marekani

  1. Nina ndoto, siku moja Ulaya, Marekani na China watakuja kuwa chini ya Afrika

    Ndiyo, Waafrika wana uwezo wa kufanikiwa kwa kiwango sawa na watu wa makabila yoyote duniani, ikiwa ni pamoja na Wachina. Akili na uwezo wa binadamu haujalimwa na rangi ya ngozi, asili, au eneo la kijiografia. Mafanikio ya kielimu, kiuchumi, na kiteknolojia hutegemea zaidi na fursa, mazingira...
  2. Trump apinga Marekani kununua umeme kwa nchi yoyote.

    Baada ya Canada kujibu vikwazo vya ushuru vilivyoweka na Trump kwa kuongeza kiasi cha ushuru katika umeme wanaoiuzia Marekani Trump amekuwa mbogo akiuliza kwa nini Marekani inanunua umeme kwa nchi yoyote na na nani alifanya hayo maamuzi!
  3. Maandamano ya kudai uhuru wa Palestina, Marekani hayatakoma pamoja na mkwara wa Trump

    Wanakumbi. Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walikusanyika katika Federal Plaza huko NYC kupinga kukamatwa kwa ICE kwa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia Mahmoud Khalil. ======================= Thousands of pro-Palestine protesters gathered at Federal Plaza in NYC...
  4. I

    Marekani yatangaza kuanza majadiliano na Congo kuhusu mpango wa uchimbaji madini ili kubadilishana na ulinzi.

    Wakuu, Marekani hivi karibuni imetangaza kwamba iko tayari kw mazungumzo kufuatia ofa ya Rais wa Congo Felix Tshekedi la kuipa Marekani madini mbalimbli ili Marekani iweze kuisadia Congo kupambana na kundi la M23 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, nchi yenye utajiri wa madini kama cobalt...
  5. Operesheni Mogadishu:Jinsi Marekani ilivyolazimika kuikimbia Somalia na Askari waliovuja damu kwenye malori

    Operesheni Mogadishu: Jinsi Marekani ilivyolazimika kuikimbia Somalia na askari waliovuja damu kwenye malori Chanzo cha picha,Getty Images Maelezo ya picha,Helikopta za Black Hawk zilitumika katika operesheni nyingi za Marekani nchini Somalia katika miaka ya 1990. Saa 4 zilizopita Jeshi la...
  6. Je, huu ni mwanzo na mwisho wa Kagame?? Marekani kuisaidia kijeshi DRC!

    Marekani na DRC zinakaribia kufikia makubaliano katika kusaini mkataba wa madini adimu, katika makubaliano, Marekani itaruhusiwa kuchimba madini huku ikitoa ulinzi dhidi ya M23! Muda utaamua! Washington considering ‘rare earths’ deal with African state – FT 8 Mar, 2025 19:36...
  7. Kwanini Taifa la Marekani limebarikiwa sana kiuchumi na kiteknolojia? Sababu hii hapa

    Marekani inajulikana duniani kote kama taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi na kiteknolojia. Moja ya sababu kuu zinazochangia mafanikio haya ni msingi imara wa Kikristo uliowekwa tangu kuanzishwa kwa taifa hilo. Ukristo umekuwa na nafasi muhimu katika kueneza maadili ya kumcha Mungu, ambayo yamekuwa...
  8. Kwanini Saudia ni kibaraka wa Marekani?

    Mgeni rasmi Trump katika nchi ya mtume Muhamad s.a.w. 1117. Umar amehadithia kuwa alimsikia Mtume akisema: "Nitawatoa Mayahudi na Manasara katika Rasi ya Arabuni hata nisibakishe isipokuwa Muislam." Muslim (rejea pia Bulugh al Maram uk 495,496 Katika mashariki ya kati kibaraka mkuu wa USA ni...
  9. B

    Marekani na Uingereza wakutana kuonesha uhusiano wao wa kijeshi unatakiwa kuimarishwa hasa kipindi hiki kigumu

    Kufuatia hali iliyopo ya mitizamo inayowekwa wazi kipindi hiki kuliko nyakati zozote, mawaziri wa ulinzi wa Marekani na Uingereza wakiongozana na viongozi wakuu wa kijeshi wakutana ili kuondoa wasiwasi kama uhusiano wao bado upo imara. Na pia hali ya kumaliza vita ya Ukraine na Russia kwa...
  10. X

    China vs U.S Trade War: China yaijibu Marekani. Imeongeza kodi katika bidhaa za Marekani na zuio la kampuni za Marekani kufanya biashara na China.

    China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies. More than half of all soybean exports from the US go to China. (60-65% of US soybean export is to China!) China imposes retaliatory tariffs on...
  11. Mshauri Mkuu wa Rais wa Marekani Donald Trump amtaka Trump amsamehe Derek Chauvin muuaji wa George Floyd

    Elon Musk, mshauri mwandamizi wa Rais wa Marekani, Rais Trump, amtaka bosi wake huyo kumpa msamaha muuaji, Derek Chauvin, mweupe, aliyekuwa na cheo cha afisa wa polisi nchini humo. Elon Reeve Musk ni tajiri mkubwa anayemiliki kampuni za Tesla, Inc., SpaceX, na Twitter, na pia ofisa mwandamizi...
  12. D

    Maono: Mpaka uchaguzi ninaziona kama bilioni 5 hivi zikikusanywa; 2 'zitatumika' katika uchaguzi; 3 zitawezesha safari ya Ulaya na Marekani!

    Siasa achana nayo tu jamani.......siasa ni nyoko. Kila nikiwasikiliza na kuwaona na kurejea taarifa ya 'kusanyaji' kadhaa huko nyuma, naona kabisa hapa hii miamba inatafuta au imelenga bilioni kama tano Hadi sita hivi kufikia uchaguzi. Hiyo ni kutoka kwa tone-tone na wafadhili wengine. Mbili...
  13. L

    Ni upuuzi kwa Marekani kuongeza ushuru kwa nchi nyingine kwa kisingizio cha Fentanyl!

    Wiki hii, serikali ya Trump ilitangaza tena kuongeza ushuru wa 10% kwa bidhaa za China zinazouzwa Marekani kwa kisingizio cha suala la Fentanyl na mengineyo, huku pia ikiongeza ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico. Hatua hii sio tu kwamba ilisababisha pingamizi kutoka kwa China na...
  14. Marekani, Hamas katika Mazungumzo ya Moja kwa Moja Juu ya Kuachiliwa kwa mateka huko Gaza

    Wanaukumbi. Mateka watano wa Marekani na Israel wanazuiliwa huko Gaza, huku mmoja akiripotiwa kuwa bado yu hai. Ikulu ya Marekani imesema mazungumzo hayo yanaendelea, baada ya Hamas kuthibitisha kuwa wamekutana mara kadhaa na mjumbe maalum wa Marekani anayehusika na masuala ya mateka Adam...
  15. Kiongozi wa CIA atangaza Marekani kusitisha kuipa Ukraine taarifa zozote za kijasusi na za kiusalama zinazohusiana na vita

    Wakuu, Baada ya kukata misaada ya kifedha na misaada ya silaha Ukraine sasa Trump ameamua kuikatia Ukraine taarifa zote za kijasusi na za kiusalama zinahusiana na vita yao dhidi ya Urusi. Taarifa hii imetolewa muda mchache uliopita na gazeti la Marekani la Financial Times ikiwa pi ni siku...
  16. Tariffs za Tanzania zitaumiza uchumi wetu dhidi ya Marekani, Japan na Ulaya

    Kwa hali ilivyo sasahv duniani kuna vita kubwa ya tariffs kwenye bidhaa mbalimbali toka nchi mbalimbali ambapo tumeshuhudia Trump akiongeza tariffs dhidi ya mataifa mengine kwa takribani asilimia 10% hadi 25%. Nchi yetu ina tariffs za magari yatokayo nje ya around asilimia 100%, hii sijui...
  17. R

    Huku Zelensky akiendelea kukataa vyake visiguswe, Taiwan inayosaidiwa kiulinzi na Marekani imetangaza kuwekeza Trilioni 260

    kampuni ya utengenezaji wa semiconductor ya Taiwan TSMC imetangaza kuwekeza dola bilioni 100 (shilingi trilioni 260) kujenga viwanda vya kutengeneza semiconductor nchini Marekani. Taiwan imekuwa ikisaidiwa sana kwenye mambo ya Ulinzi na Marekani, Taiwan inajihami kwa kuhakikisha kuwa inabaki...
  18. Jinsi Ukraine ilivyodanganywa na kuingizwa kingi na Marekani.

  19. Nimeumia, najiuliza kwanini TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani na Saudi?

    Imeniuma Sana kusikia kuwa TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani, Saudi Arabia, UAE, Cyprus na South Africa. Unadhami sababu ni nini?
  20. Kwa mara ya kwanza katika historia, Viongozi wakuu wa Ulaya, Canada na Australia wakutana kujadili namna ya kuisaidia Ukraine bila kumwalika Marekani

    Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani. Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia ya kwanza kabisa kuiambia Dunia kuwa Ulaya unarudi kwenye himaya yake. Viongozi waliohudhuria ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…