Weekend tulienda kupata mbili tatu tukawa nzwii,sasa akishalewa yeye si kama wale wengine ati zinashukia chini!. Yeye akilewa ni amapiano Tu!.
Atafungua muziki na anataka mcheze mapiano! sasa mimi nakucheza amapiano wapi na wapi!, mshangazi wa watu anacheza mpaka na ile style ya kuchezesha...