mapato

The Natural Gas Revenue Fund (NGRF) is the proposed sovereign wealth fund of Tanzania expected to be launched in October 2014 or February 2015 after the enactment of a bill by the National Assembly. It will manage the revenue accrued from the sale of its natural gas. As of April 2014, Tanzania has a recoverable gas reserve of 43.1 tcf. The fund will be managed by the Bank of Tanzania. However, according to PFC Energy, 25 to 30 trillion cubic feet of recoverable natural gas resources have been discovered in Tanzania since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, unajua ng’ombe wa maziwa anaweza kukuletea mapato ya uhakika kila siku—hata zaidi ya bodaboda?

    Chukua mfano wa ng’ombe mmoja bora wa maziwa: ➡ Anaweza kutoa wastani wa lita 15–20 kwa siku ➡ Kwa bei ya sasa ya soko (maeneo mengi TZS 2,000 au zaidi kwa lita), hii ni sawa na: TZS 30,000–40,000 KILA SIKU kutoka kwa ng’ombe mmoja tu. Fanya hesabu kwa Mwezi utakua na bei gani? Na tofauti na...
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi ndio nguvu yenu ya kuwapa mapato ila mnachokifanya mnajinufaisha wenyewe Wilaya ya Kahama

    Leo nipo mkoa wa shinganya wilaya ya kahama kikazi. Hongereni kwa kupewa manispaa sasa. Il nilichogundua kahama ina mchanganyiko wa watu wengi sana na wanachi wamejenga yani majengo unayokutana nayo ukiambiwa hapa ni kahama kwenye picha utabisha. wilaya ya kahama imetanuka sana kwa kahama...
  3. JamiiForums Tanzania Yaani unamiliki app inaingiza mapato alafu Kodi ya Marekani hutaki kulipa sio

    Hali sio Hali Kwa Binti yetu, sasa ni ule mda wa kumchangia mliokua mnampenda sana
  4. JamiiForums Tanzania Inawezekana hasara ya mapato ya Serikali kwa D9 ni kubwa sana kuliko ile ya MO29

    Majiji yote yalisimama. Hakukuwa na biashara yoyote ya maana, kuanzia maduka, usafiri na kumbi za starehe. Loss kubwa kwa MO29 ilitokana na kuzima internet, lakini D9 kila kitu kilikuwa paralyzed. Upo uwezekano mkubwa sana ya kwamba serikali imepoteza mapato mengi sana jana kuliko kwenye MO29...
  5. JamiiForums Tanzania Kama kweli Ligi Ya Tanzania ni Bora kuliko Kenya, kwenye mapato kuna vitu tunafichwa!

    Gor Mahia FC kwenye Derby waliocheza hii week na AFC Leopards wanasema wamekusanya jumla ya Tsh Bil 14. Mechi ilichezwa Nyayo Stadium, upo Nairobi una capacity ya watu 18,000 tu. Sasa nikiwaza kwa Mkapa na ile capacity ya 60,000 waliokaa bado waliosimama kwenye Derby si inamaana inaingia...
  6. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally

    Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani Kesi yake ingekuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa huduma ya mtandao (Internet service) umekosesha nchi mapato makubwa ya ndani na nje

    Wasalaam Aleykhum, Hatimaye nimefika nyumbani Zanzibar salama majira ya jana jioni na kuswali Isha nyumbani Mie ni Muislam ninayeogopa Unafik kuliko Shirki (japo dhambi zote mbaya sana mbele ya Allah (S.A.W) Nimeumizwa na vifo nilivyoshughudia huko bara kwasababu kikazi mi n maranyingi nakuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mapato ya tickets mechi ya jana ya simba ni shilingi 3000/..! Kweli mashabiki wa simba wanaipenda sana team yao

    Wakuu I salute you kinsmen Kuna team ilikuwa inasifiwa sana wanajisifia sana kuwa wao watalipa ticket na uwanja watajaza mapema tu saa 8 mchana unakuwa full Na semaji Lao likawajaza upepo kuwa ticket zimeshauzwa ni full house. Lakini jana kilichotokea ni bora wangefanya watu waingie bure tu...
  9. JamiiForums Tanzania Hili la Tozo hadi kwa Wasusi na Wachoraji tunakoelekea nahisi kutakuja kuwa na Tozo kwa wanaoenda Gesti ili Mapato yaongezeke

    Ni aibu kwa Taifa kama langu kutojua kabisa Vyanzo vya uhakika vya Kuingiza mapato. Tukiwadharau na kuwaambia kuwa HAMNA AKILI mnakimbilia KUTUCHUKIA na kutuundia VIKAO vya VIMKAKATI vya Kutunyamazisha mkidhani kuwa AKILI za Wananchi wa Taifa langu bado ni zile zile za UPUMBAVU MKUBWA mlionao...
  10. JamiiForums Tanzania Hatuwezi linda amani ya Mafisadi, Tunataka kuona kodi zetu na mapato ya nchi yakimnufaisha mTanzania bila kujali chama chake, familia aliyotokea, dini

    Hatuwezi kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa mafisadi. Mmeharibu sana hii nchi huku waTanzania mkiwaona wakiteketea kila siku juu ya umaskini unaowazunguka. Pesa ambazo zilitakiwa kujenga hospitali bora zinatumika na kakikundi fulani Pesa ambazo zilitakiwa kuhakikisha kuna barabara bora ili...
  11. JamiiForums Tanzania Ntatumia gesi asilia kupowered smelter na refining kwenye mpango wa kukusanya mapato ya usd billion 500+

    Moja ya changamoto ya watu wanaotaka hizi nafasi za uongozi kama Urais ni rahisi kuahidi mambo mengi sana mazuri ila changamoto inakuja kwenye fedha za kuyatimiza hayo mambo mazuri kedekede ni changamoto kubwa sana sababu wengi wanashindwa kuelezea ni kwa namna gani watapata fedha za kufinance...
  12. JamiiForums Tanzania Unafiki kando.....hii kitu iruhusiwe....serikali inakosa mapato

    https://www.instagram.com/reel/DNzqOD_UrIt/?igsh=MXRscThhYmkwbmJkbQ==
  13. R

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa limefikia Trilioni 116, Nafasi ya DP World iko wapi? Tuliambiwa mapato yataongezeka hivyo kupunguza deni

    Salaam! Rais Samia na serikali yake walitwambia kuwa ujio wa DP World utaongeza mapato ya serikali kwa kiasi kikubwa na kufadhili budget yetu. Sasa maswali yanakuja je! Ikiwa mapato yameongezeka serikalini,iweje deni likue, kwanini lisilipwe kwa amount kubwa ikibidi limalizwe sababu ya ujio wa...
  14. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanachama wa CHAKUHAWATA wadai Uongozi wao ndio tatizo, waomba mapato na matumizi yawekwe wazi

    Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Mkoa wa Katavi, Mwl. Benjamin Masingija Masai na Mwl Nyavidunda David Mhule wametoa maoni yao wakidai kuna mambo yanayoendelea na yanachangia kukipunguzia nguvu chama hicho. Wameyasema hayo August 19...
  15. H

    JamiiForums Tanzania CCM kuichukia Yanga na kuifanya kuwa moja Ya miradi yake ya kuipatia mapato, wanachama na Wapenzi wameshirikishwa? Na Vipi Wafanyabiashara waovu?

    Heading Isomeke ..Kuichukua, na siyo kuichukia Vyanzo vikuu vya mapato vya CCM, kwa kiasi kikubwa, siku zote imekuwa ni uovu na ukosefu wa maadili. Kwa CCM, uovu huipatia mapato makubwa, ila hili la Yanga kuifanya chanzo kimojawapo cha mapato yake, linashamgaza sana. Siku za nyuma, CCM...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ifuatilie baadhi ya shule binafsi mapato yake kila Mwaka na mishahara ya Wafanyakazi wake haviendani, waajiriwa wananyonywa

    Mfano Shule ya Wavulana iliyopo Mitaa ya Kawe (jina kapuni), mwajiriwa mwenye Shahada analipwa mpaka 530k baada ya makato inabaki 360k ingali ada kwa Kila Mwanafunzi kwa mwaka ni Sh 12m, hii haina usawa.
  17. JamiiForums Tanzania Passive Income Haiwezi kukutajirisha - Wanakudanganya.

    Imeandaliwa na Smart Finance SW Siku hizi, watu wengi wanapenda kusikia kuhusu habari za passive income. Wanavutiwa na njia za kutengeneza pesa kupitia mfumo huu. Kama hujui passive income ni nini, nitaeleza kwa ufupi lakini unaweza pia kufanya utafiti wako binafsi. Passive income ni kipato...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited utanufaisha kwa Ajira 3,500-4000 na Kukuza Mapato ya Serikali

    Rais Samia akiwa katika uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited amesema Mradi huo uatwezesha ajira 3500 hadi 4000 huku serikali ikikadiriwa kupata kiasi cha mapato ya dola millioni miatatu sabini na tatu " Tathmini iliyofanywa inaonyesha kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania OPEC: Mapato ya mauzo ya mafuta ya Iran yaongezeka kwa 14%

    Iran imefanikiwa kuongeza kwa kiasi kikubwa mapato yake ya mauzo ya mafuta mwaka uliopita. Hayo ni kwa mujibu wa takwimu mpya kutoka Shirika la Nchi Wazalishaji wa Mafuta Duniani (OPEC), zikionesha kuwa vikwazo vya Marekani havijafaulu kuzuia biashara ya mafuta nchini. Ripoti ya Jumamosi...
  20. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya mapato Tanzania na mfumo wa internet

    Mamlaka ya mapato Tanzania yaani tra ni chombo cha serikali cha kusimamia ukusanyaji wa kodi na mapato ya serikali, ni mamlaka ambayo kwa jicho fulani hivi inayojitahidi kuhimiza watu katika kulipa kodi kwa njia na mifumo halali. Mamlaka hii imetoa idhini kwa baadhi ya watu au taasisi binafsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…