mapokezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Mapokezi ya Kihistoria aliyoyapata Rais Samia katika ziara yake ni Uthibitisho wa Watanzania wanavyomkubali

    Ndugu zangu watanzania Rais Samia amepata mapokezi ya Kihistoria, mapokezi ya kishindo, mapokezi ya aina yake, mapokezi yaliyoacha Alama ,mapokezi yaliyotikisa Kanda ya ziwa mpaka mwisho wa reli, mapokezi yaliyo isimamisha Tanzania, Mapokezi yaliyosimamisha kila kitu ,Mapokezi yaliyo tetemesha...
  2. DOKEZO Ombaomba wa Dar es Salaam wanamilikiwa na magenge ya kihalifu

    Baada ya Serikali ya Kenya kugundua 90% ya Ombaomba wa Nairobi Wanatoka mikoa ya kanda ziwa na baada ya Serikali kusema itaondosha omba omba wote Dar es Salaam kuwaudisha kwao au kwenye nyumba za wazee imegundulika kwamba wengi wao ni watu from Dodoma na wana ndugu zao na koo zao na mashamba...
  3. Mapokezi ya lambalamba za benki kwa baadhi ya wananchi

    Wadau mapokezi ya tozo za benki kwa wananchi yamepokelewa kwa namna tofauti, hivi sasa tunavyozungumza wapo baadhi ya wananchi wameshasafisha account zao za benki na kupeleka fedha zao kusikojulikana na kuacha account zao nyeupe kabisa wakihofia lambalamba.
  4. M

    Tangazo la kazi ya Afisa mauzo na mapokezi

    - Essence Driving Schools Afisa masoko (01) na afisa huduma kwa- wateja (01) shule ya udereva anahitajika Sifa 1. Uwezo wa kuongea/ushawishi vizuri sana na wateja 2. Uwezo wakufanya kazi yenye matokeo 3. Uelewa zaidi katika kutafuta wateja kwa- njia ya mitandao ya kijamii 4. Muonekano...
  5. M

    Mapokezi ya Rais Samia Kanda ya Ziwa yameanza kutoa picha namna uchaguzi 2025 utakavyokuwa

    Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu. Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida. Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
  6. J

    Shaka awanyosha CHADEMA Kusini Maelfu ya Kadi, Bendera na nguo akabidhiwa kumrudisha Mbowe

    Ziara ya Katibu wa siasa na Uenezi CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amekabidhiwa vifaa mbalimbali vya CHADEMA zikiwemo Kadi, flana, kofia pamoja na bendera sababu kubwa ikiwa wananchi wa kuseni wamemuelewa Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuwatumikia wananchi...
  7. J

    Ruangwa: Shaka Hamdu Shaka apokelewa kwa shangwe na wananchi

    MAPOKEZI YA SHAKA USIPIME RUANGWA...KILA KONA WANACCM RAHA JUU YA RAHA. Na Mwandishi Wetu, Ruangwa KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amepokelewa na mamia ya maelfu ya Wanachama wa CCM na Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi. Shaka amewasili...
  8. Mapokezi kesho Arusha: Watu wanalazimishwa kufanya usafi

    Hiyo Kesho shamra shamra za kuzindua Filamu Arusha. Watu wanalazimishwa kutoka na kufanya usafi mitaani. Kama ni udikteta ndio huu.
  9. B

    Yaandaliwe Mapokezi makubwa kwa Rais Samia tokea Marekani

    Haipo siri kuwa safari ya mama Samia Marekani imekuwa ya mafanikio makubwa. Hakuna shaka kuwa mazungumzo ya ana kwa ana (one to one) ya awaye yote (mwenye nia njema) na mama Samia huwa ni ya mafanikio makubwa. Kwa hakika mama Samia si wale wengine. Huyu ni msikivu na mwenye mawazo huru (open...
  10. M

    Mapokezi ya naibu mwenyekiti CCM (Bara)Barakoa zimepuuzwa?

    Nipo hapa naangalia TV live mapokezi ya makamu mwenyekiti ccm bara, Ndugu Kinana... kilichonishangaza ni kuwa hakuna hata mjumbe hata mmoja aliyevaa barakoa...hata meza kuu hawajavaa...Sasa ndio wamepuuza uvaaji wa barakoa au mpaka mwenyekiti awepo ndio wanavaa..
  11. Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara

    Dar es Salaam tunakutana eneo moja tu Diamond Jubilee... Makamu Mwenyekiti CCM Taifa -Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana kesho tarehe 10 April 2022 kupokelewa na kutambulishwa rasmi kwa wana - CCM na Watanzania kwa ujumla wake, Kinana anayetajwa kama mwanamikakati hatari zaidi kusini mwajangwa...
  12. N

    Kamati ya mapokezi yajipanga kupokea VAR

    Ni katika muendelezo wa kukirimu wageni, ile kamati nguli ya mapokezi inajipanga kupokea VAR na wasimamizi wa VAR watakapowasili nchini kwa mechi kati ya mabingwa watarajiwa wa confederation cup mwaka huu SIMBA SC. na pirates Hatua hiyo ni maandalizi ya kuwapokea orlando pirates au wanaume...
  13. N

    Picha: Kamati ya mapokezi ipo tayari saa Kumi kujua next assignment

    Kamati nguli ya mapokezi ambayo kwa hii miaka 4 imeteseka kupokea wageni wa kila aina na kununua majezi feki ya kila aina leo iko stand by kujua week ijayo wanenda kumpokea nani airport. Ila habazi za ndani ndani zinadai wanamtamani sana aje Tp mazembe kwani wao hujiona kama ni wa congo ila kwa...
  14. R

    Mtangazaji aliyeongoza Mapokezi ya Mbowe mkoani Kilimanjaro ni nani?

    Habari za Jumapili. Wakuu mimi ni miongozi mwa watu ninaopenda wachapa kazi, mahiri, weledi na wanaojituma hasa kwenye professional zao. Jana nikipitia video clip mbali mbali zilizosambaa kuhusu Msafara wa Mwenyekiti Taifa Freeman Mbowe akirejea nyumbani kwao Machame nimeshuhudia Kijana...
  15. J

    Baada ya mapokezi ya Mbowe kudoda Hai, Shaka Hamdu Shaka atikisa Arusha

    === Tunaposema CCM ni chama dola na itaitawala Tanzania kwa miaka mingi ijayo tunamaana ya mambo kama haya, Wakati Mkt wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe akipokelewa na bodaboda chache pamoja na mabaunsa watatu jimboni Hai, Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Mhe Shaka Hamdu Shaka amepokelewa na maelfu...
  16. Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

    === Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Freeman Mbowe akisaini kitabu katika ofisi yake aliyokuwa akiitumia kuwahudumia wananchi wa Jimbo la Hai akiwa mbunge wa jimbo hilo. Chanzo: https://twitter.com/ChademaTz/status/1505127335019917312 === "Kukamatwa kwangu kulikuwa kilele cha Uonevu" - Freeman...
  17. Z

    Mapokezi ya Mbowe Jimboni Hai yadoda, CHADEMA yaahidi kugawa nyama Kama motisha Kwa wahudhuriaji

    MAPOKEZI YA MBOWE HAI YA DODA, WANANCHI WASUSIA, CHADEMA YATANGAZA KUGAWA NYAMA KWA KILA MHUDHURIAJI Katika hali isiyokuwa ya kawaida mapokezi ya ujio wa aliewahi kuwa Mbunge wa Hai ndugu Mbowe yameingia dosari baada ya wananchi wengi kuonesha kutokuwa na munkari nae tena kama zamani, hii...
  18. Video: Mapokezi ya Mbowe ukumbini Iringa leo Tarehe 08/03/2022

  19. J

    DC Jokate kuongoza mapokezi ya kidato cha kwanza leo Temeke. Kwa mara ya kwanza hakuna aliyekosa darasa

    Temeke Tukutane Shuleni. Asante Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa maono yako. Leo tunaanza kupokea wanafunzi. Tukutane Mubashara kabisa muda huu kupitia Channel Ten na vyombo vingine vya habari!!!! Kazi Iendelee 🇹🇿
  20. 5

    Mapokezi ni Babkubwa Rais Samia Visiwa vya Karafuu Pemba Januari 7, 2022

    Mapokezi ni babkubwa Mama yetu Mkuu wa Nchi na Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania nzima Mama Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Rasmi atatua Visiwa vya Karafuu kule Pemba kwa ajili kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Karibu Mama Jemedari Mkuu, Umethubutu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…