mara kwa mara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna jambo moja la ajabu kuhusu maisha ambalo sijawahi kulielewa vizuri… 🤐

    Kuna fumbo kuhusu maisha yetu ambalo sijui kama tutakuja kulielewa kikamilifu… 🤐 Wakuu, kuna mambo huwa nayatafakari kimya kimya na kila nikiyafikiria, najikuta na maswali mengi kuliko majibu. Fikiria hivi… Kuna kipindi ambacho hukuwa na kumbukumbu yoyote ya maisha yako. Leo upo hapa...
  2. JamiiForums Tanzania Kama haya hamyafanyi mara kwa mara ukiwa na mpenzi wako, juwa mahusiano yenu ni ya kuigiza si ya kweli.

    Jiulize:- Mara ya mwisho kuoga pamoja na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho kukimbizana kama watoto wadogo wewe na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho kujambiana wewe na mpenzi wako ilikuwa lini? Mara ya mwisho ya kumpiga kalio mpenzi wakoilikuwa lini? Mara ya mwisho kukumbatiana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukweli wowote kwamba "Mechi" za mara kwa mara ndio siri ya amani kwenye ndoa/mahusiano?

    Habari zenu wanajukwaa la MMU, Kuna kitu nimekuwa nikikifanyia uchunguzi wa chini kwa chini kwa muda mrefu sana kwenye familia na mahusiano ya watu wengi wanaonizunguka, na leo nikaona si vibaya nikilete hapa jukwaani tukijadili kwa pamoja. Kuna hii nadharia kwamba: Wapenzi au wanandoa ambao...
  4. JamiiForums Tanzania Je tumbo lako huvurugika mara kwa mara ukiwa ofisini?

    Kwa mfanyakazi anayeshinda ofisini akiwa ameketi kwa saa 8 au zaidi, maumivu ya tumbo mara kwa mara na mabadiliko ya ghafla ya kwenda chooni si tu kwamba yanapunguza ufanisi wa kazi bali yanatengeneza mazingira magumu ya kisaikolojia. Makala hii imeandaliwa maalum kabisa ili kuelimisha jamii ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tusiache kufanya checkup mara kwa mara

    Tusiache kufanya check up Miaka kadhaa nilipompokea Yesu Kristo kama Bwana na Mokozi wa Maisha yangu, nakumbuka siku ile ilikuwa ni ya kipekee kiasi kwamba ndani yangu kuliingia pendo kubwa sana ambalo sikuwai kuwanalo. Sikujua kwamba kumbe Mungu anatupenda kiasi kile , upendo ule ulipoingia...
  6. JamiiForums Tanzania Ndoto inayojirudia mara kwa mara

    Habar za wikiend wanajamvi. Poleni na pirika za wiki nzima na misukosuko ya kila aina. Haijalishi umeivuka kwa namna gani lkn upaswa kumshukuru alie juu. Naandika bandiko hili kuomba ushauri wa dhati kabisa. Ni muda mrefu sasa zaidi ya miaka minne, nimekuwa nikiota ndoto. Ndoto hii mara zote...
  7. JamiiForums Tanzania Majibu kwa wanaohoji kuhusu actor Jason Statham kucheza uhusika mmoja mara kwa mara kwenye movies zake.

    Maoni ya mashabiki yamezuka tena yakimuhusisha muigizaji maarufu JASON STATHAM kuhusu kucheza nafasi ileile mara kwa mara kwenye muvi mbalimbali,miaka hadi miaka. Hii si mara ya kwanza maoni kama haya kusambaa kwa kasi mtandaoni. Mwezi Aprili 2017, Jason alionekana kwenye kipindi cha The Jim...
  8. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED TANESCO wamerekebisha changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara Mkazi wa Korogwe Msambiazi

    Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, March 2026 nilileta hoja hapa kuwa kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano. Nikaeleza kuwa tumejaribu kuwasilisha kero zetu TANESCO wanasema wanakuja kuongeza transformer kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kupizi kwa mara kwa mara huchangia hatari ndogo ya kupata kansa

    Source: National Institutes of Health (NIH) | (.gov) Reduction of Prostate Cancer Risk: Role of Frequent Ejaculation-Associated Mechanisms - PMC
  10. JamiiForums Tanzania Mahusiano Mapya ya Mara kwa Mara ni Umalaya au Safari ya Kumtafuta Mtu Sahihi?"

    Kuna watu wanaohesabu hii kama umalaya Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana Nadhani hii hutokea pale unapokutana na mtu, mkajenga ukaribu, halafu ukagundua kwamba kumbe...
  11. JamiiForums Tanzania Ni sheria gani ya nyumba za kupanga ambayo haiwezekani kufuata licha ya kurudiwa mara kwa mara?

    Kwenye nyumba za kupanga bana kuna Mengi unakutana na sheria mbalimbali ,kudeki vyoo na kufuagia uwanja ,mwisho wa kurejea nyumbani ,marufuku ya kubadilisha mabinti ,Sheria ya mziki ulipotiliza nk Kwa upande wako ni sheria gani ngumu sana uliwahi kukutana nayo?
  12. JamiiForums Tanzania Ni Addiction (Uraibu) gani umeshindwa kuacha licha ya kujaribu mara kwa mara?

    Habari wana jamvi Duniani kumekuwa na kila aina ya mambo yanayo msonga mwanadamu. Je ni Uraibu gani umekushinda kuacha licha ya kupambana? Sakwe bin sakwe Binadamu mashaka
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO ‘Watumishi wa Kujitolea’ wanaotumika na Ofisi za Ardhi Manispaa ya Sumbawanga ni kero kubwa kwa wananchi

    Habarini, Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia “watumishi wa kujitolea” licha ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika. Kuna watu wapo pale tangu 2010 wanajitolea tu hadi leo wakilalamikiwa wanapumzika kidogo halafu wanarudishwa kitu ambacho...
  14. JamiiForums Tanzania TANESCO mna shida gani? Kwanini umeme unakatika mara kwa mara?

    Umeme saivi unaweza kukatika hata mara tano na kurudi ndani ya dakika 15 hadi 20, sijui kuna shida gani maana najiuliza ni kwangu tu au ni kila sehemu? Mtaani kwako hali ya kukatikakatika kwa umeme ipo?
  15. JamiiForums Tanzania Mossad wamehack simu za wanajeshi na wanausalama wa IRGC na hii ndio meseji wanaowatumia mara kwa mara

    "Silaha zenu hazina thamani dhidi ya mashambulizi yetu ya anga. Mnakufa katika mapigano ambayo tayari mmeyapoteza. Makamanda wenu wamewauza. Wanajificha katika anasa, wakichukua pesa walizoiba, huku nyinyi na familia haziambulii chochote bali makaburi" Castle_Lite mcTobby
  16. JamiiForums Tanzania Kupenda kuomba au kuhitaji msaada Kwa marafiki au washikaji kunashusha hadhi na heshima yako, mwanaume jikaze

    Naongea na wanaume tu Leo Tabia ya kuomba ovyo haifai Unajishushia brand Hakuna mtu anahitaji kuombwa hata kama Leo umpigie simu Bakhresa umwombe elfu 2 atakuona wewe ni msumbufu lakini sio kwamba uweZo wa kukupa anao Mwanaume onesha kujiamini na kujitegemea hata kama unapitia hali ngumu...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Mtendaji wa TEMESA na Menejimenti yake wafutwe kazi, uchunguzi ufanyike vivuko kuharibika mara kwa mara

    WAZIRI MKUU Dkt. Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi na kufikishwa katika vyombo vya sheria kwa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) pamoja na Menejimenti ya wakala huo kutokana na ubadhilifu wa zaidi ya shilingi bilioni 2.5. Pia, Waziri Mkuu amemuagiza...
  18. JamiiForums Tanzania Msiache kujaribu kuomba kazi mara kwa mara

    Adverts Applied 8 Shortlisted 8 Interview Attended 5 Oral Interview Attended 1 Hiyo ni status yangu ya Ajira portal baada ya kumaliza chuo 2021 hadi 2025 niliiaply jumla ya kazi 8 na nikaitwa kufanya 8 ila mi nikauzulia kufanya 5 na 1 nikaotea...
  19. JamiiForums Tanzania 2001 TEC ilikuwepo, je, walitoa matamko na press za mara kwa mara kama ilivyo mwaka huu?

    Nauliza tu kwa amani. TEC ina combine wasomi haswa. Au tunaweza kusema TEC ni nyumbani kwa makachero, wanaweza kuwaimgiza watu mkatumukia agenda zao bila ninyi wenyewe kujijua. 2001 yalitokea haya ya 2025 kule Zanzibar, je, TEC ilichukulia serious kama ilivyo leo? au walitoa tamko la juu juu...
  20. JamiiForums Tanzania Je unatazama filamu za mauaji mara kwa mara, ukiwa peke yako na kufurahia? Wahi Hospitali mapema

    Kuna kundi la watu linalokua kwa kasi ya ajabu sana katika ulimwengu wa burudani – wale wanaopenda kutazama filamu na tamthilia za wauaji (serial killers). Wengine wanajitapa kwamba wameangalia na kupenda sana kutazama filamu kama Zodiac, Hannibal, Mindhunter, au I Saw the Devil mara kumi au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…