marekani

  1. JamiiForums Tanzania Wakati tulilalamika miti Milioni 2 (Bwawa la JKN) Marekani wanakata miti 31.1m kila mwaka ili itumike chooni

    Lets put things in perspective watu walilalamika hapa Rejea - Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers) Ingawa matumizi ya Toilet Paper yanachangia about 15% ya deforestation Sisemi tuache kutumia huduma hii muhimu lakini tukumbuke wakati tunalaumiana...
  2. K

    JamiiForums Tanzania The greatest threat to the USA is not China, but Peace

    Greatest Threat to the USA is Peace. By: Chua Chin Leng Date: 24-March-2023 The greatest threat to the USA is not China, but Peace. Peace in the world would bring an end to the evil American Empire that is built around war and a war economy. When there is Peace in the world, the Americans would...
  3. JamiiForums Tanzania Urusi imeshawahi kuiwekea vikwazo Marekani?

    Urusi imeshawahi kuiwekea vikwazo vya aina yoyote ile Marekani?
  4. JamiiForums Tanzania Marekani: NBA yaondoa sheria ya kuzuia matumizi ya bangi kwa wachezaji

    Uongozi unaosimamia Ligi ya Kikapu ya NBA umeboresha sera zake kuhusu matumizi ya bangi kwa kuiondoa katika kipengele cha madawa yanayozuiwa kwa wachezaji. Hivyo, wachezaji wa NBA hawatafanyiwa vipimo kwa muda wa miaka saba kutokana na mkataba uliosainiwa na Collective Bargaining Agreement...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani: Mwanasheria asema Trump hatafika Mahakamani akiwa amefungwa pingu

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump (76) atasafiri kutoka Florida kwa ndege yake binafsi kuelekea New York kisha kujisalimisha kwa mamlaka za Usalama ambapo anatarajiwa kufikishwa Mahakamani Jumanne Aprili 4, 2023. Licha ya kuwa mashtaka yake hayajawekwa wazi lakini inadaitwa atashtakiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani: Polisi watakiwa kujiandaa kwa mikusanyiko ya wafuasi wa Trump

    Polisi wa New York (NYPD) wametakiwa kuwa tayari kwa lolote linaloweza kutokea kutokana na taarifa za Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kushtakiwa. Kwa siku kadhaa zilizopita kumekuwa na taarifa za wafuasi wa Trump kuingia mtaani kupinga mashtaka atakayofunguliwa. Trump amefunguliwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanadada amejiua baada ya kutumia pesa zake nyingi kumgharamia boyfriend wake ahamie Marekani watafute maisha wote

    Mwanadada huyo wa nchini Cameroon aliyekuwa anaishi Marekani amefariki kwa kujiua baada ya kutumia pesa zake nyingi kumtoa boyfriend wake nchini Cameroon kumgharamia ahamie Marekani watafute maisha wote. Kilichotokea baada ya kipindi flani walikwaruzana kidogo na muda haukupita jamaa akaanza...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani yaagiza Raia wake kuondoka nchini Urusi haraka

    Onyo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje, Antony J. Blinken, muda mfupi baada ya #Russia kumshikilia Mwandishi wa Habari wa #WallStreetJournal ambaye ni raia wa Marekani akidaiwa kuwa ni Jasusi Serikali ya #Marekani imesema inamesiliana na WSJ kuhusu sakata hilo na tayari imeanza kutafuta njia...
  9. JamiiForums Tanzania Tukumbushane Marekani alivyopambana na Taiwan. Urusi na Ukraine sio hoja

    Vita vya Vietnam vilikuwa vita vya muda mrefu, vya gharama kubwa na vya mgawanyiko vilivyoikutanisha serikali ya kikomunisti ya Vietnam Kaskazini dhidi ya Vietnam Kusini na mshirika wake mkuu, Marekani. Mzozo huo ulizidishwa na Vita Baridi vinavyoendelea kati ya Marekani na Muungano wa...
  10. JamiiForums Tanzania SI KWELI Marekani yawawekea vikwazo viongozi Kenya kwa kuchochea vurugu, yumo Naibu Rais

    Kumekuwepo na taarifa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia gazeti la Mwananchi limeandika kuwa Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo wanasiasa wanne wa Kenya pamoja na familia zao akiwemo Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua baada ya kupata taarifa kuwa wanasiasa hao walipanga na kufadhili...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huko USA huwezi kutenganisha haki za binadamu na haki za mashoga/LGBT!

    Hivi watanzania wanaelewa maana ya demokrasia na haki za binadamu kama zinavyofahamika na marekani? Kwa marekani demokrasia na haki za binadamu zinaambatana na haki za mashoga almaarufu kama LGBT!! Ukikubali demokrasia na haki za binadamu zinazoigiwa debe na marekani duniani kote maana yake ni...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es Salaam leo Machi 30, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es salaam leo Machi 30, 2023 Rais Samia ameishukuru Serikali ya Marekani kupitia misaada na uwezekaji wa aina mbalimbali unaofanyika nchini. Serikali ya Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Ziara ya Makamu Rais wa Marekani, Kamala Harris ina faida gani kwa Tanzania?

    Tanzania ina ugeni wa Makamu Rais wa Marekani, Kamala Harris ambaye amefika akiwa katika ziara yake ya Nchi kadhaa Barani Afrika, ambapo pia ratiba yake ni kupita yatika mataifa ya Ghana na Zambia. Kitendo cha kioongozi huyo ambaye taifa lake lina nguvu kubwa Duniani kuichagua Tanzania kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania BRICS pigo kwa Marekani. Kamala Harris atembelea Afrika kimkakati

    BRICS imekua ni gumzo huko MAREKANI. Huku kukiwa na hofu ya MAREKANI kupoteza ushawishi Duniani. Inatarajiwa nchi nyingi za Asia zinazo zalisha mafuta zimeomba kujiunga na BRICS. Pia nchi zote za Africa zikiongozwa na South Africa zitajiunga. Marekani amepoteza ushawishi Saud Arabia. Na kufanya...
  15. JamiiForums Tanzania Breaking News: Makamu wa Rais wa Marekani aomba kukutana na Washindi wa Majukwaa JamiiForums

    Mwenye Suti Kali naomba aniazime.
  16. L

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Marekani yalaumiwa kuingilia mambo ya ndani kwa kupinga sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ya Uganda

    Bunge la Uganda hivi karibuni lilipitisha mswada kuhusu mapenzi ya jinsia moja, ambapo kufuatia muswada huo, watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja nchini humo watakabiliwa na kifungo au faini. Mswada huo umepingwa vikali na nchi za Magharibi zinazoongozwa na Marekani, na Marekani kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Urusi, China, Iran na Saudi Arabia zaanza maandalizi ya kuachana na matumizi ya Dola ya Marekani

    Ripoti mbalimbali zinadai kuwa Benki kuu za Urusi na Uchina zimeanza kuondoa akiba ya dola ya Marekani katika hifadhi yake huku biashara zake nyingi zikiendeswa kwa Yuan ya China. Kuhama huku kutoka kwenye dola kumechochewa na vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Urusi kwa kuivamia Ukraine...
  18. JamiiForums Tanzania Ni sawa Waziri Chana kukutana na Balozi wa Urusi leo wakati tunapokea ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani?

    Ni kweli uliowazi kuwa mataifa makubwa haya matatu ya Marekani ,Urusi na China yanakimbizana na kupishana Afrika kijaribu kuongeza ushawishi wao kisiasa na kuongeza ushirikiano pamoja na kukuza biashara. Ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani ni hauko mbali na malengo hayo. Kila mtu atakuja kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023

    Naona Itifaki imezingatiwa. VP Kwa VP. MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) mkoani Dar es Salaam. Serikali kupitia kwa Msemaji wake mkuu, Gerson Msigwa imemkaribisha...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Unadhani Marekani ya leo ndiyo ile tuliyoijua?

    Nyakati zimebadirika sana , kwa wale wanaojua siri za ndani ni uongo kuwa Marekani kwa sasa ina chochote kwa ajili ya Afrika, kama ilikuwa inachukua kwa kunyonya namna ile miaka yote wakati bado ipo vizuri kiuchumi je sasa hivi itachukua kwa namna gani, haina lolote ndio maana viongozi wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…