mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa mara ya kwanza duniani, Ubelgiji yatangaza kuanza kutoa bima ya afya, maternity leave na sick pay kwa madada poa!

    Wakuu, Wakati huku kwetu mkuu wa wilaya ya Ubungo akiwa busy kukamata madada poa pale Kitambaa Cheupe, huko Ubelgiji mambo yameendelea kuwa sukari sana. Hivi karibuni Serikali ya Ubelgiji imetangaza kwamba itaanza kutoa bima ya afya, maternity leave na kulipa madada poa kama watakuwa wanaumwa...
  2. Trump amteua mkwe wake mwingine kama mshauri kwenye utawala wake mpya!

    Wakuu. Hata baada ya kusema kuwa this time around hatohusisha wanae kwenye uongozi wake, Trump inaonekana ameendelea kuteua watu wake wa karibu. Hivi karibuni Donald Trump amemteua Massad Boulos, baba mkwe wa binti yake Tiffany, kuwa mshauri wa masuala ya Waarabu na Mashariki ya Kati...
  3. TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika; 1. ENEO HUSIKA...
  4. Bahati haiji mara mbili..

    Nimemuuliza upo tayari kuolewa na mimi? akasema ndio na kumalizia na msemo" bahati haiji mara mbili". nimefurahi. Kataa ndoa kwaherini😁
  5. Kwanini mfumo wa ukataji tiketi za SGR unasumbua mara kwa mara, who is behind this?

    Moja kwa moja kwenye mada Tangu tuanze kusafiri kwa treni za SGR kumekuwepo na changamoto za hapa na pale. Changamoto huwa zipo lakini tunatarajia kuwe na ufumbuzi na kutokujirudia rudia kwa changamoto ya namna ile ile. Kwenye mfumo wa ukataji tiketi kumekuwa na changamoto ya kudumu, mfumo sio...
  6. TANESCO yaomba radhi umeme kukatika mara kwa mara Lindi na Mtwara, yasema kuna kazi ya kufunga Mifumo Mipya

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu kero ya kukatika kwa umeme mara kwa mara Wilayani Masasi Mkoani Lindi, kusoma zaidi bofya hapa ~ Wakazi wa Masasi tuna kero ya umeme kukatika mara kwa mara, tunapata hasara TANESCO shughulikieni hilo , Shirika la Umeme Tanzania...
  7. G

    Tangu Fastjet waondoke umepanda ndege mara ngapi ?

    Nimejikuta nazikumbuka sana monents za Fast Jet miaka ya 2010's Ni kipindi nachoweza kusema nilitoa ushamba wa ndege, ndege ilikuwa kama basi la mkoani. Ilikuwa ni mkombozi mkubwa sana kwa watu wenye uchumi wa kawaida. Ndege zilikuwa zinajaa inabidi ukate ticket mapema, Nilichokuwa...
  8. K

    Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

    Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia. Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa ila Ukubwa Huu una mafundisho mengi sana. Nimekaa nimewaza sana, nimepitia Changamoto nyingi sana...
  9. Unajamba mara ngapi kwa siku?

    Na unapojamba unapata raha au unapata nafuu fulani? Na kati ya mwanaume na mwanamke,yupi hujamba mara nyingi zaidi?
  10. Baba mkwe hataki nimrudishe mwanae anasema atamkanya kwa mara ya nyingine

    Hivi ni kwanini? wanasema busara ni kumrudisha mtoto wa wenyewe kwa wazazi endapo unaona hakidhi vigezo ikiwemo ukosefu wa utiifu. Sasa Leo nimepiga simu mzazi kasema hapana ataongea nae kwa mara nyingine tena nimpe nafasi nyingine. Siku za hapo nyuma mara 3 hivi nimeripoti kuhusu vitendo vya...
  11. Mgodi wa barrick north mara washinda tuzo kubwa za mwajiri bora 2024

    Naibu Waziri Mkuu Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko akitoa pongezi kwa Meneja Uhusiano wa Barrick, Georgia Mutagahywa kwa ushindi wa North Mara baada ya kumkabidhi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Ridhiwani Kikwete (kushoto)...
  12. M

    Najikuta kwenye mahusiano na mwanamke ambaye ana pacha wake

    Habari wakuu, niliwahi kuuliza hili swali kipindi fulani ila sikupatw majibu hivyo nalirudisha tena kwenu wana JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye mahusiano na hawa dada zetu lakini baada ya muda nakuja kugundua kuwa huyo mtu niliyenaye kwenye...
  13. Mambo gani hupelekea kampuni kubwa kubadilisha jina mara kwa mara?

    Kibiashara nini kinaweza kusababisha kampuni kubwa kama tigo kubadilisha jina mara nyingi hivyo(mara nne)? Zipi faida na hasara kibiashara kufanya hivyo?
  14. G

    Mke anayeweza kuchunga ng'ombe angalau kwa wiki mara moja.

    Habari wakuu. Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe. Vigezo ni awe anapumua tu, Nawasilisha
  15. Maswali mengi yaibuka baada ya kupotea kwa mkazi wa Kigamboni Vicent Masawe. Mkewe asimulia kilichotokea. Jeshi La Polisi latoa tamko!

    Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kumezuka na tarifa kuwa Vicent Peter Masawe, anayejulikana pia kama Babuu au Bright, amepotea tangu Novemba 18, 2024. Kulingana na taarifa zilizopo, siku ya tukio, Vicent alidai kufuatiliwa na watu wasiojulikana kabla ya kupoteza mawasiliano. Vicent...
  16. Mara ya mwisho kuokota pesa lini

    Eti mala yako ya mwisho wewe kuokota pesa lini na ulikota shingapi? Na ushawai oupoteza pesa kiasi gani mpaka ukajilaumu sana Mimi mara ya mwisho kuotoka pesa ilikuwa juzi shilingi 100 niliokota Na nilipoteza pesa 10000 na iyo ndio ilikuwa kilinda mfuko ugenini nikaona aibu kuomba nauli...
  17. Kwenye biblia uafrika umetajwa mara nyingi 56 kwenye agano la kale ila mzungu ndo anapewa hatimiliki ya biblia na ukristo

    Katika jamii ambayo watu ni rahis kuwa brainwash basi ni waafrika Mfano:- neno kush likimaanisha mwafrika limetajwa mara nyingi sana mke wa musa alikua ni mwafrika, sefania alikua ni mwafrika na malkia wa sheba alikua ni mwafrika Ila ni kawaida sana kukuta mwafrika anawapa umiliki wa ukristo...
  18. LGE2024 Tundu Lissu anaunguruma Mkoani Mara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CHADEMA

    Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara na mwanasiasa mashuhuri, amepokelewa kwa shangwe na hamasa kubwa mkoani Mara wakati wa ufunguzi rasmi wa kampeni za uchaguzi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  19. Achana na hizi Tabia mara moja

    Tabia ya kuwa na hasira,hii ni tabia ambayo baadhi yetu tunayo,inaweza kukuondolea kujiamini wewe binafsi,na unaweza kuwafanya watu wawe mbali na wewe Tabia ya kuwafikiria wengine vibaya,yani huwezi kuwafikiria watu katika mlengo mzuri,wewe hufikiria mabaya tu binadamu wenzako,hayo sio maisha...
  20. Kwa mara ya kwanza ukrane imerusha makombora ndani ya urusi

    Waziri wa ulinzi wa urusi amesema kiwa leo ukrane imerusha makombora ndani ya ardhi yake kufuatia kupewa idhini na USA USSR
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…