marekani

  1. JamiiForums Tanzania Ijue siri inayolifanya Taifa la Marekani kuwa juu kimaarifa

    Ni jambo lisilopingika kuwa Marekani ni taifa lililoendelea zaidi kiteknolojia, kisayansi, kiuchumi, na hata kijamii. Mataifa mengi yanaiangalia Marekani kama mfano wa mafanikio na ubunifu wa hali ya juu. Lakini swali ni hili: Je, ni nini kinachoifanya Marekani kupiga hatua kubwa kiasi hiki...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye bastola awaua watu watatu na kujerui wawili, Nevada-Marekani

    Mtu mmoja mwenye bastola alifyatua risasi nje ya kasino ya Grand Sierra Resort mjini Reno, Nevada siku ya Jumatatu Julai 28,2025 saa 1:30 asubuhi kwa saa za Marekani. Tukio hilo lilitokea katika eneo la maegesho karibu na sehemu ya valet ambapo mtuhumiwa, mwanaume mtu mzima ambaye hakutajwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamuziki wa Marekani Ciara apewa Uraia wa nchi ya Benin

    Wakuu, Mwanamuziki wa Marekani, Ciara, amekuwa mmoja wa watu wa kwanza maarufu kupata uraia wa Benin chini ya sheria mpya ya nchi hiyo ndogo ya Afrika Magharibi inayotoa uraia kwa watu wenye asili ya watumwa. Mshindi wa tuzo ya Grammy alipokea uraia huo katika hafla iliyofanyika Jumamosi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubalozi wa Marekani nchini urekebishe utaratibu wa kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri hasa katika upande wa mahojiano

    Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es Salaam katika kitengo cha kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri (visa). Utaratibu uliopo...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani yazidi kusogelea katika giza la udikteta, Trump atishia kuvifuta vyombo vya habari vinavyomkosoa.

    Yale mambo ya ulimwengu wa tatu ya banana republics ya mtawala hakoselewi sasa yameanza kushika kasi Marekani katika awamu ya pili ya Trump, tayari ameshamfukuzisha kazi comedian mmoja mkubwa maarufu Stephen Colbert wa CBS ambaye ni mmojawapo wa wakosoaji wake wakubwa, ameshavuna mabilioni ya...
  6. JamiiForums Tanzania CCM chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Samia Suluhu Hassan imekuwa maarufu kama Marekani Dunia yote inaiongelea Marekan hii ndo siasa Sasa.

    Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
  7. JamiiForums Tanzania Ukraine yaiomba Marekani mifumo 10 mipya ya ulinzi wa anga ya Patriot, Zelensky asema

    Volodymyr Zelensky alisema kuwa Ukraine imeiomba Marekani kuipatia mifumo kumi zaidi ya ulinzi wa anga ya Patriot na tayari imeweza kukubaliana na washirika wake juu ya utoaji wa mifumo mitatu ya aina hiyo. "Nimepokea uthibitisho rasmi kutoka Ujerumani watatupatia mifumo miwili, Norway mmoja...
  8. JamiiForums Tanzania Samia kwa makini yasijekukukuta kama ya Rais John Kennedy wa Marekani

    Kubali ukatae kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM. Kuna kundi kubwa linalompinga Samia ndani ya CCM. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mpinzani wa ndani hii ni kitu mbaya sana. Mtu anae kujua vizuri ni rahisi kukumaliza .. Donald Trump pamoja na kuwa na Secret service protection ila hali manusra...
  9. JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani wapinga vikali watu wa dini kufunga barabara kuswali

  10. JamiiForums Tanzania Kumbe Ile Trump Kuambiwa Alishirikiana Na Urusi Kuingilia Uchaguzi Wa Mwaka 2016 Wa Marekani Ilikuwa Ni "Hoax" Iliyotengenezwa Na Obama

    Tulsi Gabbard's Revelations Confirm a Deep State Conspiracy Against Trump 🚨BREAKING NEWS FROM DNI Tulsi Gabbard: "Americans will finally learn the truth about how in 2016, intelligence was politicized and weaponized by the most powerful people in the Obama Administration to lay the groundwork...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani humuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani tu!

    Tofauti na marais wengi duniani ambao huwaapisha kiapo cha utumishi maafisa na watumishi lukuki wa serikali na mihimili mingine ya nchi, rais wa Marekani kiutamaduni yeye huwa anamuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani/mwenyekiti wa kamandi za jeshi la Marekani tu. Mawaziri na watumishi katika...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mike Huckabee;- Israel inawanyanyasa wakristu,awasihi watalii wasiende Israel hadi ufumbuzi utakapopatakana

    Itabidi ubalozi wetu nchini Israel itangaze kwa niaba ya taifa la usa ya kwamba nchi ya Israel haikaribishi tena taasisi za dini za Kikristo na wawakilishi wao badala yake wanajihusisha na unyanyasaji na mapokezi mabaya ."-Huckabee Itatubidi tuwatahadharishe wakristo wa America ya kwamba...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Eswatini kuwarudisha wahalifu waliosafirishwa na Marekani

    Serikali ya Eswatini imethibitisha kuwa inawashikilia wahamiaji watano waliotolewa Marekani na kuwekwa katika vyumba maalum vya gereza, kufuatia makubaliano ya muda mrefu na utawala wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump. Wahamiaji hao ni raia wa Vietnam, Jamaica, Laos, Cuba na Yemen, ambao...
  14. JamiiForums Tanzania Yaani mchezaji aache kufanya "trials" Marekani, akimbilie Taifa Stars kwa kigezo eti ni mzalendo?? hivi wachambuzi huwa mnakunywa shing'wa

    Kibu denis anapambania kutoka huko nje aongeze kipato anatokea mchambuzi amekula maharage ya mbeya na kumuita kibu ni msaliti na siyo mzalendo kwa kua tu hajaitika wito wa timu ya taifa siyyo kibu tu hata mimi NALIA NGWENA siwezi kuja kwenye timu ambayo najua wazi kabisa inashiriki kukamilisha...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nchi hii ya Afrika yaingia katika hali ya maafa baada ya kukandamizwa na sera ya ushuru ya Marekani

    Katika mitaa ya Maseru, mji mkuu wa Lesotho, viwanda vya nguo vilivyokuwa na oda nyingi vimefungwa. Wafanyakazi waliokosa kazi wanasimama kwa foleni chini ya jua kali, wakiinua mabango yanayosema: "Tunahitaji kazi, tunahitaji chakula." Nchi hii ya milimani ya Afrika ambayo rais wa Marekani...
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani alaumiwa kwa kuwaaibisha viongozi wa Afrika

    Marekani hivi karibuni iliandaa mkutano kati yake na nchi tano za Afrika ambazo ni Gabon, Guinea-Bissau, Mauritania, Senegal na Liberia. Lakini kwenye mkutano huo, Rais Donald Trump wa Marekani alifanya vitendo vingi visivyofaa kwa viongozi wa nchi hizo za Afrika, na jambo ambalo limewakasirisha...
  17. JamiiForums Tanzania Mvua kubwa yasababisha maafuriko New York na New Jersey nchini Marekani

  18. JamiiForums Tanzania Marekani: Donald Trump aipa Urusi siku 50 kumaliza Vita nchini Ukraine

    Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye kwa mara nyingine ameonyesha kusikitishwa kwake kutokana na tabia ya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Julai 14, ameipa Urusi siku 50 kumaliza vita la sivyo itakabiliwa na vikwazo vikali, na akatangaza kukaribia kusafirisha idadi kubwa ya...
  19. JamiiForums Tanzania Trump asema Marekani itaipa Ukraine silaha hatari na za kisasa huku akimkosoa Putin

    Rais wa Marekani Donald Trump ameashiria kauli "kuu" kuhusu Ukraine hii leo, huku kukiwa na kile kinachoonekana kuzidi kukasirishwa na Rais wa Urusi Vladimir Putin. Siku ya Jumapili usiku, Trump alisema kuwa vifaa vya kijeshi "vya kisasa" vitaelekea Ukraine, ikiwa ni pamoja na makombora ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…