Habari za mchana,
Nina mapungufu mengi nikiwa kwenye mahusihano, moja ni kutojua kufoka yaani nashindwaga kabisa kumfokea mtu niliyenae kwenye mahusihano.
Na kama amenikosea basi nikiaza kumuelekeza kwa upole naamini ndio njia rahisi na nzuri basi anapanda juu na mimi nikiona mtu kapanda juu...