mapenzi

  1. Sijawahi kuachana na mtu kwa vita au ugomvi, mliachanaje na ex wako wa mwisho?

    Mahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu. Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa. Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi...
  2. Kwanini maskini ndio huwa wana wivu sana katika mapenzi na ndoa ?

    Watu wenye malalamiko ya ndoa na mapenzi zaidi na ambao wanatembea hadi na mafuta kwa ajili ya wagoni wao ni maskini au wa kipato cha kawaida, watu matajiri wao wakishindwana kwenye ndoa au mahusiano wataachana na wataoa au kuolewa na mtu mwingine na maisha yataeendelea. Ni nadra kukuta kesi ya...
  3. S

    Wito wangu kwa wana simba wote wenye mapenzi na nia njema kwa timu yetu

    Timu yetu inapitia wakati mgumu sana, inarushiwa mishale mashariki, magharibi, kusini na kaskazini, hawapumui. Nawapa pole sana viongozi wangu, hiyo ndio kazi ya uongozi. Mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa katika tasnia ya habari nchini, kila mtu anapojisikia kuongea anaita social...
  4. Gentlemen commandments//the art of winning women psychology

    1.Kama Una Mwanamke Unaempenda Usimuoneshe Kama Unampenda Sana au una muhitaji Sana 2.Ukitaka Mawasiliano naye Mpe Namba yako usichukue yake". Kukiwa na Mazingira complicated ya kukulazimisha kuchukua yake Ukichukua Pitisha siku tatu au week ndio umtafute 3.Ukimproach Mwanamke akikutaa...
  5. Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

    Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani. Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya...
  6. Tanga: Mwalimu ajinyonga kisa wivu wa mapenzi

    Mwalimu Enock Peter (32) wa Shule ya Msingi Potwe wilayani Muheza mkoani Tanga, amedaiwa kujinyonga kwa kutumia shuka nyumbani kwake, wakati Kesi yake dhidi ya anayedaiwa kuwa Mpenzi wake ikiwa Mahakamani. Leo Jumatano Julai 16, 2025, Mratibu Elimu Kata ya Pongwe, Rajabu Msuya amesema alifika...
  7. Zama za kulilia mapenzi zishapita

    Kitu ambacho siwezi kufanya ni kumlilia mtoto wa mama mkwe maana naona ni upungufu wa akili namliliaje mtu mzima afu tumekutana ukubwani tu. Tukizinguana aende tu ni bora nimpende alionizaa, kwanza mwanaume kulilia ni dhambi kubwa sana wanawake wengi sana. Mwanaume unapiga simu kwa mwanamke...
  8. B

    "Mo Dewji na Simba: Mapenzi au Biashara?"

    Habari.... Utangulizi Mo Dewji ni mmoja wa wafanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika. Alipoamua kuwekeza kwenye Simba SC, wengi walijiuliza kama uamuzi wake ulikuwa kwa sababu ya mapenzi ya timu au ni sehemu ya biashara yake. Ukweli ni kwamba, uhusiano wake na Simba unachanganya mapenzi ya...
  9. Kufanya mapenzi na mwanafunzi (ngono ya jinsia tofauti)wa Shule si kosa kisheria

  10. Ugumba/kutokushika mimba ni kati madhara ya mapenzi kinyume na maumbile ambayo sijawahi isikia ikizungumzwa.

    Mara nyingi watu huzungumzia madhara ya kuvaa pempas kwa anaefanyiwa au kuziba kwa mirija kwa anaefanya, ila nimeshangaa kuona pia kitendo hiki hupelekea mwanamke kutoshika mimba. Mwanaume anapomwaga, kwakua eneo lile sio sahihi, mwili hutengeneza ant-bodies kujilinda, kitendo hiki kinafanya...
  11. Wanawake Jambo gani mnafanya kwenye mapenzi ili tu kumridhisha mwanaume wako ila husikii raha yoyote?

    Mmekuwa na lawama nyingi mara hatuwezi kazi, mara haujafika kileleni. Mara nyingi hampo open na hili sio tatizo lenu ni malezi ya jamii. Hapa hamjulikani tuambiane kipi mnafanya tu kwenye sex ila hakina effects zozote kwenu. Wanaume tupo open saana linapokuja suala la mapenzi. Share mambo...
  12. Wasukuma na Mapenzi

    Wadau, kuna fununu nimekuwa nikizisikia kutoka mitaani na mitandaoni kuwa Wanawake WAKISUKUMA siyo mafundi katika suala zima la Mapenzi, Watu wengi wanafananisha level ya Wasukuma kuwa ni sawa na ile ya wanawake wa Kenya, .. Hebu wadau saidieni hapo, huu ni ukweli ( in general ) au ni fununu...
  13. Mapenzi yanayo pendezesha mwili

    Wapo wanaoingia kwenye mahusiano na kuambulia kukongoroka mwili, mwili kupungua na kupoteza nuru. Na wapo wanaoingia kwenye mahusiano na mtu fulani, na kujikuta mwili unaongezeka na kuwa na mvuto mzuri. Sasa utajuaje, mpenzi uliyenaye anaweza kuufanya mwili wako unenepe na kuonekana mzuri...
  14. Mapenzi bwana ,Man down

    Usimkabidhi mwanamke Moyo wako over
  15. Simulizi ya kijasusi: Shattered Evil: Light And Shadow

    SHATTERED EVIL:LIGHT AND SHADOW MTUNZI:KAILOJONHJO.  UTANGULIZI SHATTERED EVIL: LIGHT AND SHADOW Ni simulizi inayochanganya ,mystery, fantasy,mapenzi, ujasusi Miaka ya zamani watu walisifika sana kua na nguvu iyo ilitokana na kua na upeo mkubwa wa akili mpaka...
  16. Mapenzi ni moto (I never undermine sex )

    Naweza kusema nitakataa kila aina ya udhaifu na uraibu lakini kwenye Mapenzi hapo naomba mniweke tu, sitajisikia vibaya. Jitahidi uwe mjuzi na mkufunzi kwenye hili... Mapenzi yanapasua miamba Ila hatari ni moja kwenye hii sector watu wanachezewa akili (mind game) hatari sana, na wengi...
  17. Mkishafika katika kilele cha Mapenzi moto moto huwa kinachofuata ni kuachana/Anguko la penzi lenu au mmoja kujivika upoyoyo, Msiseme sikuwaambia

    Habarini, watu hudhani wanapofika kilele cha mapenzi na upendo moto moto basi hali hiyo itadumu mpaka mwisho wao ila ukweli mchungu ni kwamba mkishafika stage hiyo mna machaguo mawili tu yaliyoainishwa kwenye kichwa cha habari hapo juu.
  18. Mapenzi Yaliponifanya Kukumbatia Jeraha naKuliita Dua

    Kuna baadhi ya watu huja kwenye maisha yako kama zawadi... lakini wengine huja kama darasa la maumivu. Na darasa hili lilinifundisha kuwa… mapenzi si ya waliokomaa tu, bali ni ya waliovunjika na wakaamua kupona. Hii ni hadithi yangu. Ya kweli. Niliipenda kimya, nikaamini ni dua yangu ikijibiwa…...
  19. Kilio unachosikia wakati mwanamke ameumizwa au ana uchungu ndio sauti hiyo hiyo utaisikia akiwa anafanya mapenzi tofauti ni volume tu

    Huu ni utafiti wangu binafsi naomba mwenye pingamizi aje kwa comment. Asanteni Kilio unachosikia wakati mwanamke ameumizwa au ana uchungu ndio sauti hiyo hiyo utaisikia akiwa anafanya mapenzi tofauti ni volume tu
  20. Je kuna madhara gani kufanya mapenzi na mtu aliye hedhi/period? Je Kitaalamu na Kiimani

    Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza. Sababu mara 4 nshawahi chuja nafaka of course nlivaa mpira maana nliona imenijia nafasi siwezi iacha nikala mzigo hivyo hivyo. Je kwa imani ya dini zetu na kiafya imekaaje? Mkumbuke zamani walikuwa hawana condoms.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…