mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Toka 2000 CCM imebadili Wenyeviti mara 4, CDM na CUF hakuna

    WanaJf, Salaam za Krismas na Mwaka mpya 2023! Najiuliza tu iwapo taasisi za kivyama ni imara na wanavyama wana utimamu wa akili kwa nini CCM imebadili wenyeviti mara 4 tangu miaka ya 2000 wakati wanaojiita upinzani wakiwa na wenyeviti ving'ang'anizi wa madaraka. Hii kweli inatuonesha kwamba...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Copa America ilifanyika mara nne ndani ya miaka sita kinyume na utaratibu?

    Kuna hoja kuwa shirikisho la soka la Amerika ya Kusini (CONMEBOL) waliandaa michuano ya Copa America mara nne katika kipindi cha miaka sita kinyume na utaratibu ili tu mchezaji fulani aweze kushinda kombe akiwa na timu yake ya taifa. Kwakawaida, Copa America huwa inafanyika kila baada ya miaka...
  3. JamiiForums Tanzania Putin kwa mara ya kwanza alia hali ilivyo ngumu kwenye uwanja wa mapambano huko Ukraine

    Akiwahutubia wana usalama, amesema ngoma ni ngumu sana pale Donetsk na Lugansk, yaani huyu jamaa ni kama huvuta bangi, nakumbuka alipompa Zelensky masaa 24 aihame nchi, leo analia lia... Na atakoma ubishi maana kipindi cha baridi kali kinakaribia, wanajeshi wake wako kwenye nchi ya watu, watu...
  4. JamiiForums Tanzania Wakati fulani watu hufa mara mbili

    Inatokea mfumo unaamua huyu mtu anapaswa aonekane amefariki. Mara nyingi huwa ni kwa ajali au kulazwa kwa muda flani n.k but mazishi ya huyu mtu hupotezwa kwa namna flani. Inawezekana sura yake isioneshwe au anaweza uawa kwa ajali na kuchomwa moto akapotezwa kabisa. Ilhali kiuhalisia anakuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Uingereza: Wauguzi kuandamana kwa mara ya pili kupinga malipo

    Zaidi ya Wauguzi 10,000 wanaosimamiwa na Huduma ya Afya ya Afya ya Taifa (NHS) Nchini England, Wales na Ireland Kaskazini wanatarajia kushiriki katika maandamano hayo, Jumatano Desemba 21, 2022. Aidha, wahudumu wa magari ya huduma ya kwanza wa England na Wales nao watashiriki, isipokuwa tu kama...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kazini kwako unapata likizo mara ngapi kwa mwaka?

    Tunaenda kuufunga 2022, naona wadau wengi wanaenda likizo kipindi hiki. Hivi kazi yako inakuruhusu likizo mara ngapi kwa mwaka? Hii ni kwa walioajiriwa sasa maana najua waliojiajiri asilimia kubwa hawanaga likizo.
  7. JamiiForums Tanzania Mzaha mzaha mara Morocco Bingwa Kombe la Dunia, nyie wachukulieni poa tu!

    Wiki iliyopita Morocco waliotengeneza historia ya kuwa Taifa la kwanza Afrika kuingia nusu fainali ya Kombe la Dunia. Hatua hiyo imeifanya Simba wa Atlas kutengeneza historia ya soka lakini sasa inaisubiri Ufaransa katika nusu fainali. Morocco wamebakisha mechi mbili tu kunyakua kombe la dunia...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Putin hatahutubia taifa kwenye mwisho wa mwaka

    Kuna tetesi nyingi sana jamaa anapitia hali mbaya hata ameshindwa jambo muhimu sana la kuhutubia taifa ambayo ni desturi yake kila mwisho wa mwaka... Vladimir Putin has pulled out of his "giant end of year press conference" this year, a Kremlin official has revealed, sparking rumours that he is...
  9. JamiiForums Tanzania Mo Dewji akamatwe mara moja kwa udanganyifu na arudishe hisa zote bila kupewa chochote

    Ati anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani? Ifike muda tuwakatae wahuni wanaokuja kuharibu Mpira wetu na vilabu vyetu!
  10. JamiiForums Tanzania Tukiachana na simba kunusurika kushuka ligi kuu mara nyingi, Je Yanga imewahi kumaliza ligi kuu chini ya nafasi ya tatu ?

    Ok, Nadhani kila mtu anajua kwamba Simba tayari wamewahi kumaliza ligi kwa kushika nafasi za chini na hata kunusurika mara nyingi kushuka daraja huku Yanga ikiwaokoa zaidi ya mara moja wasishuke . Kuhusu Yanga hivi imewahi kutokea wamemaliza ligi wakiwa nje ya top three ?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Historia imeandikwa Rais Samia Mwenyekiti wa Kwanza mwanamke ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano anaweka rekodi ya kipekee katika historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wajumbe wa Mkutano mkuu wa 10 kumchagua kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa chama hicho tawala. Tangu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasisiwe mwaka 1977, hakijawahi kuongozwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini haiwezekani kukunja karatasi zaidi ya mara saba?

  13. J

    JamiiForums Tanzania MAAJABU: Bei ya mafuta yapanda tena hadi 3247 Dar, wakati soko la dunia ikishuka mara dufu

    #BIASHARA Bei ya rejareja ya mafuta ya petroli katika mwezi Desemba 2022 kwa mkoa wa Dar es Salaam, imepungua kwa shilingi 59 kwa lita ambapo petroli itauzwa shilingi 2,827 kwa lita, na bei ya dizeli pia imepungua na itauzwa kwa shilingi 3,247 kwa lita. Bei hizi zitaanza kutumika kesho Desemba...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kupigwa mswaki zaidi ya mara moja kwa siku?

    Ya nini kama bado meno yatasumbua tu huko mbele, kuna ndugu yangu tangu kijana mdogo hawezi kulala bila kupiga mswaki kama masharti ya mganga, sasa ni mzee lkn ashafanya root canal zaidi ya 1 na saa hiz kuna jino linamsumbua nafkiri atafanyiwa nyingine. Wengine kila baada ya kula wanapiga...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Chombo cha anga za juu cha Shenzhou 14 cha China chaleta mbegu za mpunga zilizopatikana katika obiti kwa mara ya kwanza duniani

    Kundi la tatu la sampuli za majaribio ya sayansi ya anga za juu, ambalo lilirudishwa na chombo cha anga za juu cha Shenzhou 14 cha China, lilirejeshwa Beijing alfajiri ya tarehe 5. Sampuli zilizorejeshwa ni pamoja na vifurushi vitatu vya baridi vya sampuli za kibaiolojia na mfuko mmoja wa...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Kwenu Mabachela, Unasafisha Gheto mara ngapi kwa Mwezi?

    Dah baada ya mihangaiko ya wiki nzima, leo nilivyoamka asubuh ndo nikagundua jinsi gan geto lilivo chafu. Asee mara ya mwisho kusafisha ilikua mwezi uliopita. Mabachela wenzangu mnachukuaga mda gan ndo mfanyie usaf mageto?
  17. JamiiForums Tanzania TCRA: Usikubali kuingiza Alama za Vidole mara mbili wakati wa kusajili Line

    MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeeleza wahalifu wa mitandao ya simu maarufu kama 'Tuma kwa namba hii' wanavyosajili laini kinyemela kwa kutumia vitambulisho na alama za vidole vya watu, bila wahusika kugundua. Imesema uhalifu huo hufanywa na mawakala wanaosajili laini za simu mteja...
  18. JamiiForums Tanzania RC Mara awaondoa Makatibu wa Wabunge kwenye Kikao, adai wao si Wajumbe wa Kikao hicho

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Jenerali Suleiman Mzee amewaondoka kwenye kikao cha Bodi ya Barabara ya Mkoa huo makatibu wa wabunge ambao waliwawakilisha wabunge kwa maelezo kuwa makatibu hao siyo wajumbe halali wa kikao hicho huku akidai wabunge wengi wa mkoa huo wamekuwa na dharau na hawahudhurii...
  19. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Afrika kwa Mara ya Kwanza Makocha wote Wazawa

  20. M

    JamiiForums Tanzania Kufanya Mapenzi mara kwa mara kunasaidia kuifanya ngozi ya mwanamke iwe nyororo na isiwe na chunusi?

    Hivi ni kweli kuwa kwa mwanamke kufanya mapenzi mara kwa mara kunamsaidia kuondoa chunusi na kuifanya ngozi yake kuwa nyororo na yenye mng'aro angavu? Kuna uelewa wa kitaa kuwa sex inamsaidia sana mwanamke kutokua na chunusi. Na hata wanawake ambao wanajulikana hawafanyi sex mara kwa mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…