mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CCM Yaweka Historia Afrika: Mkutano Mkuu wa Taifa Wafanyika Kidijitali kwa Mara ya Kwanza

    Leo tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya Mkutano Mkuu wake wa Taifa kwa njia ya mtandao, kikihusisha takriban wajumbe 2,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Taarifa kutoka ndani ya chama zinadai kuwa huu ni mkutano wa kwanza barani Afrika wa aina hiyo kufanywa kwa njia ya...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga imebadilisha makocha mara tatu na bado imetwaa vikombe vyote msimu 2024/25

    Wakati msimu unaanza, Miguel Gamondi aliendelea na kazi yake, Ila mashabiki wengi hatukufurahishwa na mwenendo wa matokeo ya ushindi mwembamba, Yanga ilikuwa inashinda lakini kwa taabu, hatimaye Tabora na Azam wakachukua alama. Tukaona isiwe kesi, ikatua mashine ya Kijerumani, pira likaguswa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mwendokasi ina mabasi 60 tu, mara ya kwanza yalikuwa takribani 200"

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ziara kituo cha mwendokasi Kimara na kukuta changamoto ya uendeshwaji mbovu wa huduma, ikiwa idadi ya mabasi yanayofanya kazi ni 60 kati ya mabasi 200 yaliyoletwa mara ya kwanza.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wahubiri wakristo mnaolitaja jina la Yesu bure redioni acheni mara moja!

    Huu ni upumbavu na kudhalilisha jina la Yesu. Yesu ni mmoja na jina lake likitajwa mara MOJA linatosha. Upuuzi huu mnaoufanya redioni ni kumdhalilisha Yesu. Kwa jina la Yesu....bla bla bla ×100, kwa damu ya Yesu..... blah blah blah x70, kwa damu ya mwanakondoo.... blah blah blah x 50. Acheni...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia kuongeza mitaji kwa wavuvi mara 50 zaidi, Geita

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, omeongeza mara 50 mitaji ya wavuvi mkoani Geita ikiwa ni ongezeko jipya la Shilingi milioni 770 Rais Samia katika kuendelea kuimarisha sekta ya uvuvi nchini, ameongeza mitaji kwa wafugaji wa samaki mkoani Geita kutoka Shilingi...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA!

    Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA! Katika zama hizi za kidijitali, kila swipe, kila app unayofungua, na kila sekunde unayotumia kwenye simu yako inaweza kurekodiwa — si kwa nia mbaya kila wakati, bali kwa ajili ya uchambuzi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Nasikitika kuona Mr Kuku akienda kuwatapeli baadhi ya watanzania wenzetu kwa mara nyingine.

    Baada ya kuwatapeli watu zaidi ya mara tatu kupitia mradi wa kuku, Kijana Tariq kaja kivingine kupitia mradi anaoita mbuzi pesa. Utaratibu wake ni uleule wa kuchangisha watu pesa. Ikumbukwe mara baada kuachiwa kupitia plea bargain mara baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kuchezesha upatu, Mr Kuku...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Sayansi inaweza kumgundu mtu mchawi

    Wahini siti nitaeleza elimu ya ndani sana. Vitu nitakavyo gusia ni 1. Mambo ya kidini (Kikiristo). Nitaongelea Mwili, Nafsi na Roho 2. Artificial Intelligence (AI) Technology na Machine Learning 3. Brain Computer Interface Technology (BCI) 3.Teknolojia ya BCI ya Kusoma na Kutafsiri Mawazo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa sasa wa ndugu kuona wagonjwa wao katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro sio mzuri

    Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa. Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa wale wenye kujuana na walinzi Hao kuweza kuona wagonjwa wao kwa uhuru kuliko wale wasiojuana nao...
  10. JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa Mhimili wa Mahakama: Kwa mara ya kwanza Watanzania wafikiria Kuandamana kupinga Mahakama kuingiliwa na Serikali.

    Tangu wakati wa Chama kimoja, hakuna kipindi ambacho Watanzania waliwahi kufikiri kuwa Mhimili wa Mahakama unaingiliwa na Serikali. Ni bahati mbaya sana, baada ya Mhimili huu kuwa compromised kiwango cha kutisha na kutoa maamuzi ya hovyo isivyo mfano Watanzania wameanza kufikiria kuandamana...
  11. JamiiForums Tanzania Tumeahirisha derby mara tatu mnashangaa nini vingine kuhairishwa. Tulieni mambo mazuri hayataki haraka

    Leooo naonaaaa mwendo WA siasa kila kuonaaa JAMANI TUMEHAHIRISHA DERBY mara TATU na watu wamechexa na wameliwa kichwa mnyama MNASHANGAA nn KUHAIRISHA uteuzi haya n mambo ya kawaida EMBU mtuondolee Yale mapost YENU yanakera Cha Cha KAZI iendeleeee
  12. T

    JamiiForums Tanzania Alianza Ndugai badae Dr slaa akafuata Lisu mara Gwajima kisha Mpina na sasa pole pole kwenye zile 4r hii ni style iko 4 ya ngapi!?

    Inavyoonekana kila mtu anayempinga raisi wetu hana budi yatamkuta ya kumkuta. Hao hapo ni baadhi tu ya majina ya watu waliokutana na dhahma kama matokeo ya kupingana na mawazo ya mama. Kwa bahati mbaya hana muda wa kujibu hoja watu wakitoa hoja yeye anakimbilia kuwashughulikia. Jazba mihemko...
  13. JamiiForums Tanzania RECORD: Madaktari bingwa wameongezeka kutoka 5 hadi 2,369 ongezeko la mara 464 wakati bajeti imeongezeka kutoka TZS900bn hadi TZS1.6Trilioni 2025|26

    Rais Samia Suluhu katika kujenga msingi wa shabaha ya Dira2050 inayotaka Watanzania wenye afya na furaha, na umri wa kuishi wa wastani wa miaka 75, Kwa upande wa kumpiga vita adui Maradhi, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi...
  14. JamiiForums Tanzania Huku Polepole atakuwa na Press Conference mara tena Askofu Gwajima nae atakuwa na Press Conference nyie endeleeni tu kutufanya Watanzania ni Fools

    Yaani mnajitekenya wenyewe halafu tena mnacheka wenyewe. Kwahiyo mmeana Suala la 'Genius' Lissu huko Mahakamani linawaendea vibaya mkaamua kukaa Kikao na Mfumo ili kuja na Jambo la ghafla ambalo litateka Akili za Watanzania na kutotilia maanani Sakata la Lissu? Halafu nikiwaambia hamna Akili...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania kurusha chombo Angani kwa mara ya kwanza

    Tanzania, kupitia Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satelaiti yake angani, ifikapo mwaka 2026. Chombo hicho, kitakuwa cha kwanza kurushwa angani na nchi hiyo, baada ya kuongezeka kwa ujuzi, ubunifu na teknolojia. Chuo cha DIT kilianza mpango huo toka mwaka 2024...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Yanga wamebeba ubingwa mara nne mfululizo, msimu huu wamechukua makombe yote hapa Tanzania na kisha wakatufunga mechi zote, Simba hatuna Wazee

    Wazee wetu walioshiba makande wameendelea kuongeza mgogoro ndani ya timu yetu, hawaoni shida ndani ya timu yetu, wanaona kufika fainali kombe la losers ni mafanikio makubwa ndani ya timu yetu. Yanga ameshabeba ubingwa mara nne na nilivyomsikia Injinia kule Kigamboni akisema kuwa wanapanga...
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali ya awamu ya sita imetoa Bilioni 5.7 ujenzi wa shule mbili Mkoani Mara

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa shule mbili mkoani Mara ambazo ni shule ya Sekondari ya Wasichana Mara pamoja na shule ya Amali Butiama (Butiama Technical Sec School) Fedha hizo zimetolewa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya tatizo la kushtuka mara kwa mara

    Habari wana jamvi nimekuja na tatizo apo nisaidiwe nina tatizo la kushtuka baadhi ya muda bila kufanya kitu chochote yaan ata kama hakuna kitu cha hatari naweza kuwa nachesea simu nikiacha kuangalia simu tu naweza kushtuka mapigo ya moyo yakaenda mbio hlf yakakata,naomba ushaur wa haraka
  19. JamiiForums Tanzania Its okey ni maisha yako ndugu, lakini hauwezi nishawishi kidume nivae vipensi vifupi vya kubana mapajani alafu vina rangi mara ya pink sijui dhambarau

    YANI MWANAUME UNABANA MAKALIO NA MAPAJA🤡🤡 Kuna wakati wanawake waliwafukuzia wanaume katika fashion zilivyo za kiume, Ila leo vijana wa kiume sasa ndio wanafukuzia kuvaa fashion za kike. Hawa ndio wale wanakujaga na nyuzi humu wanaandika "wakuu mke wangu ananigombeza kama mtoto, nifanyeje?"...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani

    Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani . Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika maeneo tofauti Ila niliipata . Hii issue ilinifanya kuwakubali hawa jamaa. Maana wizi unaboa Sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…