa Ukraine na Israel

    Ukiskia duniani kuna maajabu ndio haya. Marekani anapiga kura ya turufu UNO dhidi ya Ukrain au Palestina akipiga China au Russia America anakasirika Anasambaza silaha akisambza mwengine kosa. Haya maajabu ya mwaka. Yanatakiwa yawe ktk vitabu vya maajabu ya dunia
  13. JamiiForums Tanzania Katavi: Madaktari Bingwa 18 kutoka Marekani kutua Hospitali ya Tanganyika

    Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi, Dkt. Alex Mrema amesema wanatarajia kupokea timu ya Madaktari Bingwa 18 kutoka Nchini Marekani kwa ajili ya kutoa huduma ya matibabu ya upasuaji ambapo itafanyika bila malipo (bure). Madaktari hao wanatarajia kufika tarehe...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani aliacha kuingilia ugomvi na vita ambazo hazimuhusu baada ya kupewa funzo na Somalia

    Baada ya kujikuta kabolonga Somalia mwaka 1993 kuingilia vita za wenyewe kwa wenyewe basi ilitungwa sheria ambayo inatumika mpaka leo ambayo hata ukiwa swahiba wake hata weza kuingilia ila kukupa msaada tu. hata kipindi cha Rwanda iliweza kumaliza ila kutokana sheria iliyopitishwa iliacha ilo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mashambulio ya anga yanayoongozwa na Marekani dhidi ya Houthi hayawezi kumaliza mgogoro katika Bahari Nyekundu

    Marekani na Uingereza zimefanya mashambulio mfululizo ya anga dhidi ya maeneo kadhaa yaliyolengwa ya kundi la Houthi la nchini Yemen hivi karibuni, lakini kundi hilo linadai kuwa, halijayumbishwa na mashambulio hayo na kuahidi kulipiza kisasi. Wachambuzi wanasema, mashambulio hayo ya kijeshi...
  16. JamiiForums Tanzania Fursa ya kwenda kufundisha Kiswahili Marekani

    Habari wana jamvi, Serikali ya Marekani kwa mara nyingine tena imetoa fursa kwa watanzania kwenda kufundisha lugha ya kiswahili nchini Marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja, ukipata nafasi hii basi utaenda kufundisha katika chuo kikuu, Hii ni njia nzuri kwa wale wanaopenda kutoka nje ya...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani hakuna Rais daktari, CPT, Engineer wala Advocate? Kwanini hawapendi kusoma?

    Marekani ambayo kabla kupata uhuru mwaka 1776 , ilitawaliwana Uingereza na wakapata Rais wa kwanza George Washington. Tangu wapate uhuru, haijawahi kutokea Rais yeyote , awe msomi wa chuo, daktari wa hospitali[MD] au wa falsafa phD,au mjuzi wa hesabu [CPA] ambaye amewahi kujinasibu na prefix ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi huko Marekani hawana misosi mingine zaidi ya mikate na jamii ya vyakula vya ngano?

    Nina safari ya kama week mbili huko Boston marekani, nimejaribu kucheki vyakula vyao huko naona wanakula vyakula vyenye ngano zaidi na mimi sio mpenzi wa vyakula vyenye jamii ya ngano. So nauliza wenye experiences za huko, hakuna misosi mingine zaidi ya hiyo kama ugali,wali etc?
  19. JamiiForums Tanzania Marekani yaanza kulalamika vita vyake na Houth. Yasema haijawahi kupigana vita kama hivyo tangu vita vya pili vya dunia

    Mambo yamekuwa mambo ! Vice Adm. Brad Cooper wa jeshi la wanamaji wa Marekani amesema nchi yake haijawahi kupigana vita vikali vya majini tangu vita vya pili vya dunia kama mwaka huu na wanamgambo wa Houth. Amesema wakirusha kitu na wao wanarushiwa Maneno hayo yamekuja wakati ambapo vikosi vya...
  20. JamiiForums Tanzania Iran yazindua mtambo wake wa ulinzi wa anga mfano wa Iron dome na Patriot. Saudia wazidi kununua kachara kutoka Marekani na kukaribisha wanenguaji

    Leo sitaki niseme mengi.Mtajionea wenyewe hapo chini Iran unveils air defence systems as Middle East tensions soar Saudi Arabia signs $3.2B deal for South Korean air defense systems Saudi Arabian GP 2024: 3 international music stars will perform
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…