marekani

  1. Spika wa Bunge la Marekani: Biden hafai hata kupewa muda uliobakia

    Spika wa bunge la Marekani anasema watapiga kura kumuondoa Rais mgonjwa kwa mujibu wa katiba baada ya chama chake kumuona ni mgonjwa inamaanisha kuwa hata kumalizia muda sio sahihi Mwanadamu haridhiki kabisa walimtaka asigombee amalizie ingwe yake na amekubali sasa hawataki hata kumalizia...
  2. Joe Biden amuunga mkono Kamala Harris kuwania Urais, Marekani kupata Rais wa kwanza mwanamke?

    Hesabu za kisiasa zimechezwa na Rais aliyetakiwa kutetea kiti chake amejiengua na badala yake amemuunga mkono makamu wake, Kamala Harris kuchukua nafasi yake ya kuwania kiti cha Urais kupitia chama cha Democrats! Atatoboa kwenye chama? Atauweza mfupa uliomshinda Hillary Clinton? Pia, soma=>...
  3. Haya Watanzania mlioko huko Marekani tunaomba Maoni yenu je, nyie mnataka nani kati ya Biden au Trump awe Rais huko?

    GENTAMYCINE nahitaji zaidi Critical Analysis zenu juu ya hili kwani nijuavyo Rais wa Marekani pia ni Rais wa Dunia yote.
  4. Bunduki za Marekani zatishia usalama wa nchi hiyo na dunia nzima

    Rais wa zamani wa Marekani, ambaye pia ni mgombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu nchini humo, Donald Trump, hivi karibuni alipigwa risasi na kujeruhiwa huko Pennsylvania alipokuwa akihutubia katika kampeni ya uchaguzi, jambo ambalo kwa mara nyingine tena...
  5. Serikali ya Marekani ichukue hatua Kali kwa viongozi wa Iran kwa kuharibu kuua wanasiasa na viongozi wa Marekani

    Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya...
  6. Iran yakanusha kuhusika na jaribio la Mauaji ya Donald Trump

    Serikali ya Iran imekanusha madai ya Idara za Usalama za Marekani kuwa nchi hiyo ilihusika na jaribio la mauaji dhidi ya Rais wa zamani na Mgombea Urais wa Republican, Donald Trump ambaye alinusurika katika shambulio la risasi iliyomjeruhi Sikio Julai 13, 2024. Inaelezwa kuhusishwa kwa Iran...
  7. L

    Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Tuna mengi sana ya kujifunza katika tukio la kupigwa Risasi na Kujeruhiwa kwa Mheshimiwa Donald Trump,Rais Mstaafu wa Marekani na mgombea Urais kupitia chama cha Republican mwishoni mwa Mwaka huu. Imeonyesha namna wenzetu walivyo wazalendo kwa nchi zao,kukomaa...
  8. Kampuni ya kuzuia virusi ya Urusi Kaspersky yajiondoa Marekani baada ya kupigwa marufuku

    Kampuni kubwa ya kuzuia Virusi ya Kaspersky Labs ambayo makao makuu yake yapo Nchini Urusi inajiandaa kuondoka Marekani baada ya utawala wa Rais Joe Biden kupiga marufuku uuzaji na usambazaji wa programu za kampuni hiyo. Kaspersky ambayo imefanya kazi Marekani kwa zaidi ya Miaka 20, imesema...
  9. Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

    Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo. Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa...
  10. Walinzi walivyoitikia tukio la kupigwa risasi Rais Ronald Reagan wa Marekani, linganisha na tukio la Trump

    Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
  11. Kwa wagombea hawa Marekani inaelekea kuwa Somalia

    Zaidi ya miaka 30, nchi ya Somalia imekuwa ni uwanja wa mapambano wa makundi yanayopingana na hakuna mwelekeo wa kupata suluhu karibuni. Ilikuwa ni nchi yenye kheri nyingi mpaka pale walipomkufuru Mungu na kufanya kiburi kwa neema walizokuwa nazo. Marekani nayo, kwa takriban miaka 50, imekuwa...
  12. X

    China-US (TechWar): China limekuwa taifa la kwanza duniani kufanikiwa majaribio ya 6G, likiitangulia Marekani na washirika wake

    Kwenye mbio za nani atatangulia kwenye teknolojia ya mawasiliano ya 6G ilikuwa ni race kati ya China na Marekani na washirika wake. China ilikuwa imeshajiwekea mkakati wa kuifanyia tafiti teknolojia ya 6G hivyo ikawa moja ya kipaumbele cha taifa kwenye mpango wa miaka 5 ulioitwa China's...
  13. Nchi 32 za Ulaya, Marekani na Canada (NATO), Australia, Japan na Korea wanapambana na Urusi

    Russia apewe maua yake mpaka sasa kaonesha ni mwanaume zaidi ya mara 1. Unapigana na Ulaya yote, US na Canada lakini bado hajatetereka zaidi anatoa ONYO kuwa yajayo hayatawafurahisha NATO. Nadhani sasa umefika wakati wa nchi za Africa na zile zisizofungamana na upande wowote kumuunga mkono...
  14. N

    Marekani na Urusi wanapigana vita ya nini wakati wanashirikiana kwenye mambo mengi tu?

    Ni wazi vita ya Russia na Ukraine ni vita ya Russia na marekani na ndo maana marekani anatoa misaada sana Ukraine nadhani ndo taifa la kwanza linaloongoza kupewa pesa nyingi ikifuatiwa na Israeli. Kwa Africa ni Nigeria ndo linaloongoza kupewa michango. Nije kwenye point yangu. Kwanini marekani...
  15. Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani. Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota

    Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee. Inawezekana mnatazama maisha yao kwenye Tv na mwisho mnapagawa na kudhani kuwa wale watu ni matajiri lakini...
  16. Sugu akiperform katika siku ya Uhuru wa Marekani ndani ya Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam

    Rapa na Mfanyabiashara Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameperform mbele ya wageni waalikwa ndani ya Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania usiku wa Julai 4, 2024 ikiwa ni kumbukumbu ya Uhuru wa Marekani.
  17. L

    Marekani kuchochea kile kinachodaiwa "udhibiti wa China wa maliasili za Afrika " kwafichua ubabe wake

    Kutokana na kuongezeka kwa changamato za mabadiliko ya tabia nchi, mahitaji ya mabadiliko ya nishati duniani yameongezeka katika miaka ya hivi karibuni, na kuonyesha umuhimu wa kimkakati wa Afrika ambayo ina asilimia 30 ya rasilimali za madini duniani. Hii imekuwa fursa muhimu kwa Afrika...
  18. Marekani yakwama kupata sampuli za Mwezi kutokana na Kifungu cha Wolf

    Hivi karibuni Chombo cha Chang'e No. 6 cha China kilifanikiwa kumaliza kazi yake ya kuchunguza Mwezi na kurejea duniani, na kuleta sampuli ya kwanza duniani ya udongo na mawe kutoka kwenye upande wa mbali wa Mwezi. Baada ya China kutangaza kuwa itashirikiana na jamii ya kimataifa kutafiti...
  19. Hizi ndiyo njia rahisi zaidi kuingia Marekani, Ulaya na Asia

    Habari wana-JF! Najua tayari kuna nyuzi kedekede kuhusu njia za kufika Marekani, Ulaya na Asia kwaajili ya kubadili upepo na kutafuta fursa mpya ila leo nitaongezea maarifa hasa kwa wale wanaojipanga kutoka nje ya mipaka ya Tanzania na Africa kwa ujumla. Nitaanza kuweka njia rahisi za kuingia...
  20. L

    Yusuphu Manji Kuzikwa Leo Saa Tisa Frorida Marekani

    Ndugu zangu Watanzania, Habari ni kuwa aliyekuwa mfanyabiashara wa kimataifa na kiongozi na mdhamini wa klabu ya Yanga anatarajiwa kuzikwa leo muda wa saa Tisa Frorida Marekani. Hiyo ni kwa mujibu wa mwanae na atazikwa pembezoni au karibu na kaburi la Baba yake. Chanzo cha habari yangu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…