Marekani: Bilionea mwingine apanga safari ya kuchunguza Mabaki ya Titanic

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,054
1,700
Larry Connor ambaye ni Bilionea Mmiliki wa Kampuni za Uuzaji wa Mali za Kifahari zisizohidhishika (Luxury Real Estate) na rafiki yake Patrick Lahey aliye Mtaalamu wa uchunguzi wa kina cha bahari wanapanga safari ya Manowari (Submarine) ili kuchunguza mabaki ya Meli ya Titanic

Hii ni karibu Mwaka mmoja baada ya ajali ya Submarine iliyotengenezwa na Kampuni ya OceanGate kulipuka na kuua Watalii Watano (akiwemo Afisa Mtendaji Mkuu wa OceanGate, Stockton Rush) waliokuwa katika Safari ya kuelekea kwenye Mabaki ya Titanic Juni 2023

Wawili hao wanapanga kutumia chombo kiitwacho Triton 4000/2 Abyssal Explorer (namba “4000” inahusu kina cha Mita ambacho chombo hicho kinaweza kushuka chini ya Bahari kwa usalama)

Akiongelea safari hiyo, Connor amesema “Nataka kuwaonyesha watu duniani kote kwamba ingawa bahari ina nguvu kubwa, inaweza kuwa ya kushangaza na kufurahisha na kubadilisha maisha kwa namna nzuri ikiwa utaenda kwa njia sahihi"

....,...........

US billionaire plans submersible trip

Triton Submarines The Triton 4000/2 Abyssal Explorer which two explorers plan to take to the Titanic wreckageTriton Submarines

The Triton 4000/2 Abyssal Explorer, which two explorers plan to take to the Titanic wreckage

A US luxury real estate billionaire and a deep-sea explorer are planning to travel in a submersible to explore the Titanic.

Ohio tycoon and adventurer Larry Connor and Patrick Lahey, co-founder of Triton Submarines, say they want to take a sub to a depth of around 3,800m (12,467ft) to see the shipwreck in the North Atlantic Ocean.

The private submersible industry was rocked after five people were killed when a vessel built by OceanGate imploded en route to the Titanic last year.

A spokesman for Mr Connor’s company said on Tuesday that the proposed voyage would only take place once a vessel was fully certified by a marine organisation.

There is no timeframe for the planned expedition.

The pair plan to use a sub dubbed the Triton 4000/2 Abyssal Explorer – the “4000” refers to the depth in metres to which the craft can safely be deployed.

The Titan submarine built by OceanGate was constructed of carbon fibre and was only certified to 1,300m, far short of the depths of the ocean floor where the Titanic wreck lay.

In June 2023 the vessel imploded while on a trip to the Titanic wreckage. OceanGate's chief executive Stockton Rush, 61, died on board alongside four other passengers: British-Pakistani businessman Shahzada Dawood, 48, and his son Suleman, 19, British businessman Hamish Harding, 58, and Paul-Henry Nargeolet, 77, a former French navy diver.

Mr Rush was known for pushing the envelope when it came to safety, and he had ignored several warnings from advisers about potential issues with the Titan. Investigations by US and Canadian authorities are ongoing.

Mr Connor told the Wall Street Journal, which first reported on the proposed Triton expedition: “I want to show people worldwide that while the ocean is extremely powerful, it can be wonderful and enjoyable and really kind of life-changing if you go about it the right way.”

The private submersible industry suffered after the Titan disaster, and the pair hope that a successful voyage will reignite interest.

OceanGate suspended operations and other firms reported cancelled orders and declining sales after the Titan implosion. Mr Lahey told the newspaper: “This tragedy had a chilling effect on people’s interest in these vehicles.”

Getty A rocket launch - Mr Connor also paid to fly to the International Space Station in 2022Getty

Mr Connor also paid to fly to the International Space Station in 2022

Mr Lahey co-founded Triton Submarines in 2008. Mr Connor is head of The Connor Group, a real estate investment firm based near Dayton, Ohio.

In 2021, the duo ventured together in a submersible to the Challenger Deep and the Sirena Deep in the Mariana Trench. At nearly 36,000ft, the trench is the deepest point on the Earth’s seabed.

Triton Submarines has been contacted for comment.

Source: BBC
 
Watu wengi wanajiuliza "kwa nini bilionea huyu anaamua kusafiri kwenda chini ya kina cha bahari wakati ni hatari sana kwa usalama?

Bilionea Larry Connor anaamua kufanya safari hii chini ya bahari licha ya hatari zinazojulikana kwa sababu kadhaa:

1. Uchunguzi wa Kisayansi na Teknolojia:

Safari kama hizi zinaweza kuchangia katika maendeleo ya kisayansi na teknolojia, hususan katika utafiti wa kina cha bahari na mazingira yake. Kwa kutumia manowari yenye teknolojia ya hali ya juu, Connor na timu yake wanaweza kukusanya data na habari mpya kuhusu bahari.

2. Hamasa na Uvumbuzi:

Connor anaweza kuwa na hamasa binafsi ya kugundua na kuchunguza maeneo yasiyofikiwa na wengi. Kufika eneo la mabaki ya Titanic ni jambo lenye hamasa kubwa na linaweza kutoa uvumbuzi mpya kuhusu ajali hiyo ya kihistoria.

3. Uthibitisho wa Uwezo wa Teknolojia:

Kwa kufanya safari hii, Connor anaweza kuthibitisha na kuonyesha kuwa teknolojia mpya ya manowari ni salama na yenye uwezo wa kufikia maeneo ambayo zamani yalikuwa hayawezi kufikiwa. Hii inaweza kuwa na manufaa kwa miradi ya baadaye ya uchunguzi wa bahari.

4. Kushirikisha Dunia:

Kama alivyoeleza, Connor anataka kuonyesha dunia uzuri na maajabu ya bahari. Safari hii inaweza kusaidia kuongeza uelewa na hamasa kuhusu ulinzi na utunzaji wa mazingira ya baharini.

5. Utalii wa Kisayansi na Kimazingira:

Matokeo ya safari kama hizi yanaweza kuhamasisha maendeleo ya utalii wa kisayansi na kimazingira, ambapo watu binafsi na taasisi mbalimbali wanaweza kushiriki katika uchunguzi wa bahari kwa njia salama na yenye manufaa.

6. Sababu za kibiashara
ikumbukwe pia kama atafanikiwa kusafiri kwenda chini ya bahari na kurudi salama, hii inaweza kusaidia kuuza manowari nyingi za aina hiyo zinazotengenezwa na kampuni yake ya Triton Submarines.

Credit. Dr Katula Mathias
 
Ni jambo jema, maana ikifanikiwa hii tafiti itasaidia pia kwengine na mambo mengine zaidi kuyafahamu
 
Eehh.. Kwamba uno gani ukipiga utapata mtoto wa kiume, uno gani watoto mapacha..


Subiri soon nakuja na matokeo ya utafiti wangu nilioufanya kwa zaidi ya miaka 20🤣😂
Usifanye majaribio ya kuzaa😁

Piga tu kawaiida afu ulete ripoti zingine kama totoz za Kanda flan zipoje
 
Wakirudi salama basi nitaamini uchawi umekwisha,ila likitokea lililotokea kwa wenzake basi naenda kumtafuta mganga na mchawi wa familia yetu🤣🤣
 
Back
Top Bottom