marekani

  1. Je, mwanzo wa mwisho wa Marekani umewadia?

    Historia inaonyesha kuwa madola koloni yalipokaribia kudondoka, yaliingia vitani. Kadhalika Marekani iko kwenye kadhia hii. Imekuwa ikisaidia vita Ukraine na sasa Mashariki ya Kati. Inamwaga mapesa na silaha ikidhani itashinda. Je, huu siyo mwanzo wa mwisho wa Marekani?
  2. N

    Marekani ndio alikuwa anatakiwa kiingilia hii show ya israel na palestina sasa tujianda na WW3 soon.

    Habari zenu. Mara kwa mara wamekuwa wakigombana ila kwa klichotokea sasa ni dhahiri tunaenda kushuhudia vita vya dunia vya 3,na nauliza je Tanzania tutachangamana na mataifa gani??au tutabaki kwenye ile sera yetu kuwa hatuchangamani na taifa lolote!. Basi ikiwa ndo hivyo tunaenda kupata...
  3. L

    Marekani yatafakari kuongeza vikwazo zaidi vya Chip dhidi ya China

    Kampuni kubwa ya mawasiliano ya China, Huawei, imezindua mfululizo mpya wa simu zake za kisasa za Huawei Mate 60 Pro, hatua ambayo imeendelea kuleta mshutako mkubwa nchini Marekani, ambako wabunge wenye siasa kali wanapendekeza kuongeza vikwazo vya teknolojia za chip na uwekezaji. Ingawa bado...
  4. L

    Kuongezeka kwa mvutano kati ya India na Canada kunaonyesha unafiki wa Marekani wa wenzi unaojali faida

    Mwezi Juni mwaka huu, kiongozi maarufu wa jamii ya Masingasinga Hardeep Singh Nijjar ambaye pia ni raia wa Canada, aliuliwa kwa kupigwa risasi nchini humo. Hivi karibuni, Canada imeituhumu India kuhusika na mauaji hayo, na kumfukuza nchini humo balozi wa India. Katika kujibu hatua hiyo, India...
  5. L

    Italia itaanguka katika mtego wa Marekani wa kuleta utengano katika Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja?

    Hivi karibuni, Waziri wa Ulinzi wa Italia Guido Crosetto alisema, nchi hiyo ilfanya uamuzi wa ghafla na usio na mantiki wa kujiunga na Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI), miaka minne iliyopita, na kudai kuwa, katika kipindi chote hicho, hakuna kilichofanyika kuongeza biashara ya nje ya...
  6. Republical wafikiria kumuomba Trump agombee nafasi ya Spika wa Bunge la Marekani

    Baada ya aliyekua Spika wa bunge (House) la Marekani kuondolewa, Wabunge wa Bunge la Marekani, ambalo wabunge (Representatives) wake wengi ni kutoka Chama cha Republican, wamependekeza waongee na Donald Trump aweze kuwa Spika wa bunge hilio. Wabunge hao waliweza kufikisha ombi hilo kwa Trump...
  7. Ubalozi wa Marekani wasema wapo na JF kwenye kukuza Citizen Journalism

    Ubalozi wa Marekani ni wageni kwenye sherehe ya kutoa tuzo za Stories of Change, Balozi Battle ametoa hotuba nzuri.
  8. Marekani yaipa Ukraine risasi milioni moja walizonyang'anya Iran

    Hizi risasi zitasaidia pakubwa kwenye mapambano dhidi ya mvamizi Urusi. ============== Ukraine has been given the opportunity to replenish military supplies with confiscated ammunition from Iran thanks to a US operation last December. The move comes amid warnings from Ukraine's Western allies...
  9. Majamaa walioingilia Mitikasi ya watu na hawakuachwa Salama

    Basi tu, tuseme hii dunia kuna watu wanapanga mipango yao lakini kuna watu pia wanapangua mipango hiyo yote na kufanya mambo yao. Kuna mambo huwa hutakiwi kuyaingilia hata kidogo. Hata kama utakuwa rais, kuna system huwa unaikuta, unatakiwa kuiacha kama ilivyo kwa kuwa ni maslahi ya watu...
  10. Spika wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy ang'olewa madarakani

    Just in: Spika wa Bunge la Marekani amengo'lewa madarakani na kuweka historia kuwa spika wa kwanza wa bunge la marekani kung'olewa na wabunge. Moja ya chanzo cha Kevin McCarthy kuondolewa kwenye uspika ni baadhi ya wabunge wenzake wa Republic kumuona kama msaliti baada ya kushirikiana na...
  11. Tanzania na Marekani Kushirikiana Katika Eneo la Ufadhili wa Michezo

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amafanya mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Michael Battle yaliyojikita katika kuendeleza Sekta za wizara hiyo. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika leo Oktoba 3, 2023 jijini Dar es Salaam, Mhe. Dkt. Ndumbaro...
  12. Mkutano mkubwa wa siri wa NATO unafanyika Poland bila ya uwepo wa Marekani

    Jijini Lublin nchini Poland kuna mkutano mzito unaoendelea wa nchi wanachama wa jumuiya ya NATO, lakini cha kushangaza Kiranja wao Marekani hajaalikwa katika mkutano huo. Baadhi ya maswali ni mengi ninayojiuliza: 1. Thima kuu ya Mkutano huo ni nini hasa? 2. Ni kwa nini Marekani hajaalikwa? 3...
  13. M

    Ukisikia kufuru ya pesa ndiyo hiyo: Cristiano Ronaldo analipwa Dola za Marekani $6.78 kwa sekunde kama mshahara wake!!

    Mshahara wa Ronaldo ni kama ifuatavyo: Ronaldo's mind-boggling new salary equates to: Monthly: $17.75m Weekly: $4.43m Daily: $633,928 Hourly: $24,413 Per minute: $406.88 Per second: $6.78 Kwa pesa za Tanzania (leo $1=Tsh 2500/=): Kwa mwezi: 44,375,000,000/= (Tsh bilioni 44.375) Kwa wiki...
  14. Ushawahi jiuliza kwanini ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika WW2 ni maarufu zaidi kuliko ushindi wa Urusi kwa Ujerumani?

    ChartGPT anasema hivi Ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia unaweza kuonekana kuwa maarufu zaidi kutokana na sababu kadhaa: 1. Mabomu ya Atomiki: Shambulio la Marekani kwa kutumia mabomu ya atomiki juu ya Hiroshima na Nagasaki lilikuwa tukio la kipekee katika...
  15. Nataka kuanzisha umissionari wa kupeleka Ukristo kutoka Afrika kwenda Ulaya na Marekani, naombeni mawazo

    Wakuu nimegundua Ulaya na Marekani kuna upagani mwingi sana. Wala hakuna ukristo kule ni zuga tu. Sina wasiwasi na uarabuni na china, Maana huko kwa utafiti wangu kuna wakristo kificho wengi sana ila wanaingia misikitini na kuswali kwa ajili tu ya usalama wao. Nimefikilia hawa wazungu kabla...
  16. Hii ndio Urusi, Ulaya na Marekani wanaiogopa (Miundombinu, Utamaduni, Viwanda, Uchumi na Maliasili)

    BWANA YESU ASIFIWE Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake. NImefanya utafiti wangu kwa miaka mitano kuhusu nchi ya Urusi. Leo hii nitawaletea hali halisi ya nchi hii...
  17. L

    Marekani yashindwa kuelewa mafanikio ya kiteknolojia ya nchini China

    Linapokuja suala la maendeleo mapya ya utengenezaji wa chips nchini China, vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti hivi karibuni kuwa, haitakuwa ajabu kwa Marekani kuongeza nguvu ya vikwazo na kuimarisha hatua za kupunguza kasi ya ueneaji wake, lakini, daima biashara italazimisha ubunifu wa...
  18. Je, ni kweli China inaongoza kuhusu Teknolojia na Uvumbuzi? - Ulaya na Marekani wamekubali?

    KWA JINA LA BABA, LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU - AMEN. NImekuwa nikifanya utafiti wangu binafsi kuhusu masuala ya Technolojia hapa Duniani, nimegundua kuwa dunia yote sasa imetupia macho yake huko china. Kwa mujibu wa takwimu zilizotoliewa na theglobaleconomy.com za mwaka 2021 zinaeleza kuwa...
  19. Ijue Miji, Majiji na Miundombinu ya China - Je, Ulaya na Marekani imefunikwa?

    TUMSIFU YESU KRISTU. Kumekuwa na watu wengi kubeza, kuzomea na kubwatuka maneno ya hapa na pale kuhusu china. Lakini leo nimeamua kuwapitisha katika miji na majiji yaliyopo china huku tukilinganisha na miji iliyopo Ulaya na Marekani. China kwa sasa inajenga majiji yake na miji yake kisasa...
  20. Ugumu wa maisha unawafanya wa Marekani wasimuelewe Biden na Bidenomics yake

    Sembe imepanda bei Mafuta yamepanda bei Bei ya pango iko juu ---- WASHINGTON − Linda Muñoz is scared about the economy. She dipped into her emergency savings this year. And she doesn't believe President Joe Biden feels her pain. The retired teacher from Channelview, Texas, worries about paying...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…