Habari za majukumu wana-JamiiForums!Je, wewe ni mkazi wa Mapinga, Bunju, Boko, Tegeta, au maeneo ya Bagamoyo na unatafuta vifaa bora vya kompyuta na accessories? Au wewe ni fundi wa madishi ya TV (Azam, DStv, Zuku, StarTimes) unayetaka vifaa imara vya kazi bila kusafiri umbali mrefu hadi mjini...