marekani

  1. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia ukiwa katika nchi za bara la Asia, Ulaya na Marekani

    Ndugu Watanganyika Mungu ni Mwema, sifa kwake kwa kutujalia Uhai Ikiwa una Mpango wa kwenda nchi yeyote Ile Duniani hasa Nje ya bara la Afrika jitahidi kuijua nchi hiyo japo kwa machache mambo ya kuzingatia ukiwa huko pamoja na tamaduni zao, kufanya hivyo itakusaidia sana kuishi kwa amani na...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani yazindua chanjo ya COVID-19 kwa watoto wachanga

    Marekani imeanzisha mchakato wa chanjo ya COVID-19 kwa ajili ya watoto wachanga na wale wanaosoma shule za awali, ambapo itaanza kutumika kuanzia wiki ijayo. “Tunajua kuna mamilioni ya wazazi ambao wanaisubiri chanjo hii kwa ajili ya watoto wao,” – Dkt. Rochelle Walensky kutoka Vituo vya...
  3. JamiiForums Tanzania Uingereza yaidhinisha kurudishwa Nchini Marekani kwa mwandishi na mwanzilishi wa mtandao wa WikiLeaks

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo ameidhinisha kurejeshwa kwa Julian Assange nchini Marekani ambapo mamlaka nchini humo zinamtafuta kuhusiana na nyaraka zilizofichuliwa na mtandao huo mwaka wa 2010 na 2011. Mnamo 2019 Marekani iliwasilisha mashtaka 17 dhidi yake kwa kukiuka Sheria ya Ujasusi...
  4. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani Nchini Mali watoa taadhari ya shambulio la kigaidi

    Taarifa zinadai kuwa shambulio hilo linatarajiwa kutokea katika mji mkuu Bamako, na linalenga vituo muhimu vya Serikali na maeneo ya Umma Tahadhari hiyo imekuja siku chache baada ya raia 22 kuuawa katika eneo la Menaka kaskazini mwa Mali na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo Hii ni tahadhari...
  5. JamiiForums Tanzania Bongo Kama Marekani: Kimara - Kibaha highway

    Hii ni moja ya kazi Magufuli. Navuta picha Kama kungekuwa na Rais kama Magufuli kwa awamu tano, Je Tanzania ingekuwa vipi? CHEKI VIDEO
  6. JamiiForums Tanzania Gharama ya maisha Marekani sio mchezo, hebu ona bei ya hizi bidhaa

    Marekani sio mchezo. Hivi vyote bajeti yake ni US Dollar 118 ambayo ni sawa na Tshs 275,000 hivi.
  7. JamiiForums Tanzania Silaha za Urusi ni bora kuliko za Marekani, ni kimbilio la mataifa mengi kuanzia sasa

    Vita ya Syria na Ukraine imeonyesha kuwa Silaha za magharibi (NATO) zimeonyesha uwezo mdogo sana dhidi ya zile za nchi za Magharibi. Nchi nyingi sasa zinawaza kwenda kununua silaha na mifumo ya ulinzi ya Urusi zenye ufanisi mkubwa kwenye uwanja wa vita kuliko zile za NATO. NATO sasa inawaza...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani na washirika wake EU wameisaliti Ukraine

    Awali ya yote natangaza wazi kwamba mimi ninaiunga mkono Urusi. Hata hivyo, kwa mtu yeyote ambaye amefuatilia hii vita, hitimisho iko wazi. Urusi pamoja na kuchukua muda mrefu kukamilisha malengo yake tofauti na wengi tulivyodhani ukizingatia uwezo wa Urusi kijeshi, bado ushindi upo kwake...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Fedheha: Marekani imeilipa Urusi bilioni mbili za Ruble ili mwanaanga wa Kimarekani aweze kurejeshwa duniani na chombo cha Urusi

    Katika jitihada za kumrejesha duniani mwana anga wa kimarekani Mark Vande Hei toka anga la mbali, Marekani imelazimika kulipa ruble bilioni 2 kwa Urusi ili Urusi ikamchukue mwana anga huyo kwa kutumia chombo cha Urusi. Pro-NATO huwa wanatokwa povu hapa JF wakijitahidi kutaka kutuaminisha eti...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Bloomberg: Marekani 'kimyakimya' yaiomba Urusi iiuzie mbolea zaidi ili Marekani iweze kuzalisha mazao kwa biashara na pia iepuke njaa mwaka ujao

    Marekani kimya kimya imeanza kuhimiza makampuni yake yanayojihusisha na manunuzi ya mbolea ya Urusi na usafirishaji wa mbolea hiyo, yanunue zaidi mbolea hiyo na kusafirisha kwa wingi kwenda Marekani. Hiyo ni baada ya Marekani kupatwa na uhaba mkubwa wa mbolea, baada ya kujitia kususia mbolea ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mexico, nchi jirani kabisa na Marekani, ameikosoa vikali sera ya NATO katika vita vya Ukraine na kuiita ya 'kishenzi'

    Mexico’s president slammed NATO’s policy on the Russian invasion of Ukraine on Monday, calling it “immoral.” President Andrés Manuel López Obrador’s did not mention NATO or the United States by name, but his comments were the latest example of his party's ambiguous stance on the invasion...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Luteni Colonel Daniel Davis wa Jeshi la Marekani anasema hakuna njia yoyote ya kijeshi itayoifanya Ukraine iishinde Urusi vitani

    Luteni Colonel Daniel Davis wa Jeshi la Marekani ambaye amewahi kupigana vita nne tofauti anasema kuwa tuache kupumbazana, kudanganya na kupeana matumaini hewa, kiuhalisia hakuna njia yoyote ile ya kijeshi ambayo Ukraine inaweza kutumia kuishinda Urusi kwenye vita vinavyoendelea Ukraine...
  13. JamiiForums Tanzania Urusi yapiga kombora Ukraine, yaharibu bohari ya silaha za Marekani na Nchi za Ulaya

    Kikosi cha Urusi kimefanya mashambulizi makubwa Nchini Ukraine na kusababisha uharibifu mkubwa katika ghala ya silaha kutoka Marekani na Nchi za Ulaya. Mashambulizi yamefanyika katika Mji wa Ternopil baada ya mapambano ya saa kadhaa katika Mji wa Sievierodonetsk. Serikali ya Ternopil imesema...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani: Kanuni ya Wasafiri wa Kimataifa kupima COVID-19 yaondolewa

    Utawala wa Rais Joe Biden utaondoa Kanuni ya upimaji wa COVID-19 kwa Wasafiri wa Anga wanaoingia kutoka nje ya Nchi kuanzia Juni 12, 2022. Hatua hiyo itaondoa moja ya vizuizi vya muda mrefu vya kusafiri tangu kuanza kwa Mlipuko. Kanuni hiyo iliwekwa na Utawala wa Donald Trump mapema 2021 na...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani: China inazidi kutumia mabavu na fujo

    Waziri wa Ulinzi, Lloyd Austin amesema Marekani itasimamia nafasi yake katika kudhibiti mvutano na China na kuzuia mapigano licha ya Beijing kuzidisha mabavu katika Ukanda wa Asia, ikiwemo karibu na Taiwan Uhusiano kati ya China na Marekani umekuwa tete miezi ya hivi karibuni, huku Mataifa hayo...
  16. JamiiForums Tanzania Riadha: Suleiman Nyambui apata tuzo huko Marekani

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Riadha na Mwanariadha Mkongwe, Kocha Suleiman Nyambui, apokea Tuzo au zawadi ya "Hall of Fame" kwa kufanya vizuri katika enzi zake akikimbia kwenye Mashindano Mbalimbali ya Vyuo Vikuu huko nchini Marekani , UTEP TX , National Collegiate Athletics Association (NCAA)...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hii dhulma ya kunyang'anya mali binafsi haitaiacha salama Marekani

    Kuna mamia kama siyo maelfu ya mabilionea wa kirusi wamepokonywa mali zao na marekani na washirika wake kwa kisingizio eti wako karibu na Putin!! Huu ni unyang'anyi na ujambazi Mtu kama Abramovich amepokonywa mabilioni ya dola pamoja na meli zake binafsi, majumba, klabu yachelsea, ndege binafsi...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani Wakubaliana kushirikiana katika Elimu, Sayansi na Teknolojia

    TANZANIA, MAREKANI WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA Na WyEST, DODOMA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Juni 7, 2022Jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Donald Wright ambapo...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Sarafu ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dollar ya Marekani

    Dollar ya Marekani inazidi kuimarika. Shilingi ya Tanzania inazidi kudhoofika. Tangu robo ya kwanza ya mwaka, Dollar moja imekuwa ni sawa na shilingi 2310 kwa mujibu wa BoT. Robo ya pili ikapanda na kuwa 2311. Sasa tupo robo ya tatu na ndani ya siku 7 hizi ishapanda mara mbili: 2312 na sasa...
  20. JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa Mauaji ya Buffalo Marekani akana mashtaka dhidi yake

    PaytonGendron (18) anayeshtakiwa kwa kuua watu kumi na kujeruhi watatu katika supermarket huko Buffalo (eneo likaliwalo na watu weusi) alifikishwa mahakamani Juni 2 ambapo alikana shtaka hilo pamoja na mashtaka mengine, ambapo mwendesha mashtaka akitaja ushahidi dhidi yake kuwa mkubwa Vile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…