mapigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. October 2pm

    Naambiwa Redcross kuja na small mobile cells kujibu mapigo

    Hehee hee! Labeka wanawanyu. Mayii! Mnajionea wanavyopagawa hehee. Wachekesha. Sasa vitambulisho si muliwauzia wenyewe kwa vitamaa vyenu. Sio raia wana nida card na ile vote Id. Mliwapa wenyewe. Leo mwakagua kila mtu heeeh. Nye Nye Nye. Mwakamatana wenyewe. Wahusika wapo vitengo nyeti...
  2. S

    David Kafulila kuongea leo, Sept Mosi kwenye Dk 45 za ITV

    TANGAZO Usikose kutazama mjadala maalum utakaorushwa moja kwa moja kupitia kituo cha televisheni ITV leo saa 3:00 usiku kwenye kipindi cha DKT 45. Mjadala huu utakuwa na mgeni rasmi Bw. David Kafulila mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC, ambapo pamoja na mambo mengine, ataeleza kwa kina...
  3. Chizi Maarifa

    Style ya mapigo na mwendo nimeikubali

    Nliisoma kipindi flani hii style ya mapigo na mwendo nikapraktizi. Mtoto mmoja alikuwa mbishi hataki kuinama. Nikamwinamisha. Nikaanza mpiga pipe huku anatembea chumba kizima akiwa ameinama. Analia ila haondoki Nikakumbuka nikaanza kucheka... Maana nikakumbuka OOOOOH HII NDO MAPIGO NA MWENDO...
  4. MK254

    Raia walionywa waondoke Tehran, sasa Israel imeanza mapigo rasmi, msije kulaumu, mlipewa muda wa kuondoka

    Kuna maeneo maalum ambapo raia waliagizwa waondoke, hivyo yeyote aliyebaki hapo anachukuliwa kama mwanajeshi, Israel imeanza kupiga.... Israeli Air Force fighter jets seen attacking Iranian nuclear targets, June 15, 2025(photo credit: IDF SPOKESPERSON'S UNIT) An evacuation has been issued to...
  5. MK254

    Iran yasema Israel ikisitisha mapigo basi itarudi kwenye meza ya mazungumzo ya kuacha manyuklia

    Tatizo nani wa kumwambia Israel aache sasa, yule ni kichwa cha mwenda wazimu, na sasa Iran imefaulu kuua raia wanne Israel, imezidisha hasira kwa Wayahudi. -------------- In a call with his French counterpart Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran favored diplomacy, but will not “accept...
  6. Webabu

    Hamas waipongeza Iran kwa kujibu mapigo ya Israel kwa ufanisi. Yasema hakuna iron dome wala David Sling zilizoilinda Tel aviv na Jerusalem

    Mmoja ya viongozi wa Hamas , Izzat al-Risheq amesema majibu ya Iran yameonesha kuwa hakuna kiburi cha Israel ambacho hakitapatiwa majibu na kwamba vifaa vyake vya ulinzi kama Iron dome havitaweza kuliokoa taifa hilo dhalimu kutokana na moto waliouwasha kwa muda mrefu ndani ya mashariki ya kati.
  7. K

    Kila mapigo wanayopigwa CHADEMA na Serikali ndiyo wanavyozidi kupendwa na kuchanja mbuga

    Kila Serikali inavyozidisha mateso dhidi ya Chadema kwanza watu wanazidi kuipenda,hii ndiyo necha ya mwanadamu alivyoumbiwa hukipenda kile kinachodhulumiwa, kuonewa, au kunyanyaswa Watateka watu, watauwa watawafunga watasitisha ruzuku huku wasijue wanazidi kujijenga chuki kwa wananchi Mfano...
  8. Echolima1

    Magaidi wa Hezbollah wanachapwa kipigo cha Mbwa-koko na hawana uwezo tena wa kujibu Mapigo!!

    Baada ya Magaidi wa Hezbollah kulemazwa na majeshi ya Israel sasa hivi IDF inajipigia tu popote inapotaka bila hata upinzani wowote!! Magaidi wa Hezbollah kabla ya Oct 07,2023 walikuwa wakisifiwa na kurambwa miguu na wengi ambao kwa ujinga wao hawakujua nguvu ya Jeshi la Israel. Baada ya...
  9. Mi mi

    China yatangaza nyongeza ya asilimia 84% ya ushuru kwa bidhaa za Marekani

    Kazi bado inaendelea ni vuta nikuvute kati ya utawala wa Trump na nchi ya China katika vita vya ushuru. BREAKING: 🇨🇳🇺🇸 China announces additional 84% tariff on US goods. https://x.com/WatcherGuru/status/1909925306560885110?t=-ienhln5-MyLFFrJ4DBwBQ&s=19
  10. Webabu

    Marekani yarudisha mapigo baada ya meli yake kushambuliwa

    Vita kati ya Marekani akishirikiana na Israel na Uiengereza dhidi ya Houth bado vinaendelea ambapo hapo jana Marekani ilishambulia maeneo ya Yemen yaliyokaribu na mji mkuu wa Sanaa. Shambulia hilo la Marekani maeneo ya Al-Azraqeen kama ilivyothibitishwa na televisheni ya Houth ya ALmasira ni...
  11. Mbangaizaji wa Taifa

    Godbless Lema: Nitaongea na wanahabari kesho kujibu mapigo ya Wenje na genge lake

    === Hiki ndicho alichokiandika Godbless Lemma baada ya Press Release ya Ezekiah Wenje. Hii inaitwa Jino kwa Jino. Pia soma Ezekiel Wenje: Lema ndiye aliongoza kumshughulikia Zitto Kabwe mpaka kuondoka CHADEMA Ezekiel Wenje: Dkt Slaa alikuwa anataka aifute CHADEMA kwa msajili wa vyama. Leo...
  12. Carlos The Jackal

    MH LISSU, Dawa ya Ng'ombe mkorofi ni kumshika mapembe yake, kwakua FAM amedai hamna Rushwa /Mkate /Abdul,, Itisha Waandishi wa Habari Ujibu mapigo

    MH LISSU, baadhi ya Waswahili watakuambia, Ukimya nao ni Jibu . Mimi Mdogo wako nakuambia La Hashaa !! Kwenye kupigania Haki yako, usiache kupiga kelele ,piga kelele mpaka wasikie wale ambao haikupaswa wasikie. Unakumbuka kisa Cha Kipofu aliposikia vishindo vya watu wakipita, wakipita...
  13. FaizaFoxy

    Marekani yabamizwa mapigo mawili matakatifu, onyo tu hilo

    Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi. Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure. Hii Florida...
  14. Mindyou

    Melania Trump ataka Tshs Milioni 675 ili kufanya mahojiano na CNN. CNN yajibu mapigo!

    Shirika la habari la Marekani, CNN, limeripoti kuwa wakati waandishi wake wakiwa wanajaribu kupata mahojiano na mke wa rais wa zamani wa Marekani, Melania Trump, team ya Melania Trump ambao wanahusika na uchapishaji wa kitabu chake kipya ilijibu ilitaka kiasi cha dola 250,000, zaidi ya shilingi...
  15. M

    Mimi nikajua Israel huwa inajibu mapigo muda huohuo. Leo ni siku ya nne

    Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE. Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa...
  16. J

    Iran yaapa kujibu mapigo juu mauaji ya kiongozi wao mkuu Hassan

    Kwa mujibu wa Hamas, Haniyeh na mmoja wa walinzi wake waliuawa alfajiri ya jana Jumatano Julai 31, 2024 baada ya jengo walilokuwa wakiishi kuvamiwa na kushambuliwa. Baada ya mauaji hayo ambayo Israel inanyooshewa kidole kuhusika ingawa haijakiri, tovuti ya Times of Israel imemnukuu Kiongozi...
  17. third eye chakra

    Haya ni baadhi ya mambo yanayoweza kukufanya ukapokea mapigo kutoka kwa maadui zako wa kiroho

    Mambo au Tabia Zinazofanya Kufifisha au Kudhoofisha Malango Yako/Nishati ya Ndani 1. 😞😞 Uzinzi au Ngono Hulela Ni vyema kuwa na mke/mume au mtu mmoja kwa nia ya mahusiano na sio kutangatanga. Mara leo uko huku, kesho kule, hapo utavaa karma nyingi ambazo hazikuhusu. Sio kila umuonae anakufaa...
  18. Webabu

    Hamas na Houth wakutana kuratibu mapigo yao dhidi ya Israel

    Kwa mara ya mwanzo wapiganaji wa Houth walio kusini ya Israel waktenganishwa na nchi ya Saudi Arabia wamekutana na wenzao,Hamas ambao wako karibu na katikati ya Israel upande wa magharibi wamefanya mktuano wa pamoja ili kuratibu mapigo dhidi ya adui yao. Mkutano huo haukutajwa eneo ulipofanyika...
  19. BARD AI

    Mapigo 10 ya CCM kwa Edward Lowassa

    Haikuwa Jambo rahisi kwa CCM kumshuhudia Kiongozi mkubwa ngazi (Waziri Mkuu) kukihama CCM na kujiunga na Chama cha upinzani CHADEMA. Usiwaone leo CCM msibani wanalia na kupishana kutoa maneno mazuri kwa Mzee Lowassa ukajua hadi roho zao ni nzuri, HAPANA. Ukiondoa vicheko, tabasamu na maneno...
  20. MK254

    Iran yalaani mapigo yanayofanyika na US kwa maslahi yake hata baada ya kukana haikuhusika

    Iran ilishakana haikuhusika au hata washirika wake hawakuhusika, sasa haielewi kwanini Marekani anapiga chochote chenye harufu ya Iran huko nje....... Kilichobaki sasa ni Iran kukasirika ifanye kitu tuone mwisho wake maana Marekani wanaendelea kupiga.... Syria and Iraq assail Washington for...
Back
Top Bottom