marekani

  1. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yaunda makombora ya kisasa yanayoweza kuangamiza silaha za nyuklia hata chini ya ardhi

    Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha kwa DailyMail.com kwamba makombora hayo "yako tayari kulenga shabaha yoyote ya kijeshi, pamoja na...
  2. JamiiForums Tanzania Vikwazo dhidi ya Israel vinavyowekwa na Marekani vinatuma ujumbe gani kwa mashabiki wa vita ya Gaza?

    Kwa mara ya kwanza tangu kuundwa kwa Taifa la Israel mnamo 1948, serikali ya Marekani ambayo imekuwa mshirika mkuu wa siasa na harakati za Israel pale Mashariki ya Kati, imeeleza kusudio lake la kuweka vikwazo kwa kikosi maalumu cha Jeshi la IDF kilichofanya oparesheni zake upande wa ukingo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani lapitisha muswada wa kuifungia TikTok

    Hivi majuzi Baraza la Wawakilishi lilipitisha mswada ambao unaweza kusababisha kupigwa marufuku kwa TikTok nchini Marekani. Sheria inamtaka ByteDance, mmiliki wa China wa TikTok, kuuza maslahi yake kwa kampuni ya Marekani ili kuepuka marufuku. Mswada huo sasa umehamia kwenye Seneti, ambako...
  4. JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani laidhinisha kitita cha $ billion 60 kwa Ukraine

    Baada ya mkwamo wa muda mrefu uliochangiwa na baadhi ya wabunge wa Marekani wenye mahaba na Putin hatimaye bunge la Marekani limepitisha kifurushi kipya cha $billion 60 kwa vita vya Ukraine. Msaada huu mpya kwa Ukraine unajiri baada ya mwaka mmoja na nusu tangu bunge lililokuwa likiongozwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani yazidi kubembeleza ili ibaki Niger

    Watawala wapya wa Niger wamefuta mahusiano na taifa la Ufaransa ambalo ndilo lilikuwa mkoloni wao. Ufaransa baada ya kusita sita hatimae ilishindwa hoja na ikaamua kuongoka. Marekani nayo imetakiwa ifanye kama hivyo lakini imekuwa king'anng'anizi ikidai kuwa inalinda maeneo ya jangwa la Sahel...
  6. JamiiForums Tanzania Operation NORTHWOOD: CIA kufanya ugaidi ndani ya Marekani

    Operation Northwood Ni false flag operation ya kijeshi iliyopangwa na wizara ya ulinzi ya marekani kwa kushirikiana na CIA mwaka 1962 kipindi cha Vita baridi ili kupata sababu ya kuivamia kijeshi nchi ya cuba. Lengo kuu la operation Hii ilkua kutengeneza mfulurizo wa matukio ya mashambulizi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran. Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran isisambaratishwe, lile taifa ni la kigaidi kwamba bora likabaki kama taifa kuliko kuacha magaidi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Marekani inavyojimaliza yenyewe,na haizuiliki kwani si mipango yake tena

    Baada ya kuitawala dunia kiuchumi na kijeshi kwa miongo kadhaa,sasa Marekani inaelekea kudondokea pua yake na hakuna wa kuizuia. Katika kipindi cha miaka kama 24 imeshiriki vita vingi vilivyokuwa na malengo mapana ya kuzipindua na kuzitawala nchi kadhaa na nyingi zao ni za waislamu. Hakuna hata...
  9. JamiiForums Tanzania Israel imekubali 3% ya makombora ya Iran yalipiga kambi mbili za jeshi. Yaliyodunguliwa sasa ni 97% tu

    Kilichoipata Israel kutokana na kipigo cha Iran ni siri kubwa japo kidogo kidogo ukweli unaanza kujitokeza. Marekani imesema makombora 9 ya ballistic hayakushikika na yalitua kwenye kambi mbili nyeti za jeshi la Isreael. Kati ya hayo makombora matano yalipiga kambi ya Nevatim kwenye jangwa la...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji kwenye ubalozi wa Marekani

    Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa. Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu ya kuhifadhi mkoba au simu. Sasa sijui wanategemea ukienda huko usiende na pochi? Na je simu...
  11. JamiiForums Tanzania Israel imeshambuliwa kwa aibu na uzito wa kujibu ndio huu hapa

    Kutokana na taarifa za ukubwa wa jeshi la Israel na umiliki wa silaha za kisasa,haikutarajiwa kwamba kungetokea nchi yoyote ile ikajiamini kuirushia makombora kulenga maeneo yake muhimu hasa ikizingatiwa kuwa iliwahi kuyashinda mataifa kadhaa ya kiarabu mwaka 1967 katika vita maarufu vya siku 7...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nilishangaa kusikia Rais wa Marekani hukatwa gharama za chakula na mavazi kwenye mshahara wake

    Sikuawahi kulijua hili. Kuna ndugu yangu anaishi USA 🇺🇸 kaniambia Rais wa nchi hiyo hahudumiwi bure labda ulinzi na usafiri na mambo mengine machache. Chakula na mavazi Rais hujinunulia kwa mshahara wake au kuchukua kwa bili na mwisho wa mwezi hukatwa na muuzaji pia hukatwa kodi.
  13. JamiiForums Tanzania Biden: Marekani haitashiriki katika Mgogoro kama Israel italipiza kisasi kwa Iran

    Rais Joe Biden amemwambia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kwamba Marekani haitashiriki katika hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, ambayo ni chaguo la Baraza la vita la Israel baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani na makombora usiku wa Aprili 13, 2024 Tishio la vita vya wazi...
  14. JamiiForums Tanzania Pluribus Anum, coin ya dollar ya Marekani yenye vituko vingi, je nini sababu yake kuweka emage hizi?

    Duniani kuna mambo Sana, watu wengi wakiangalia mambo yanavyokwenda sasa hivi huwa wanaamini kuwa dunia sasa imekwisha. Sasa Mimi ngoja niwaeleze dunia ndio Kwanza inaanza, utakwisha wewe tu. Je unazijuwa sarafu za dollar ya Marekani prulibus unum ambayo ndio Motto wa Marekani kwenye National...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanariadha Gabriel Gerald Geay kukiwasha kesho Boston Marathon, Marekani

    Mwanariadha wa Kimatataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay anatarajiwa kukimbia kesho mashindano Makubwa ya Boston Marathon nchini Marekani, tukukumbuke Mwaka Jana alikimbia na kuwa mshindi wa pili 2:06:04 huku Evans Chebet kutoka Kenya akimshinda kwa 2:05:54. Kesho, Tena wanaingia dimbani...
  16. JamiiForums Tanzania Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

    Wanaukumbi. Mambo yanazidi kuwa mazito Israel walikuwa wanadhani Iran ni kama Gaza. Vyombo vya Habari vya Israeli: Kwa hatua hii, Wairani walituma ujumbe wazi kwa Amerika. Ukiingilia kati kwa niaba ya Israeli, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa yafanyika Niger kuitaka Marekani na mataifa mengine kuondoka Niger

    Idadi kubwa ya watu walijitokeza katika mji wa Yamai, mji mkuu wa Jamhuri ya Niger, wakitaka wanajeshi wa Marekani na nchi nyingine kuondoka nchini humo. Niger tayari imefuta makubaliano ya kijeshi na Marekani mwezi uliopita, na hii inakuja miezi michache baada ya mamlaka ya kijeshi ya nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani yasogeza meli za kivita na kuziweka mkao wa tayari kuichakaza Iran

    Iran imetafutwa siku nyingi na raundi hii naona inaingia yenyewe kichwa kichwa kwenye ndoano..... The U.S. rushed warships into position to protect Israel and American forces in the region, hoping to head off a direct attack from Iran on Israel that could come as soon as this weekend. The...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani: Mchina alalamika kupigwa na polisi bila sababu

    Mchina huyo Amewaambia waandishi wa habari was gazeti la Washington post kwamba "Nilisimamishwa na polisi, nikaulizwa jina langu, ghafla nikashngaa naanza kushambuliwa na polisi hao bila kuambiwa kosa langu" "nmepoteza imani yote niliyokua nayo kwa hawa polisi wetu" aliongezea Mchina uyo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Marekani yasema kipigo kutokea Iran ni suala la muda tu

    1. Zipo jitihada nyingi za kheri kuzuia Shari. Ugumu uliopo uko wazi: 2. Hata hivyo wanayo kheri kuu walio wapatanishi na wenye kuipigania amani pasipo kukoma: 3. Kumbe kipi kilicho bora zaidi, binadamu apitishwapo kwenye lindi la mauti? 4. Hadi pale Iran atakapothibisha vinginevyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…